Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lowassa aleta kiwewe

NA ELIZABETH HOMBO, DAR ES SALAAM

SHUGHULI za wafanyabiashara kwenye masoko ya Tandale, Tandika na Kariakoo jijini Dar es Salaam, zimesimama kwa muda jana baada ya mgombea urais wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, kupita kwenye maeneo hayo.

Tofauti na juzi ambapo Lowassa alifanikiwa kufika kwenye kituo cha Daladala cha Gongo la Mboto bila kujulikana
na wananchi aliopishana nao njiani, jana baada ya kiongozi huyo kufika...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

RC Geita aleta kizaazaa

Wamiliki wa Kampuni za Kusambaza Mbegu za Pamba na Dawa za kuua wadudu Kanda ya Ziwa, wamekamatwa na polisi ndani ya mkutano wa kawaida wa wadau wa bodi ya pamba, uliofanyika jana katika ukumbi wa halmashauri wilayani hapa mkoani Geita kwa tuhuma za kuhujumu zao hilo.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Membe aleta utata kashfa ya ujangili

SERIKALI imeongeza utata wa kashfa ya ziara ya Rais Xi Jinping wa China aliyoifanya nchini Machi mwaka jana na kuibua madai kwamba maofisa waliokuwa wameambatana naye, walihusika na biashara haramu...

 

11 years ago

BBCSwahili

Msomi wa kiisilamu aleta kero Afrika:K

Msomi wa kiisilamu amezindua rasmi msikiti ambao anasema wapenzi wa jinsia moja wataruhusiwa kusali ndani na wanawake kuongoza sala.

 

10 years ago

GPL

Pluijm aleta kiungo wa kufuta aibu

Wilbert Molandi na Hans Mloli YANGA imeondolewa katika michuano ya Kombe la Kagame ambayo kesho itapigwa mechi ya fainali, kocha wa timu hiyo Hans van Der Pluijm ameona tatizo lipo kwa kiungo mkabaji na tayari amemtaja kiungo wa Al Khartoum ya Sudan, Anthony Akumu kuwa lazima amsajili. Kocha huyo, hivi karibuni alitoa mapendekezo ya kumsajili kiungo mmoja mkabaji mwenye uwezo mkubwa kwenye kikosi chake kinachojiandaa na msimu...

 

11 years ago

GPL

Maximo aleta fomesheni nne Yanga

Kocha Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo, Na Wilbert Molandi
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo, amepanga kuthibitisha kuwa yeye ni bora kwa kutumia mifumo minne katika mechi za Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho Afrika.
Kauli hiyo ameitoa kocha huyo akiwa na wiki tatu tangu aanze kukinoa kikosi hicho kinachojiandaa na ligi na michuano ya kimataifa watakayoshiriki mwakani. Akizungumza na Championi Jumamosi,...

 

10 years ago

Mwananchi

Jaja ‘out’ Yanga, Maximo aleta nyota mwingine

Mshambuliaji wa Yanga, Genilson Santos ‘Jaja’ ameondolewa katika kikosi cha timu hiyo na nafasi yake itazibwa na kiungo mkabaji pia raia wa Brazil, Emerson Oliveira Neves Roque.

 

11 years ago

Tanzania Daima

JK aingiwa kiwewe

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete, amewataka wanachama wake kuacha unyonge na uwoga katika chaguzi mbalimbali ili kukabiliana na baadhi ya vyama vya siasa ambavyo vinafikiria siasa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

JK atia kiwewe

JOTO la nani ataondolewa kwenye Baraza la Mawaziri na nani atateuliwa limeanza kupanda miongoni mwa wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Tayari majina kadhaa yameshaanza kutajwa kurithi viti vya mawaziri...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bazara la Mbowe kiwewe

BARAZA jipya la mawaziri kivuli lililotangazwa juzi na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, limeanza kukitia kiwewe Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Daima Jumapili limebaini. Mbowe alilisuka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani