Pluijm aleta kiungo wa kufuta aibu
![](http://api.ning.com:80/files/NNhUps-YDGt9JnB9TGpFXyeCBoqv6-v4WyPxzYYi6jdTmmZpJan7WqJ5qEHUoJPe479EpXp4MqRDtFHGDcmz7taGh18Q*NCn/1.gif?width=650)
Wilbert Molandi na Hans Mloli YANGA imeondolewa katika michuano ya Kombe la Kagame ambayo kesho itapigwa mechi ya fainali, kocha wa timu hiyo Hans van Der Pluijm ameona tatizo lipo kwa kiungo mkabaji na tayari amemtaja kiungo wa Al Khartoum ya Sudan, Anthony Akumu kuwa lazima amsajili. Kocha huyo, hivi karibuni alitoa mapendekezo ya kumsajili kiungo mmoja mkabaji mwenye uwezo mkubwa kwenye kikosi chake kinachojiandaa na msimu...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo20 Dec
Pluijm matumaini kibao kwa kiungo Mniger
KOCHA Mkuu wa Yanga Hans van Pluijm amesema ana imani na mchezaji mpya wa Niger Issoufou Garba kuwa atafanya vyema katika kikosi hicho kutokana na uwezo aliouonesha kwenye majaribio.
11 years ago
Mwananchi31 Mar
Yanga, Simba aibu yetu, aibu yao...
11 years ago
Mwananchi12 Feb
RC Geita aleta kizaazaa
9 years ago
Mtanzania26 Aug
Lowassa aleta kiwewe
NA ELIZABETH HOMBO, DAR ES SALAAM
SHUGHULI za wafanyabiashara kwenye masoko ya Tandale, Tandika na Kariakoo jijini Dar es Salaam, zimesimama kwa muda jana baada ya mgombea urais wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, kupita kwenye maeneo hayo.
Tofauti na juzi ambapo Lowassa alifanikiwa kufika kwenye kituo cha Daladala cha Gongo la Mboto bila kujulikana
na wananchi aliopishana nao njiani, jana baada ya kiongozi huyo kufika...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/826oIv68XgiIgH3ivbPZDY0fqDLJ5kLjYsY17ijKBqg*g1*niDusbnb4EiHOvj8-hPWVGqpZustoiigaOGCR4XPDaGzT62sO/maxi.jpg?width=650)
Maximo aleta fomesheni nne Yanga
10 years ago
BBCSwahili19 Sep
Msomi wa kiisilamu aleta kero Afrika:K
10 years ago
Tanzania Daima08 Nov
Membe aleta utata kashfa ya ujangili
SERIKALI imeongeza utata wa kashfa ya ziara ya Rais Xi Jinping wa China aliyoifanya nchini Machi mwaka jana na kuibua madai kwamba maofisa waliokuwa wameambatana naye, walihusika na biashara haramu...
10 years ago
Mwananchi23 Nov
Jaja ‘out’ Yanga, Maximo aleta nyota mwingine
10 years ago
Mwananchi18 Oct
Aibu yetu, aibu yao...