Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UKAWA yatia kiwewe Serikali

SERIKALI imeonesha dalili za kukata tamaa ya kuendelea na mchakato wa Katiba mpya kutokana na wajumbe wa kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kutolegeza msimamo wa kurejea bungeni,...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

KwanzaJamii

Ukawa wawatia kiwewe Wassira, Mwigulu, Lukuvi

Steven Wasira Na Waandishi Wetu, Mwananchi Moshi/Dar. Mawaziri Stephen Wassira na Mwigulu Nchemba wamesema kuwa japo Bunge Maalumu la Katiba litaendelea na vikao vyake kuanzia kesho mjini Dodoma, halitakuwa na uhalali wa kisiasa. “Tunakwenda bungeni kuendelea na vikao kwa sababu hatuvunji sheria. Kumbukeni hata walipotoka (Ukawa) wakati ule tuliendelea na vikao kwa sababu akidi inaruhusu, japo hatutakuwa na uhalali wa kisiasa lakini kisheria tuna uhalali,” alisema Wasira ambaye ni...

 

11 years ago

Tanzania Daima

JK atia kiwewe

JOTO la nani ataondolewa kwenye Baraza la Mawaziri na nani atateuliwa limeanza kupanda miongoni mwa wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Tayari majina kadhaa yameshaanza kutajwa kurithi viti vya mawaziri...

 

11 years ago

Tanzania Daima

JK aingiwa kiwewe

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete, amewataka wanachama wake kuacha unyonge na uwoga katika chaguzi mbalimbali ili kukabiliana na baadhi ya vyama vya siasa ambavyo vinafikiria siasa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali yawaangukia Ukawa

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, amewaomba wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kutoka kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), warejee bungeni ili waweze kukamilisha kazi ya kuandika katiba mpya....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bazara la Mbowe kiwewe

BARAZA jipya la mawaziri kivuli lililotangazwa juzi na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, limeanza kukitia kiwewe Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Daima Jumapili limebaini. Mbowe alilisuka...

 

9 years ago

Mtanzania

Lowassa aleta kiwewe

NA ELIZABETH HOMBO, DAR ES SALAAM

SHUGHULI za wafanyabiashara kwenye masoko ya Tandale, Tandika na Kariakoo jijini Dar es Salaam, zimesimama kwa muda jana baada ya mgombea urais wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, kupita kwenye maeneo hayo.

Tofauti na juzi ambapo Lowassa alifanikiwa kufika kwenye kituo cha Daladala cha Gongo la Mboto bila kujulikana
na wananchi aliopishana nao njiani, jana baada ya kiongozi huyo kufika...

 

10 years ago

Mtanzania

Ukawa wairarua bajeti ya Serikali

mbatiano maoni ya upinzaniNA ARODIA PETER, Dodoma
KAMBI rasmi ya upinzani bungeni imeirarua bajeti ya Serikali na kuainisha mambo mbalimbali yatakayokwamisha utekelezaji wake.
Mbali na hayo, hotuba ya Ukawa ilitoa mchanganuo unaoonyesha kwamba kutokana na ukuaji wa deni la taifa, kila Mtanzania kwa sasa anadaiwa zaidi ya Sh 800,000.
Akisoma hotuba ya kambi hiyo bungeni jana, Msemaji wa Kambi rasmi ya upinzani bungeni kwa Wizara ya Fedha, James Mbatia alisema si sahihi Serikali kujigamba kuwa mwaka huu bajeti...

 

10 years ago

Tanzania Daima

UKAWA wasulubu serikali bungeni

SERIKALI imelazimika kuweka kwapani muswada wa sheria ya usimamizi wa kodi wa mwaka huu wa fedha baada ya kushindwa kupata akidi ya theluthi mbili ya wajumbe kutoka Zanzibar ambao wanaunda...

 

9 years ago

Mwananchi

Ahadi za Ukawa zaitikisa Serikali

Wakati kampeni za Uchaguzi Mkuu zikiendelea kushika kasi, ahadi za mgombea urais Chadema anayeungwa mkono na Ukawa, Edward Lowassa zimeanza kuichanganya Serikali na jana Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta aliibuka na kudai mgombea huyo anaahidi mambo ambayo tayari yanatekelezwa na Serikali ya CCM.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani