Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK azindua huduma ya afya mtandao


NA LATIFA GANZEL, MOROGORO
RAIS Jakaya Kikwete  amezindua mradi mpya wa huduma  ya afya kwa njia ya mtandao (Telemedicine) katika kituo cha afya  cha Mwaya, wilayani Ulanga.
Mradi huo ni moja ya utekelezaji wa sera ya afya ya mwaka 2007 na una lengo la kuboresha huduma za afya vijijini ili kupunguza vifo vya watoto wenye umri chini ya imaka mitano na wajawazito.
Rais alisema huduma hizo zitasaidia kutatua matatizo yaliyoshindikana katika zahanati na kwamba watahakikisha huduam zote muhimu...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

JAFO AZINDUA KITUO CHA AFYA WILAYA YA KITETO, AWATAKA WAHUDUMU WA AFYA KUTOA HUDUMA BORA KWA WANANCHI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Mhe.Selemani Jafo akizindua Kituo cha Afya Sunya, kilichopo wilayani Kiteto Mkoani Manyara.Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Mhe.Selemani Jafo akipiga makofi baada ya kuzindua Kituo cha Afya Sunya, kilichopo wilayani Kiteto Mkoani Manyara.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Mhe.Selemani Jafo akiongea na watumishi Kituo...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Dk. Seif azindua bodi ya ushauri huduma za afya

WAJUMBE wapya wa bodi ya ushauri ya uongozi wa hospitali binafsi, wametakiwa kuhakikisha sheria inayosimamia vituo vya kutolea huduma za afya inafanyiwa maboresho ili usimamizi uwe na ufanisi zaidi. Akizungumza...

 

5 years ago

CCM Blog

MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU AZINDUA AZINDUA MTANDAO WA VIONGOZI WAVAWAKE AFRIKATAWI LA TANAS

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) ambazo zimepiga hatua katika kuwapatia Wanawake nafasi za uongozi na kufikia asilimia 36.7.

Hayo ameyasema leo jijini Dodoma  wakati wa uzinduzi wa Mtandao wa viongozi Wanawake Afrika tawi la Tanzania amesema nchi imekuwa ya 14 katika kuzindua tawi hilo na kesho nchi ya Uganda inatarajia kuzindua hivyo itakuwa nchi ya 15.

Mhe.Samia amesema kuwa kumekuwa na...

 

9 years ago

StarTV

Sera Ya Afya Kutotungiwa Sheria yasababisha  Wazee nchini wakosa huduma bora za afya

Kukosekana kwa huduma bora katika sekta ya afya inayowatambua wazee kupata matibabu bora na bure kunatokana na sera ya wazee kutotungiwa sheria tangu mwaka 2003 inayotoa muongozo kwa watendaji wa Serikali na taasisi mbalimbali kuwahudumia.

Licha ya sera hiyo kutoa mwongozo kwa kila zahanati, kituo cha afya na hospitali za wilaya na mkoa kuwa na chumba maalumu kwa ajili ya matibabu ya wazee ikiwemo daktari anayetambua magonjwa yao lakini bado sera hiyo haitekelezwi.

 Naibu Mkurugenzi wa...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YAZINDUA MUONGOZO WA MPANGO HUDUMA ZA AFYA KATIKA JAMII PAMOJA NA MATUMIZI YA DASHBODI YA VIASHIRIA YA AFYA

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akisoma maelezo baada ya kuzindua Muongozo wa Mpango wa Watoa huduma ya Afya ya Jamii, Dar es Salaam jana. Wizara ya Afya imezindua muongozo huwa ikiwa ni muendelezo wa kuendelea kutoa kipaumbele katika kuimarisha huduma za kinga, ikiwemo elimu ya afya na uhamasishaji, lishe, udhibiti wa magonjwa ya kuambukiza kama Ukimwi na afya ya mama na mtoto.

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wazee na Watoto, Ummy...

 

10 years ago

Dewji Blog

Ukosefu wa huduma za afya za kisasa na uhakika zadaiwa kuwa sababu kubwa ya watanzania kufuata huduma hiyo nje ya nchi

CEOsir PIC01

. Ukosefu wa huduma za afya za uhakika na za kisasa zinadaiwa  kuwa sababu kubwa ya watanzania  wengi kufuata huduma hizo nchi za nje.

Hospitali ya Apollo ilikuwa moja ya hospitali za mwanzo kabisa katika bara la Asia, na duniani kwa ujumla kuleta huduma zote za kiafya chini ya paa moja. Na kwa wakati huu, mpango huo kabambe umeifanya hospitali hiyo kufanikiwa katika Nyanja zote za matibabu.

Dr. Prathap C Reddy, muasisi wa huduma za kiafya za kisasa nchini india, alianzisha hospitali ya...

 

9 years ago

Habarileo

Kikwete azindua usajili biashara kwa mtandao

RAIS Jakaya Kikwete amezindua huduma ya usajili jina la biashara kwa njia ya mtandao inayotolewa na Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni Nchini (BRELA), ambayo imeondoa mazingira ya rushwa na kuokoa muda.

 

10 years ago

GPL

MWIGULU AZINDUA MTANDAO WA MATAWI WA UTT MFI

Mwigulu Nchemba akihutubia wajumbe, wanabodi na wafanyakazi wa UTT katika uzinduzi wa mtandao wa matawi wa UTT MFI.
… Akiwa katika picha ya pamoja na wakurugenzi wa bodi na wafanyakazi wa UTT.
Baadhi ya…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani