JK: Chagueni mtu anayekemea rushwa
RAIS Jakaya Kikwete amesisitiza wapiga kura katika uchaguzi mkuu, kuchagua mgombea urais asiye na kigugumizi kwenye kukemea rushwa.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-pAdZrqZuEsg/VPcZA6G2VJI/AAAAAAAHHrM/X5yTvQ66wUY/s72-c/DSC_0983.jpg)
KILA MTU ANATAKIWA KUJENGA UADILIFU WA KUTOPOKEA RUSHWA - BALOZI SEFUE
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue amesema kujenga uadilifu kwa kila mtu katika nchi yake, ni kukataa rushwa kwa kutoa au kupokea.
Sefue aliyasema hayo katika Warsha ya Wadau ya kujadili Rasimu ya Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi,Watumishi wa Umma na Sekta Binafsi iliyoandaliwa na Tume ya Maadili iliyofanyika leo katika ukumbi wa Hoteli ya New Afrika jijini Dar es Salaam,alisema wazo la ahadi ya Uadilifu kwa viongozi,watumishi wa Umma na sekta binafsi ni...
10 years ago
Tanzania Daima26 Sep
‘Chagueni viongozi wenye kazi’
KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amewataka wananchi kuchagua viongozi wenye kazi zao binafsi, badala ya kuchagua viongozi wasiojishughulisha. Kinana alitoa rai hiyo juzi wakati akiwahutubia wananchi...
9 years ago
Habarileo21 Sep
Kimbisa: Chagueni Magufuli, ni msafi
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa amewaomba Watanzania kumchagua Rais asiye na makundi wala makandokando yoyote ambaye ni mgombea wa CCM, Dk John Magufuli. Kimbisa alisema hayo juzi wakati akizindua kampeni za ubunge katika jimbo la Chilonwa Kata ya Itiso.
10 years ago
Mwananchi12 Nov
Mbowe: Chagueni Ukawa mpate maendeleo
10 years ago
Habarileo08 Jul
‘Chagueni kiongozi mwenye hofu ya Mungu’
WATANZANIA wametakiwa kujitokeza kwa wingi kushiriki katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba, mwaka huu, huku wakihakikisha wanamchagua kiongozi atakayeweza kuzisimamia vizuri rasilimali za taifa kwa manufaa ya watu wote.
10 years ago
Habarileo02 Jun
Chagueni Rais atakayewaletea maendeleo -Askofu
WATANZANIA wametakiwa kutofanya makosa katika Uchaguzi Mkuu wa baadaye mwaka huu, na badala yake wameelekezwa kumchagua Rais atakayesaidia kuiletea nchi maendeleo.
9 years ago
Mwananchi28 Sep
Maalim Seif: Ni chagueni mnufaike na Muungano
10 years ago
Bongo Movies05 Dec
AUNT EZEKIEL: Chagueni wenyewe ni KITAMBI AU MIMBA!!!!
Japokuwa hadi sasa Muigizaji Aunt Ezekiel Grayson anakanusha kuwa hana ujauzito, stori zake za kuwa na ujauzito zimezidi kuenea kwa kasi zaidi kwenye mitando ya kijamii na blogs mbalimbali za hapa BONGO.
Hii nikutokana na kuonekaana kwenye Klabu ya New Maisha iliyopo Masaki jijini Dar, Jumapili iliyopita akiwa ameshiba yaani kitumbo ndi huku akishindwa kukificha baada ya kila kitu kuonekana waziwazi kwa macho yasiyohitaki miwani.
KIGAUNI CHAANIKA KILA...
10 years ago
Habarileo08 Apr
Waumini wa dini chagueni viongozi bora -Madenge
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Mahmoud Madenge amesema uhuru na raha ya kuabudu vitaendelea kuwepo, endapo waumini wa dini mbalimbali watashiriki Uchaguzi Mkuu ujao kwa kuchagua viongozi wanaoshughulikia matatizo ya wananchi.