Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kimbisa: Chagueni Magufuli, ni msafi

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa amewaomba Watanzania kumchagua Rais asiye na makundi wala makandokando yoyote ambaye ni mgombea wa CCM, Dk John Magufuli. Kimbisa alisema hayo juzi wakati akizindua kampeni za ubunge katika jimbo la Chilonwa Kata ya Itiso.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Video:JK: Magufuli ni mtu makini na msafi

Rais wa Tanzania Dk Jakaya Kikwete, leo amemnadi mgombe wa urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk John Pombe Magufuli, kwa kumuelezea kuwa ni mtu makini, msafi na asiyeshindwa

The post Video:JK: Magufuli ni mtu makini na msafi appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Michuzi

KIMBISA AMNADI MAGUFULI KWA NGUVU, MAMA PINDA ANOGESHA...!

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa akicheza wimbo wa hamasa wa kampeni za CCM kabla ya kuanza kumnadi Dk. Magufuli kwa wanaUWT, Mkoa wa Dodoma. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa akicheza wimbo wa hamasa wa kampeni za CCM kabla ya kuanza kumnadi Dk. Magufuli kwa wanaUWT, Mkoa wa Dodoma.'...Na wapigwe tu maana hamna namna nyingine..' Mke wa Waziri Mkuu wa Tanzania, Mama Tunu Pinda akizungumza na akinamama wa UWT Mkoa wa Dodoma. '.Na wapigwe tu maana hamna namna nyingine..' Mke wa Waziri Mkuu wa Tanzania, Mama Tunu Pinda akizungumza na akinamama wa UWT Mkoa wa Dodoma.
 Na Mwandishi Wetu, DodomaMWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa ameweka kando msimamo aliyokuwa nao awali na kuanza kumnadi kwa nguvu mgombea wa...

 

10 years ago

GPL

NANI MSAFI TUMCHAGUE CCM?

Waziri mkuu Mizengo Pinda. KELELE kubwa hivi sasa ni juu ya nani atapewa rungu la kuipeperusha bendera ya CCM katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu. Kuna msururu wa wanaotaka hadhi hiyo ambao hadi makala haya yanaandikwa, makada 32 walishajitokeza. Hata hivyo, CCM ambayo imekuwa ikiongoza serikali kwa miaka yote tangu Uhuru, baada ya muungano wa vyama vya TANU/ASP, imegubikwa na jinamizi la rushwa, ufisadi, ubinafsi wa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA: Hakuna kiongozi msafi CCM

CHAMA cha Demorasia na Maendeleo, (CHADEMA), kimesema wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), waliondoa kipengele cha uadilifu kwenye tunu za taifa kwa sababu walijua watakosa viongozi kwani hakuna aliye msafi....

 

10 years ago

Habarileo

Kimbisa: Sijahama na sitahama CCM

MWENYEKITI wa CCM mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa amekanusha uvumi kuwa ameungana na wenyeviti wengine wa mikoa wa CCM kukihama chama tawala nchini. Amesema wanaomzushia washindwe na walegee, kwani moyo na mwili wake upo CCM na kwamba kamwe hawezi kuhama.

 

10 years ago

Mwananchi

Makongoro Nyerere amrithi Kimbisa Eala

Wabunge wa Tanzania kwenye Bunge la Afrika ya Mashariki (Eala) wamemchagua Makongoro Nyerere kuwa mwenyekiti wao mpya baada ya Adam Kimbisa kumaliza muda wake.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Kimbisa Mwenyekiti Bodi ya Uhuru Media


NA JUMANNE GUDE
KAMATI Kuu ya CCM, imemteua Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma, Alhaj Adam Kimbisa, kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Uhuru Media Group.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Siasa na Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nauye alisema kuwa Kimbisa anachukua nafasi hiyo  iliyoachwa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahamani Kinana.

Kampuni ya Uhuru Media Group, inachapisha magazeti ya Uhuru, Mzalendo na Burudani. Pia inamiliki kituo cha redio cha Uhuru FM. 
Kimbisa ambaye ni...

 

10 years ago

Mwananchi

Adam Kimbisa awawakia watendaji ‘wanaokumbatia wagombea urais’

 Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa amewataka watendaji wa CCM kukaa ofisini kufanya kazi badala ya kuzunguka mikoani kusafisha njia ya wagombea urais.

 

10 years ago

Vijimambo

NCHIMBI, SOPHIA SIMBA NA KIMBISA WASEMA HAWAKUBALIANI NA UAMUZI WA KAMATI KUU(CC)

Mhe. Emmanuel Nchimbi akitangaza mbele ya wanahabari kwa kutoridhishwa na maamuzi yao kamati kuu(CC). (Picha na Kajunason Blog)
KAMATI Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (CC-NEC) imetoa orodha ya wagombea watano bila ya jina la Edward Lowassa kuwemo ndani. Lakini katika hali inayoonesha mpasuko, baadhi ya wajumbe wa kamati kuu wamepinga uamuzi huo.Majina yaliyopatikana, ambayo hata hivyo hayajatangazwa rasmi na chama, ni ya Bernard Membe, Dk. John Magufuli, Dk. Asha Rose-Migiro, January Makamba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani