Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK kufungua Jukwaa la Vijana

Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Sixtus Mapunda akizumgumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana kuhusu kuandaa Jukwa la Tatu la Kimataifa, lijulikanalo kama Africa- China Young Leaders’ litakalofanyika jijini Arusha, litakalojumuisha vijana kutoka nchi mbalimbali duniani ambapo Rais Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasmi. Kushoto ni Katibu wa Sekretarieti ya Oganaizesheni na Siasa, Zainab Katimba. (Na Mpigapicha Wetu).RAIS Jakaya Kikwete anatarajiwa kufungua Jukwaa la Vijana la Kimataifa la viongozi wa Afrika na China lenye kujadili masuala mbalimbali yakiwemo ya kiuchumi, kijamii na kisiasa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Vijana kutanua wigo wa kibiashara Afrika na China kupitia mkutano wa jukwaa la viongozi vijana

IMG_2103

Balozi wa China nchini Tanzania Mheshimiwa Dr.Lu Youqing akiongea na kushoto ni Naibu waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Mhe. Stephen Masele walipokutana kwenye ukumbi wa ubalozi huo kuzungumzia mkutano wa kimataifa wa viongozi vijana wa Afrika na China unatorajiwa kufanyika kuanzia Machi 27 na kumalizika Machi 31 katika Ukumbi wa Hoteli ya Ngurdoto, mkoani Arusha.

IMG_2136

Balozi wa China hapa nchini Mheshimiwa Dr.Lu Youqing akijibu swali aliloulizwa na mwandishi wa habari (Hayupo...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

‘Vijana changamkieni mkutano wa jukwaa’



NA MWANDISHI WETU VIJANA wametakiwa kujitokeza kushiriki Mkutano wa Jukwaa la Tatu la Kimataifa la Viongozi Vijana wa Afrika na China, linaloandaliwa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM). Aidha, jukwaa hilo linalohusu kudumisha urafiki, ushirikiano na maendeleo, baina ya vijana wa Afrika na China kiuchumi, kisiasa na kijamii, linatarajiwa kufanyika jijini Arusha, kuanzia Machi 27 hadi 31, mwaka huu.Sixtus MapundaKatibu Mkuu wa UVCCM, Sixtus Mapunda, alisema jasna jijini Dar es Salaam kuwa mkutano...

 

11 years ago

Mwananchi

Dodoma waanzisha jukwaa la vijana wasomi, wajasiriamali

Ujana ndio umri pekee ambao mtu anaweza kufanya mabadiliko makubwa katika maisha yake binafsi na kwa Taifa kwa ujumla

 

10 years ago

Mwananchi

Tanzania mwenyeji wa Jukwaa la vijana Afrika na China

Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete anatarajiwa kuzindua Jukwaa la kimataifa la  vijana kutoka nchi 43 za Africa na China lenye  lengo la kudumisha urafiki ,ushirikiano wa kimaendeleo  katika Nyanja za kiuchumi ,kijamii na kisiasa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dk. Bilal kufungua mkutano wa wanasanyasi vijana duniani

MAKAMU wa Rais Dk. Mohamed Bilal anatajiwa kuwa mgeni rasmi katika mkutano wa wanasayansi vijana duniani utakaofanyika Agosti 11 hadi 14 mwaka huu, jijini Dar es Salaam. Mkutano huo utashirikisha...

 

9 years ago

Michuzi

AIRTEL YAENDELEA KUFUNGUA FURSA KWA VIJANA HAPA NCHINI

Katika kupambana na wimbi la kupunguza umaskini hapa nchini, kampuni ya Mawasiliano ya Airtel Tanzania kupitia mpango wake wa “Airtel FURSA Tunakuwezesha” unaendelea kutoa mafunzo ya biashara ya ujasiriamali kwa vijana wenye lengo la kuwawezesha na kuwainua vijana hapa nchini .
Mafunzo hayo ya biashara ambayo yamekuwa yakiendeshwa hapa nchini katika mikoa mbali mbali , wiki ijayo yatafanyika Dar Live  Mbagala Kuu karibu na Big Bon  siku ya Jumanne tarehe 15 ili kuwawezesha vijana kuweza...

 

10 years ago

Vijimambo

Vijana watano kutoka Tanzania watumbuiza na Ben Pol jukwaa la 'Coke Studio Afrika' Kenya

Ben Pol kutoka Tanzania (wa pili kushoto), Wangechi kutoka Kenya (wa tano kushoto) na Silva Stone kutoka Ghana (wa pili kulia) wakiwa pamoja na vijana kutoka Tanzania waliokwenda kushuhudia tamasha la Coke Studio Afrika nchini Kenya baada ya kushinda kupitia shindano lililoedeshwa kupitia akaunti ya instagramu ya Millard Ayo.
Vijana watano wapata fursa ‘Coke Studio Afrika’ Kenya.Coke studio Afrika ni moja ya matamasha makubwa ambayo huandaliwa na kampuni ya Coca-Cola ambayo hufanyika  kila...

 

5 years ago

Michuzi

VETA, Plan International kufungua milango ya ajira kwa vijana 400 mkoani Mwanza

Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imesaini makubaliano ya ushirikiano na Shirika la Kimataifa la Plan International, kutoa mafunzo ya ufundi stadi kwa vijana 400 mkoani Mwanza kupitia mradi wa Vijana na Ubunifu katika Kazi (VUKA).

Akizungumza wakati wa tukio la utiaji saini makubaliano hayo leo tarehe 21 Februari, 2020 katika ofisi za VETA Makao Makuu Dar es Salaam, Mkurugenzi Mkazi wa Plan International Tanzania Dkt. Mona Girgis amesema kuwa makubaliano hayo yanalenga hasa...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS WA ZIMBABWE,ROBERT MUGABE AWASILI JIJINI ARUSHA,KUFUNGUA KOGAMAO LA 3 LA VIONGOZI VIJANA WA AFRIKA NA CHINA LEO

 Makamu wa Rais Dk Gharib Bilal akizungumza jambo na Rais wa Zimbabwe,Mh.Robert Mugabe mara mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa KIA,mapema leo mchaa.Rais Mugabe anatarajiwa kufungua  Kongamano la Viongozi Vijana wa Afrika na China litakaloanza leo mjini Arusha. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiteta jambo  na Rais wa Zimbabwe,Mh.Robert Mugabe mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa KIA mapema leo mchana.Rais Mugabe anatarajiwa kufungua  Kongamano la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani