Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Vijana changamkieni mkutano wa jukwaa’



NA MWANDISHI WETU VIJANA wametakiwa kujitokeza kushiriki Mkutano wa Jukwaa la Tatu la Kimataifa la Viongozi Vijana wa Afrika na China, linaloandaliwa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM). Aidha, jukwaa hilo linalohusu kudumisha urafiki, ushirikiano na maendeleo, baina ya vijana wa Afrika na China kiuchumi, kisiasa na kijamii, linatarajiwa kufanyika jijini Arusha, kuanzia Machi 27 hadi 31, mwaka huu.Sixtus MapundaKatibu Mkuu wa UVCCM, Sixtus Mapunda, alisema jasna jijini Dar es Salaam kuwa mkutano...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Vijana kutanua wigo wa kibiashara Afrika na China kupitia mkutano wa jukwaa la viongozi vijana

IMG_2103

Balozi wa China nchini Tanzania Mheshimiwa Dr.Lu Youqing akiongea na kushoto ni Naibu waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Mhe. Stephen Masele walipokutana kwenye ukumbi wa ubalozi huo kuzungumzia mkutano wa kimataifa wa viongozi vijana wa Afrika na China unatorajiwa kufanyika kuanzia Machi 27 na kumalizika Machi 31 katika Ukumbi wa Hoteli ya Ngurdoto, mkoani Arusha.

IMG_2136

Balozi wa China hapa nchini Mheshimiwa Dr.Lu Youqing akijibu swali aliloulizwa na mwandishi wa habari (Hayupo...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI WA CHINA NCHINI NA MHE. MASELE WAZUNGUMZA JUU YA MKUTANO WA JUKWAA LA VIONGOZI VIJANA AFRIKA NA CHINA

Balozi wa China nchini Tanzania, Mhe. Dr. Lu Youqing akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani)  juu ya mkutano wa kimataifa wa viongozi vijana wa Afrika na China unatorajiwa kufanyika kuanzia Machi 27 na kumalizika Machi 31 katika Ukumbi wa Hoteli ya Ngurdoto, jijini Arusha.Kushoto ni Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira),Mhe. Stephen Masele.Balozi wa China hapa nchini, Mhe. Dr. Lu Youqing akipeana mkono na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais...

 

5 years ago

Michuzi

Vijana wa Dar Changamkieni Fursa


************************Nteghenjwa Hosseah, Dar es salaam
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo(Mb) amewataka vijana wa Mkoa wa Dar es Salaam kuchangamkia fursa za mikopo ya vijana inayotolewa katika kila Halmashauri Nchini.
Waziri Jafo ameyasema hayo wakati alipokua akifungua Kampeni ya Vijana Twende inayolenga Vijana wa Dar es salaam kuchangamkia fursa za kujukwamua kiuchumi iliyofanyika katika ukumbi wa Ubungo Plaza,...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Vijana changamkieni fursa za uwekezaji — Dk Bilal

MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Dk. Gharib Bilal, amewataka vijana nchini kuchangamkia fursa mbalimbali za uwekezaji kwa njia ya ubia kutoka kwa wawekezaji wa nje, ili kujitengenezea fursa za ajira...

 

10 years ago

Michuzi

KIDOTI :VIJANA WA JIJI LA ARUSHA CHANGAMKIENI FURSA ZA KIJASIRIAMALI


 Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Kidoti Jokate Mwegelo  (kidoti) akiwa na mabalozi wake aliwapata ndani ya mkoa wa Arusha tayari kwa kwenda mtaani kutangaza bidhaa zake zake za kidoti zilizoingia jijini Arusha kwa mara ya kwanza 


 warembo wa Kidoti wakiwa wako katika pozi wameshikilia baadhi ya bidhaa za Kidoti 

 mmoja wa mabalozi wa kidoti  aliyejulikana kwa jina la Anolia Agustino akiwa anaongea na waandishi wa habari Meneja masoko wa kampuni ya kidoti Peter Kasija akiwa anaongea na...

 

10 years ago

Michuzi

HUC YATANGAZA UFADHILI WA MASOMO YA UFUNDI VETA, VIJANA CHANGAMKIENI

Na Nathan Mpangala wa HUC.
Shirika lisilo la kiserikali la Help for Underserved Communities Inc. (HUC), linatangaza nafasi za ufadhili wa masomo ya ufundi VETA kwa vijana wa Kitanzania. Kozi hizo ni ufundi wa magari, umeme wa magari, udereva magari/pikipiki, ufundi cherehani, hair dressing (urembo), mapambo ya ukumbi na nyinginezo.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na shirika hilo, inasema, HUC, itafadhili wanafunzi 15 wa kozi mbalimbali za awali VETA kwa mwaka 2014-2015.
Walengwa ni vijana wa...

 

10 years ago

Habarileo

JK kufungua Jukwaa la Vijana

Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Sixtus Mapunda akizumgumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana kuhusu kuandaa Jukwa la Tatu la Kimataifa, lijulikanalo kama Africa- China Young Leaders’ litakalofanyika jijini Arusha, litakalojumuisha vijana kutoka nchi mbalimbali duniani ambapo Rais Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasmi. Kushoto ni Katibu wa Sekretarieti ya Oganaizesheni na Siasa, Zainab Katimba. (Na Mpigapicha Wetu).RAIS Jakaya Kikwete anatarajiwa kufungua Jukwaa la Vijana la Kimataifa la viongozi wa Afrika na China lenye kujadili masuala mbalimbali yakiwemo ya kiuchumi, kijamii na kisiasa.

 

10 years ago

Mwananchi

Tanzania mwenyeji wa Jukwaa la vijana Afrika na China

Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete anatarajiwa kuzindua Jukwaa la kimataifa la  vijana kutoka nchi 43 za Africa na China lenye  lengo la kudumisha urafiki ,ushirikiano wa kimaendeleo  katika Nyanja za kiuchumi ,kijamii na kisiasa.

 

11 years ago

Mwananchi

Dodoma waanzisha jukwaa la vijana wasomi, wajasiriamali

Ujana ndio umri pekee ambao mtu anaweza kufanya mabadiliko makubwa katika maisha yake binafsi na kwa Taifa kwa ujumla

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani