JK kufungua maonyesho Tanga
RAIS Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa maonyesho ya pili ya kimataifa ya biashara mkoani Tanga. Maonyesho hayo yanatarajiwa kufunguliwa Mei 26 na kumalizika Juni 3 katika...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi11 Jun
Kigoda kufungua maonyesho Arusha
10 years ago
Michuzi
MH. SITTA KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA MAZINGIRA JIJINI TANGA


10 years ago
Dewji Blog02 Aug
Waziri Mkuu Mizengo Pinda kufungua Maonyesho ya Nane Nane Kitaifa mkoani Lindi Agosti 3, mwaka huu
Lindi kumekucha, pilikapilika za maandalizi ya Maonyesho ya Nane Nane kitaifa mwaka huu zimepamba moto ambapo Mgeni Rasmi katika maonesho hayo yatakayofunguliwa Jumatatu Agosti 3, 2015 anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda. Maonyesho hayo ya mwaka huu yanaongozwa na kauli mbiu “Matokeo Mkubwa Sasa, Tuchague Viongozi Bora kwa Maendeleo ya Kilimo na Ufugaji”.
Mratibu wa Maonyesho ya Nane Nane kutoka wilaya ya Newala Ado Kiwangu akiwaonesha na...
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA WIZARA YA UCHUKUZI, SHAABAN MWINJAKA ATEMBELA MAONYESHO YA WIKI YA MAZINGIRA TANGA.
10 years ago
MichuziWANANCHI WATEMBELEA BANDA LA WIZARA YA UCHUKUZI KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA MAZINGIRA YANAYOFANYIKA KITAIFA MKOANI TANGA
11 years ago
GPLMKUU WA MKOA TANGA MGENI RASMI MISS TANGA 2014
11 years ago
Michuzi.jpg)
Wasanii wa serengeti fiesta Tanga wamjulia hali Babu njenje, Tanga, leo
.jpg)
.jpg)
5 years ago
MichuziTANGA UWASA YATOA VIFAA 85 VITAKAVYOTUMIKA KWA AJILI YA USAFI MKOANI TANGA
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Geofrey Hilly kulia akimkabidhi vifaa vya 85 vitakavyotumika kwa ajili ya usafi kwenye wilaya tatu zilizopo mkoani Tanga Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella kushoto ili viweze kusambazwa maeneo mbalimbali ikiwemo masokoni,hospitalini na stendi sambamba na kujenga masinki ya kunawia mikono kushoto ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga Judica Omari na Meneja wa Ruwasa Mkoa wa Tanga Upendo Lugongo na wa...
5 years ago
MichuziTANGA CEMENT (PLC) WATOA MSAADA WA VIFAA VYA KUJIKINGA NA COVID -19 TANGA
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella kulia akipokea msaada wa vifaa kinga kwa ajili ya kusaidia mapambano ya virusi vya Covid 19 kwa ajili ya Hospitali ya Mkoa wa Tanga Bombo na Jeshi la Polisi Mkoa huo kutoka kwa Mtendaji Mkazi wa Kiwanda cha Tanga Saruji cha Cement PLC Mhandisi Benedict Lema kushoto wanaoshuhudia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga Judica Omari kulia na kushoto Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga Blasius Chatanda
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella kulia akipokea msaada wa...