Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK: Mfumo wa Rais kung’atuka madarakani ni mzuri

D92A4947

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mabalozi wa Afrika wanaoziwakilkisha nchi zao nchini China wakati alipokutana nao jijini Beijing China leo asubuhi.Raius Kikwete yupo nchini China kwa ziara ya kiserikali.(picha na Freddy Maro).

. Unatoa nafasi kwa nchi kupata mawazo na fikra mpya

.Anaamini Tanzania itapata Rais bora zaidi wa kumrithi yeye

. Atamani muda wake umalizike akalee wajukuu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa mfumo...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Nyambui ataka kung’atuka RT

Katibu wa Chama cha Riadha Tanzania (RT), Suleiman Nyambui amemtaka mtu yeyote anayeweza kuongoza chama hicho ajitokeze ili yeye ang’atuke na kumwachia madaraka.

 

11 years ago

Habarileo

Mbunge Dodoma kung'atuka

MBUNGE wa Chilonwa, Hezekiah Chibulunje (CCM), ametangaza kutogombea tena ubunge wa jimbo hilo mwakani baada ya kulitumikia kwa miaka 20 mfululizo.

 

9 years ago

Mwananchi

Wenger atangaza kung’atuka 2017

Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger ametikisa kiberiti kwenye klabu hiyo ya London Kaskazini akieleza kuwa anafikiria kuiacha ifikapo 2017.

 

11 years ago

BBCSwahili

Sejusa: Museveni ajiandae kung'atuka

Bregedia muasi wa jeshi la Uganda UPDF, Generali David Sejusa amezindua chama chake cha kisiasa nchini Uingereza na kutoa onyo kali kwa Rais Yoweri Museveni

 

10 years ago

BBCSwahili

Fifa: Sepp Blatter kung’atuka Desemba

Raisi wa shirikisho la kandanda duniani Sepp Blatter ataachia ngazi ifikapo Decemba 16

 

10 years ago

BBCSwahili

Kocha aliyefutwa kazi akataa kung'atuka

Atto Mensah amesisitiza kuwa yeye ndiye mkufunzi wa timu ya soka ya Sierra Leone.

 

9 years ago

Vijimambo

JK akumbushwa kutangaza mali alizochuma kabla ya kung'atuka.

Mkurugenzi wa Idara ya Utetezi na Maboresho kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Harold Sungusia, amemkumbusha Rais Jakaya Kikwete, asiondoke kimyakimya bila kutangaza au kuorodhesha mali alizochuma wakati akiwa madarakani.

“Rais Kikwete alijaza fomu ya mali alizokuwa nazo Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, lakini hakutangaza. Tunasubiri kuona sasa baada ya kumaliza atatangaza mali aliyopata akiwa madarakani,” alisema.

Alisema mwaka 1995, Rais mstaafu,...

 

10 years ago

Mwananchi

Mbinu mbalimbali za viongozi wa Afrika kung’ang’ania madarakani

Viongozi wakuu wa nchi za Afrika wanapotaka kuendelea kukaa madarakani zaidi ya vipindi vilivyokubaliwa kikatiba, hutumia mbinu mbalimbali. Baadhi hutumia wananchi waanze kufanya ushawishi katiba zirekebishwe ili viongozi husika waendelee; wengine hutumia kisingizio cha sensa, kucheza na tafsiri ya katiba na baadhi hutumia mbinu ya kuchelewesha uandikishaji.

 

10 years ago

Vijimambo

Mbatia Asema Yake Baada Ya Profesa Lipumba Kung’atuka Uenyekiti CUF


Kufuatia uamuzi wa Profesa Ibrahim Lipumba kujiuzulu nafasi ya uenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), watu mbalimbali wamekuwa na mtazamo tofauti huku wengi wakitaka kujua hatua hiyo imepokelewa vipi na viongozi wa Ukawa.Mwenyekiti wa NCCR- Mageuzi, James Mbatia ameelezea jinsi alivyopokea taarifa za hizo akiwa mwenyekiti mwenza wa Ukawa.Akiongea katika mahojiano maalum na waandishi wa habari, Mbatia amesema kuwa uamuzi huo ni wa kawaida kwa kuzingatia mfumo wa vyama vingi nchini na kwamba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani