Jokate asema wasanii wanaponzwa na umaarufu
Mwanamitindo na muimbaji, Jokate Mwegelo amewataka wasanii kutumia umaarufu wao vizuri ili wapewe ushirikiano na kila mtu katika kazi zao. Jokate amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio kuwa wasanii wengi wanavimba kichwa baada ya kupata umaarufu hali inayopelekea mwisho wao kuwa mbaya. “Unajua ukiwa maarufu kila mtu akawa anaimba nyimbo yako, ni rahisi […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JSct6ft9ycRHF6CR7pKR2ED5dXlOJW5oRNk4c2JE5TXEiDUyGrpqvVkaaDvI2Jloaqe8WdAmdlXQavxtc2e-H-68GHE0xrGG/WASTARA.jpg)
WASTARA: WASANII TUNA UMAARUFU MAANDAZI
10 years ago
Bongo521 Aug
French Montana asema hayuko na Khloe Kardashian kwasababu ya umaarufu wake, adai alitafsiriwa vibaya
9 years ago
Mtanzania20 Aug
Jokate: Wasanii wa kike niungeni mkono
NA VICTORIA PATRICK (TSJ)
MWANAMITINDO, Joketi Mwegelo ‘Kidoti’, amewataka wasanii wenzake hasa wa kike wamtie nguvu kwa kununua bidhaa zake badala ya maneno matupu.
Mrembo huyo ambaye ni Miss Tanzania namba mbili mwaka 2006, alifafanua kwamba wasanii wengi wa kike wamekuwa wakisifia bidhaa zake kwa maneno lakini hawamuungi mkono kwa kuzinunua.
Jokate ambaye pia ni mwanamuziki na mwigizaji, alisema wasanii hao wakitumia bidhaa zake zitamuongezea kipato na kumtangaza yeye pamoja na taifa kwa...
10 years ago
Mtanzania15 Jun
Jokate kutoa somo kwa wasanii leo
NA THERESIA GASPER
MREMBO na mwanamitindo maarufu nchini, Jokate Mwegelo, leo atatoa somo kwa wasanii na wadau wa sanaa katika kongamano la Jukwaa la Sanaa litakalofanyika kwenye ukumbi wa Basata jijini Dar es Salaam.
Ofisa Habari wa Basata, Aristides Kwizela, alisema Jokate pamoja na mbunifu mashuhuri wa mitindo ya mavazi nchini, Asia Idarous, watatoa mada katika jukwaa hilo na watazungumzia namna ya kutumia umaarufu na vipaji vyao kukuza kipato.
“Jukwaa hili litawataka wasanii na wadu wa...
10 years ago
Mtanzania17 Apr
Jokate Mwegelo: Wasanii wa nje wameendeleza vipaji vyetu
NA JENNIFER ULLEMBO
MWANAMITINDO Jokate Mwegelo ‘Jojo’, ameweka wazi kwamba tabia ya kuwashirikisha wasanii maarufu kutoka nje ya nchi katika baadhi ya nyimbo za wasanii wa ndani kumeinua na kuendeleza vipaji vya wanamuziki wa Tanzania.
Jokate alisema hali hiyo ndiyo iliyomsukuma aendelee kuwashirikisha wasanii wa nje katika muziki anaofanya ili akuze kipaji na kutanua soko la muziki wake.
“Jina langu limepiga hatua kubwa katika masuala ya mitindo na ubunifu, hivyo nataka nijulikane zaidi na...
9 years ago
Bongo528 Sep
Master J asema tuzo za kimataifa wanazopata wasanii wa Tanzania haziwanufaishi
9 years ago
Bongo507 Oct
Madam Rita asema ukiritimba umewakwamisha wasanii kupiga hatua
10 years ago
Bongo Movies02 Apr
Kutokana na Ushiriki Hafifu wa Wasanii Kwenye Msiba Wa Diffender, Sumaku Asema Haya
Mwenyekiti wa Chama cha Wachekeshaji (Tanzanian Comedian Association) Habib Mkamba ‘Sumaku’ amewapongeza wasanii hao kwa kujitolea katika kumuuguza msanii mwenzao hadi kifo chake Fadhil Said almaarufu kama Diffender, amedai kuwa pamoja na kutengwa na wasanii wengine lakini walijitoa.
Nawashukru na kuwapongeza kwa wale wasanii wa Komedi ambao tumejitoa kupigania afya ya marehemu Difenda, niliwahi kusema kila anapofariki mwenzetu kuna mwingine yupo njiani tusiposhirikiana ni...
10 years ago
Dewji Blog01 Sep
Alex Msama atangaza vita na wezi wa kazi za wasanii, asema watasakwa popote walipo
Mkurugenzi wa kampuni ya Msama Promotion ya jijini Dar es salaam Bw. Alex Msama akimwaga furushi lililojaa CD na DVD feki za kazi mbaimbali za wasanii zinazorudufiwa kwa wizi na watu wasiokuwa waaminifu hivyo kupelekea hasara kubwa kwa wasanii, kwakuwa kazi hizo haziwaingizii kipato chochote zaidi ya kwanufaisha wezi hao, Kazi hizi zimekamatwa katika maeneo mbalimbali jijini Dar es salaam ikiwa ni pamoja na vifaa mbalimbali vinavyotumika kutengeneza kazi hizo katika msako huo. Thamani ya...