JOKATE HUYOO BONGOFLEVA
![](http://api.ning.com:80/files/VEmjh*oDsumCS**6I*DeohnxBIBH6ILuZQDV*tGjMoqH-U7*R-zh75boaO*Wp6Fjj0HK5v33musXgh940Ch4QxZ54hW6uTu9/jokate.jpg)
Stori: Musa Mateja MWANAMITINDO maarufu ambaye aliwika na lebo ya Kidoti, Jokate Mwengelo juzikati aliamua kujizamisha rasmi kwenye muziki wa Bongo Fleva baada ya kupanda kwa mara ya kwanza katika Jukwaa la Serengeti Fiesta 2014, akiwa na madensa wake. Mwanamitindo maarufu ambaye aliwika na lebo ya Kidoti, Jokate Mwengelo. Ishu hiyo ilitokea usiku wa kuamkia Agosti 10 mwaka huu ndani ya uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza,...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima08 Jan
Mtendaji Nangolo huyoo Old Trafford
OFISA Mtendaji wa Kijiji cha Nangolo, wilayani Kilwa, mkoani Lindi, Shaibu Dege, ameibuka mshindi wa tiketi mbili za kwenda kuangalia mechi ya Ligi Kuu ya Uingereza kwenye Uwanja wa Old...
9 years ago
Mtanzania30 Nov
Jua Cali huyoo kwa Snoop Dogg, Dr Dre
NAIROBI, KENYA
MKALI wa wimbo wa ‘Kwaheri’, Paul Nunda ‘Jua Cali’, anatarajia kusonga mbele kimataifa kutokana na mpango wake wa kufanya kazi na wasanii wakali duniani akiwemo, Snoop Dogg na Dr Dre.
Jua Cali hakutoa wimbo mpya tangu mwaka 2008 alipotoa wimbo wa ‘Kwa heri’ uliokuwa kwenye chati za juu Afrika Mashariki, lakini kwa sasa msanii huyo amewekeza muziki wake katika soko la kimataifa hasa kwa wasanii wa Marekani, Snoop na Dr. Dre.
“Ninaamini nina uwezo mkubwa kwa kuwa nilifanya...
10 years ago
Bongo Movies19 Jul
Baada ya Ushindi wa Tuzo, Diamond Atupa Dongo kwa Jokate, Jokate Naye Ajibu
Usiku wa jana kuamkia leo July 19 2015 Diamond Platnumz kanyanyua ushindi mwingine kwenye Tuzo za MTVMAMA2015, zilizokuwa zikitolewa Durban Africa Kusini.
Leo Diamond alipost Video inayomwonesha staa wa Mitindo Bongo, mrembo Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ akicheza wimbo wa ‘Mdogomdogo‘ alafu akaandikia hivi >>>> ‘Mbona Bado, Mtanyooka tu..‘ >>>> @ diamondplatnumz
Baadae Jokate nae akaandika kwenye ukurasa wake wa @Instagram kuhusu video hiyo ambayo alimpost Diamond.
Tuki-support mtu ndio kama hivi...
5 years ago
MichuziWAZIRI JAFO AAGIZA SHULE ILIYOJENGWA NA DC JOKATE IITWE JOKATE GIRLS SEKONDARI, ASIFU UTENDAJI WAKE
Moja ya jengo jipya na la kisasa la Shule ya Sekondari ya Wasichana Jokate Girls iliyopo Kata ya Kibuta wilayani Kisarawe mkoani Pwani ambayo linavyoonekana.Waziri wa Nchi ,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Selemen Jafo amefanya ziara ya kutembelea shule hiyo kwa ajili ya kukagua maendeleo ya ujenzi wake.
Waziri wa Nchi ,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Selemen Jafo akizungumza jana baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Shule ya bweni ya...
9 years ago
Mwananchi26 Sep
Nyota wa Bongofleva waliopotea
10 years ago
Mwananchi24 Dec
‘Siendi kinyume na bongofleva hiphop’