Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jokate: Sipendi Kutomaswa Kwenye Filamu!

Mwanamitindo na mwigizaji wa filamu, Jokate Mwegelo amesema kuwa hapendi kuigiza sini za mapenzi hasa zile anazotakiwa kushikwashikwa na mwanaume hasa asiyemjua.

Jokate alifunguka hayo wakati paparazi wa GPL alipotaka kujua namna ambavyo wazazi na mpenzi wake wanavyolipokea suala la yeye kuigiza sini za kushikwashikwa na wanaume tofauti katika filamu ndipo alipofunguka kuwa suala hilo limekuwa likipigwa vita na wazazi wake lakini analazimika kufanya kwa sababu ndiyo kazi...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

JOKATE: SIPENDI ‘SINI’ ZA KUTOMASWA!

Mwanamitindo ambaye pia ni msanii wa filamu Bongo, Jokate Mwegelo. Stori: Laurent Samatta
MWANAMITINDO ambaye pia ni msanii wa filamu Bongo, Jokate Mwegelo amesema kuwa hapendi kuigiza sini za mapenzi hasa zile anazotakiwa kushikwashikwa na mwanaume hasa asiyemjua. Jokate alifunguka hayo wakati paparazi wetu alipotaka kujua namna ambavyo wazazi na mpenzi wake wanavyolipokea suala la yeye kuigiza sini za kushikwashikwa na...

 

11 years ago

Bongo5

Audio: Jokate azungumzia filamu, muziki, biashara, Alikiba vs Diamond, Wema na mapenzi

Jokate Mwegelo yupo jijini Nairobi, Kenya ambapo hata hivyo hajaweka wazi ameenda kufanya nini lakini aliweza kukutana na Mzazi Willy M Tuva kwenye show ya redio inayosikilizwa zaidi nchini humo, ‘Mambo Mseto’ ya kituo cha Radio Citizen kuzungumzia masuala mbalimbali kuanzia filamu, muziki, biashara, ushindani kati ya Alikiba na Diamond na uhusiano. Kuhusu nyimbo mpya […]

 

9 years ago

GPL

YALIYOMO KWENYE GAZETI LA IJUMAA: JOKATE ANASA UJAUZITO!

Wakati Wema akihaha kusaka mtoto, Jokate anasa ujauzito! -Ashindwa kuhudhuria pati ya Wema -Unataka kumjua mwenye ‘mzigo’ huo? -Jokate anena na mazito na Ijumaa. Zari ammaindi mrembo aliyejichora tatuu ya Diamond -Je, unataka kumjua mrembo huyo ni nani? -Unataka kufahamu undani wake? Mme wa mtu afanya mambo ya aibu -Je, unataka kujua alichokifanya mbaba huyu, wapi na ilikuwaje? Dada wa Diamond afanyiwa kitu mbaya usiku -Ni...

 

10 years ago

Bongo5

Mtangazaji wa Magic Fm, TeeJay achukua nafasi ya Jokate kwenye ‘The One Show’ ya TV One

Kipindi cha runinga ‘The One Show’ cha TV One kilichokuwa kikiendeshwa na Jokate Mwegelo na Ezden Jumanne, kimepata mtangazaji mpya wa kike aliyechukua nafasi ya Jokate. Ezden na TeeJay Mtangazaji huyo ni Tahjir Siu a.k.a TeeJay, ambaye sasa atakuwa akifanya show hiyo na Ezden. TV 1 ilimtambulisha mwana familia huyo mpya kupitia Instagram: “Ndugu watazamaji […]

 

11 years ago

Bongo5

Jokate azungumzia alivyojisikia baada ya kutumbuiza kwenye Fiesta Mwanza

Mwanamitindo na mtangazaji wa TV, Jokate Mwegelo ameizungumzia show yake ya kwanza kwenye jukwaa la Serengeti Fiesta 2014 jijini Mwanza. Akizungumza na Bongo5 baada ya kumaliza show hiyo iliyofanyika (July 9) katika uwanja wa CCM kirumba Mwanza, Jokate alisema huo ni mwanzo tu wa muziki wake kwani amejipanga vizuri. “Nimejisikia vizuri kwa sababu ni mara […]

 

10 years ago

Bongo Movies

Jokate Aibuka Muigizaji Bira wa Kike Kwenye Tuzo za ZIFF

“Shukrani Sana Zanzibar International Film Festival Kwa Kuona Moja Ya Vipaji Vyangu Kwa Kunipa Tuzo Ya Muigizaji Bora Wa Kike In Swahili Film. Asante Sana Sana Pia @jb_jerusalemfilms Kwa Fursa Ya Kufanya Kazi Nawewe Na Kwa Kutambua Kipaji Changu. Thank You ZIFF for this Honor. God Bless.”

Ameaandika jokate kwenye ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram.

Washindi wengine wa tuzo hizo zilizotolewa usiku wa jana, katika upande wa Bongo Movies ni kama ifuatavyo.

1. People’s Choice Award –...

 

9 years ago

MillardAyo

Video ya Alikiba kwenye stage alivyouaga mwaka akisindikizwa na wakina Wema, Jokate

Matukio mengi ya burudani yamezidi kupata headlines mbalimbali hususani katika kipindi hiki cha mwisho wa mwaka 2015, hapa nakusogeza karibu tena na msanii Alikiba kwenye stage ya Escape One, Mikocheni Dar es Salaam Dec 26. Bonyeza Play hapa ushuhudie matukio yote ikiwemo Wema Sepetu na Jokate walivyopandishwa jukwaani. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa […]

The post Video ya Alikiba kwenye stage alivyouaga mwaka akisindikizwa na wakina Wema, Jokate appeared first on...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani