JOKATE: SIPENDI ‘SINI’ ZA KUTOMASWA!
![](http://2.bp.blogspot.com/-vv5Qhsk6g-8/TdLxNhfHRII/AAAAAAAAaXY/MMZr8ZMxUzA/s1600/225305_10150597945110641_598370640_18394713_5645541_n.jpg?width=650)
Mwanamitindo ambaye pia ni msanii wa filamu Bongo, Jokate Mwegelo. Stori: Laurent Samatta MWANAMITINDO ambaye pia ni msanii wa filamu Bongo, Jokate Mwegelo amesema kuwa hapendi kuigiza sini za mapenzi hasa zile anazotakiwa kushikwashikwa na mwanaume hasa asiyemjua. Jokate alifunguka hayo wakati paparazi wetu alipotaka kujua namna ambavyo wazazi na mpenzi wake wanavyolipokea suala la yeye kuigiza sini za kushikwashikwa na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies03 Jan
Jokate: Sipendi Kutomaswa Kwenye Filamu!
Mwanamitindo na mwigizaji wa filamu, Jokate Mwegelo amesema kuwa hapendi kuigiza sini za mapenzi hasa zile anazotakiwa kushikwashikwa na mwanaume hasa asiyemjua.
Jokate alifunguka hayo wakati paparazi wa GPL alipotaka kujua namna ambavyo wazazi na mpenzi wake wanavyolipokea suala la yeye kuigiza sini za kushikwashikwa na wanaume tofauti katika filamu ndipo alipofunguka kuwa suala hilo limekuwa likipigwa vita na wazazi wake lakini analazimika kufanya kwa sababu ndiyo kazi...
10 years ago
Bongo Movies19 Jul
Baada ya Ushindi wa Tuzo, Diamond Atupa Dongo kwa Jokate, Jokate Naye Ajibu
Usiku wa jana kuamkia leo July 19 2015 Diamond Platnumz kanyanyua ushindi mwingine kwenye Tuzo za MTVMAMA2015, zilizokuwa zikitolewa Durban Africa Kusini.
Leo Diamond alipost Video inayomwonesha staa wa Mitindo Bongo, mrembo Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ akicheza wimbo wa ‘Mdogomdogo‘ alafu akaandikia hivi >>>> ‘Mbona Bado, Mtanyooka tu..‘ >>>> @ diamondplatnumz
Baadae Jokate nae akaandika kwenye ukurasa wake wa @Instagram kuhusu video hiyo ambayo alimpost Diamond.
Tuki-support mtu ndio kama hivi...
5 years ago
MichuziWAZIRI JAFO AAGIZA SHULE ILIYOJENGWA NA DC JOKATE IITWE JOKATE GIRLS SEKONDARI, ASIFU UTENDAJI WAKE
Moja ya jengo jipya na la kisasa la Shule ya Sekondari ya Wasichana Jokate Girls iliyopo Kata ya Kibuta wilayani Kisarawe mkoani Pwani ambayo linavyoonekana.Waziri wa Nchi ,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Selemen Jafo amefanya ziara ya kutembelea shule hiyo kwa ajili ya kukagua maendeleo ya ujenzi wake.
Waziri wa Nchi ,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Selemen Jafo akizungumza jana baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Shule ya bweni ya...
11 years ago
Habarileo24 Jul
JK: Sipendi kusutwa
RAIS Jakaya Kikwete amesema ametimiza ahadi zake kwa wananchi, kwa kuwa hapendi kusutwa.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ktsylelmf0kIjRG0lP0V8hRehqpaKqPiw1KsJlu-CvxyLgfLgeKwC9v5qwHnNnKNLTdrwF7C7pGYQ2KH*Icpkat614Sl4gxj/koletha.jpg)
KOLETHA: SIPENDI UHUSIANO NA WASANII
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6A05RJELsOCxAImTXfFPPZlNxyCvFzyVaZRhXQa5b7rc-8PCa55DVjnmQLCEPW0hpn0-W762sv16WwnYuAuXCooavjFOT0dE/LNAH.jpg?width=650)
LINAH: SIPENDI KUTUMIA KINGA
11 years ago
Tanzania Daima04 Jun
Msindai: Sipendi siasa za kuchafuana
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida, Mgana Msindai, amesema hapendi siasa za kuchafuana zinazofanywa na baadhi ya wanasiasa wanaotafuta umaarufu. Msindai ambaye pia ni Mwenyekiti wa Wenyeviti...
10 years ago
Bongo Movies01 Mar
Shamsa: Sipendi Wanaolalamika Kutendwa!
Mrembo na mwigizaji wa filamu mwenye mvuto wa aina yake, Shamsa Ford leo mtandaoni ametoa mtazamo wake kuhusu swala la watu kulalamika muda wote kuwa wametendwa kwenye maswala la mahusiano ya kimapenzi.
“Huwa sipendi watu wanaolalamika kutwa kwamba wametendwa bila kuangalia nyuma yeye kawaumiza wangapi ambao waliamua tu kumnyamazia na kumpuuza”.
Wengi walionyesha kumuunga mkono kwa kubonyeza kitufe cha kupenda na wengine kushusha komenti zao, Je wewe kwa upande wako swala hili...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Wdk-9Zfi1k6R7L3tGmbVhrv*NpUznvDViiaDeEn5f7B407M7*cSHGGflCMA764RtzZlnv6gpVW9P86D-w3bDhon84FnpLWKP/Esta.gif?width=650)
ESTER: SIPENDI KUWA NA MARAFIKI WA KIKE!