ESTER: SIPENDI KUWA NA MARAFIKI WA KIKE!
![](http://api.ning.com:80/files/Wdk-9Zfi1k6R7L3tGmbVhrv*NpUznvDViiaDeEn5f7B407M7*cSHGGflCMA764RtzZlnv6gpVW9P86D-w3bDhon84FnpLWKP/Esta.gif?width=650)
Deogratius Mongela MUIGIZAJI mwenye mvuto anayekuja kasi katika tasnia ya filamu Bongo, Ester Kiama ameweka bayana kuwa hapendi kuwa na marafiki wa kike na hana. Muigizaji mwenye mvuto anayekuja kasi katika tasnia ya filamu Bongo, Ester Kiama. Akifunguka kiunagaubaga, Ester alisema kutokana na malezi na maisha yalivyo sasa inabidi aepuke marafiki ambao wengi wao ni wanafiki. “Wengi wanajua naringa sana lakini ukweli sipo...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-wWHTy5RnRQM/Vi3a7yZLDMI/AAAAAAAAnqA/HtrEPUeuTAU/s72-c/1.jpg)
ESTER MATIKO (CHADEMA) ATANGAZWA RASMI KUWA MSHINDI WA KITI CHA UBUNGE TARIME MJINI
![](http://1.bp.blogspot.com/-wWHTy5RnRQM/Vi3a7yZLDMI/AAAAAAAAnqA/HtrEPUeuTAU/s1600/1.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/gikBPgJguSUK7UH8zh2oRKAw3zFXefW1cqSTJI9Hw9kOWyRGad6DbBmIltp04DmN9iwAQzyLtj1gxgAcpEyRcQfp8vPmorJk/BET.jpg?width=650)
DAVIDO AKIRI KUWA NA MTOTO WA KIKE
10 years ago
BBCSwahili18 Nov
Akataa mumewe kuwa na rafiki wa kike
10 years ago
Bongo Movies24 Jan
Davina Akiri Kuwa Waigizaji Wengi wa Kike Wanajiuza!!!
Muigizaji mkongwe wa filamu na moja kati ya waasisi wa Kaone Sanaa Group, Halima Yahya ‘Davina’ amekiri kuwa ndani ya tasnia yao, kuna waigizaji wengi wa kike wanajiuza kwa maslahi yao binafsi.
Akipiga stori na paparazi wa GPL, Davina alisema wasanii wanaofanya hivyo ni wale wasio na nia ya dhati, wapo kwenye tasnia kwa ajili ya kuuza sura na kujinadi kwa mapedeshee.
“Tatizo ni kwamba wasanii tumekutana kila mmoja ana tabia zake na ni ngumu kujua undani wa mtu kwa kumtazama mara moja,...
5 years ago
BBCSwahili10 Mar
Ellie na Nele: Wabadili jinsia kutoka ya kike hadi kiume na kurejesha ya kike tena
5 years ago
MichuziMBUNGE AZZA HILAL AKABIDHI TAULO ZA KIKE 'PEDI' ZA MIL 7.8 KWA WANAFUNZI WA KIKE DARASA LA SABA 2020 Inbox x
Na Kadama Malunde - Malunde 1 bogMbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Azza Hilal Hamad (CCM) amekabidhi Taulo laini za kike ‘Pedi’ zinazofuliwa zenye thamani ya shilingi milioni 7.7 zilizotokana na mchango wake kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa maendeleo mkoani...
11 years ago
Habarileo24 Jul
JK: Sipendi kusutwa
RAIS Jakaya Kikwete amesema ametimiza ahadi zake kwa wananchi, kwa kuwa hapendi kusutwa.
11 years ago
Tanzania Daima04 Jun
Msindai: Sipendi siasa za kuchafuana
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida, Mgana Msindai, amesema hapendi siasa za kuchafuana zinazofanywa na baadhi ya wanasiasa wanaotafuta umaarufu. Msindai ambaye pia ni Mwenyekiti wa Wenyeviti...