Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JOSEPHINE MGAZA AGOMBEA VITI MAALUM TANGA

Mgombe ubunge viti maalumu mkoa wa  Tanga. Wanawake ni nguzo ya maendeleo.

DHAMIRA YANGU
1. Kuwaunganisha wanawake wote Wa mkoa Wa tanga
2. Kujenga jumuiya imara ya UWT. 3. Kusaidia na kuboresha maisha ya wanawake Wa makundi         mbalimbali
4. Kuwa mtetezi na mwakilishi Wa wanawake katika masuala ya kijamii na kiuchumi.
5. Kusaidia uanzishwaji Wa miradi ya kiuchumi ili kupambana na umasikini.
6. Nitakuwa mtumishi wenu  na sio kiongozi. Nichague Mimi nikawatumikie kwa manufaa ya wanawake...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Bi. Lowassa akataa ubunge wa viti maalum

Mke wa aliyekuwa mgombea wa urais kupitia chama cha CHADEMA nchini Tanzania Edward Lowassa amekataa ombi la kamati ya chama hicho kumpatia ubunge wa viti maalum.

 

9 years ago

Michuzi

VITI MAALUM 110 VYATANGAZWA LEO

Mwenyekiti  wa Tume ya Taifa ya Uchanguzi  Jaji Msitafu Damian Lubuva  akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani)  juu ya majina ya wabunge wa Viti Maalum yatapatikana katika Vyama husika kwa mujibu wa Orodha iliyowasilishwa Tume na kila Chama ila Tume (NEC)iweze kufanya Uteuzi, kikao hicho kimefanyika leo jijini Dar es Salaam, Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Sheria Emmanuel Kavishe.Waandishi wa habari wakimsikiliza Mwenyekiti  wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),  Jaji...

 

9 years ago

BBCSwahili

CCM yanyakua viti 64 maalum,Chadema 36

Chama cha CCM kimenyakua idadi kubwa ya viti vya wabunge maalum miongoni mwa vyama vilivyoshiriki katika uchaguzi mkuu uliopita.

 

9 years ago

Mwananchi

Viti maalum vyaivuruga Chadema mikoani

Wakati vyama vitatu vikiwa katika mchuano wa nafasi tatu zaidi za viti maalum, Chadema imekumbwa na malalamiko sehemu nyingi baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kutangaza majina ya walioteuliwa.

 

9 years ago

Mtanzania

Irene Uwoya aula viti maalum

f7d8b2e2ec0fec94d7385f158c725b9dNA BAKARI KIMWANGA, DODOMA

MSANII pekee wa Bongo Movie, Irene Uwoya, ameibuka kidedea kwenye uteuzi wa wagombea ubunge wa viti maalumu uliokamilishwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) jana.

Uwoya alipata nafasi hiyo baada ya jina la mtoto wa Meya wa Jiji la Dar es Salaam, ambaye pia ni mgombea wa CCM katika jimbo la Ubungo, Dk Didas Masaburi, Juliana Masaburi kukatwa.

Mtoto huyo wa Masaburi, alishinda kura za maoni kupitia kundi la Vijana akiwakilisha Mkoa wa Mara lakini baada ya kukatwa nafasi...

 

10 years ago

GPL

ZAHARA KUGOMBEA UBUNGE VITI MAALUM, TABORA

Ankal akifurahi na binti yake Zahara siku ya Maulid maalumu ya kusherehekea kuhitimu digrii ya Uchumi kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma mwaka jana. Hii ndiyo siku ambayo Zahara aliweka nia hadharani kwamba angependa kugombea Ubunge mkoani TABORA  ili kumuenzi marehemu mama yake kwa kuwatumikia wananchi wa mkoa huo kwa moyo wake wote.
Zahara akifurahi na Mama yake mlezi…
...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani