Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Joto la Uchaguzi la Sababisha JB Kuomba Asitoe Filamu Kipindi Hiki

Muongozaji na muigizaji wa filamu hapa Bongo , Jacob Stephen ‘JB’ amewaomba wadau  wa tasnia  ya filamu kuwa filamu yake mpya ya Chungu cha Tatu iliyomshirikisha mwigizaji Wema Sepetu  aitoebaada ya uchaguzi utakaofanyika mwezi ujao jakokuwa kwa sasa ipo tayari hii ni kutokana na upepowa uchaguzi kuvuma kwa kasi na kugawa mashabiki.

Kupitia ukurasa wake mtandaoni, JB alifunguka

Wadau filam yenu ua Chungu Cha Tatu ipo tayari, lakini kwa sababu joto la uchaguzi liko juu nilikuwa naomba kwa...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

TASWILA BAADHI YA MADUKA YA KARIAKOO KATIKA KIPINDI HIKI CHA UCHAGUZI

Baadhi ya maduka yaliyopo Kariakoo yakionekana kufungwa kupisha vuguvugu la uchaguzi mkuu. Maduka yaliyopo maeneo ya Msimbazi-Kariakoo yakiwa yamefungwa.…

 

9 years ago

Dewji Blog

Mfugale: “Waandishi jiepusheni na ushabiki wa kisiasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu”

DSC01123

Baadhi ya waandishi wa habari kutoka mikoa ya Singida, Kigoma, Katavi, Tabora na Shinyanga, wanaohudhuria mafunzo ya siku tano ya uandishi bora wa uchaguzi yanayoendelea kwenye hotel ya Vigimark nje kidogo ya mji wa Shinyanga.(Picha na Nathaniel Limu).

DSC01125

DSC01130

Mkufunzi Deodatus Mfugale, akitoa mada yake ya daftari la kudumu la wapiga kura kwenye mafunzo ya uandishi bora wa habari za uchaguzi yanayoendelea kwenye hotel ya Vigimark nje kidogo ya mji wa Shinyanga.

Na Nathaniel Limu,...

 

10 years ago

Michuzi

MAGUFULI AWATAKA WANA CCM KUSHIKAMANA NA KUWA WAMOJA HASA KIPINDI HIKI CHA UCHAGUZI.

Dkt John Pombe Magufuli kwa pamoja akicheza wimbo wa Adinselema uliokuwa ukiimbwa na wanachama hao mara baada ya kumpokea na kuamsha shamra shamra na shangwe za hapa na pale.Pichani kulia ni Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM,Mama Salma Kikwete akishuhudia.Mgombea Uraisi wa chama cha Mapinduzi Dkt John Pombe Magufuli akipokelewa kwa shangwe na shamra shamra kutoka kwa wanachama na wafuasi wa chama cha CCM waliokuwa wamekusanyika nje ya ofisi za CCM mkoa wa Lindi,alipofika...

 

9 years ago

Bongo5

Ben Pol ataja sababu 3 za kuachia wimbo mpya katika kipindi hiki cha uchaguzi

Wakati wasanii wengi wakiogopa kuachia nyimbo mpya katika kipindi hiki cha uchaguzi kwa kuhofia kutopata muda wa kusikilizwa, Ben Pol ameeleza sababu zilizomfanya kutohofia kufanya hivyo. Ben Pol aliyeachia wimbo ‘Ningefanyaje’ aliowashirikisha msanii wa Kenya, Avril na Rossie M ametaja sababu tatu za kuachia wimbo huo. “Moja sina wimbo official tangia mwaka umeanza,” amesema Ben. […]

 

9 years ago

Michuzi

BASATA YAONYA LUGHA CHAFU, MAADILI HUSUSAN KATIKA KIPINDI HIKI CHA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU

KATIKA siku za hivi karibuni kumeibuka wimbi la wasanii kuvunja maadili, kukaidi adhabu na kutumia lugha chafu kwa makusudi katika kazi za Sanaa hususan muziki hali ambayo imezua malalamiko, masikitiko na hofu kwa jamii ambayo ni walaji wa kazi za Sanaa.
Lugha hiyo chafu ambayo inajidhihirisha kwa matusi ya wazi, maneno ya uchochezi, kashfa, kejeli, dharau na udhalilishaji wa kada mbalimbali za kijamii wakiwemo viongozi wa kitaifa inaonesha wazi kulenga katika kuigawa jamii na kufifisha...

 

9 years ago

Vijimambo

UJUMBE WANGU KWA WAANDISHI WA HABARI TANZANIA KATIKA KUELEKEA KIPINDI HIKI CHA UCHAGUZI MKUU OCTOBER 25

Lucy Patrick
Kalamu yangu mdomo wangu leo nataka nizungumze na wanahabari wenzangu waandishi na wataangazaji pia nataka mjue kwambaa karama hii au kipaji hiki tumepewa sio kwamba sisi tulistahili sana kuliko wengine hapana  ni kwamba tuliaminiwa kwamba tunaweza kutumia midomo yetu na kalamu zetu katika kusema na kuandika ukweli ili tuweze kuelimisha,kutoa habari na hata kuburudisha ikiwezeekana naomba niwashauri tutumie karama zetu vizuri tuache ushabiki ambao hautakuwa na manufaa yeyote kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

ASKOFU CHARLES GADI AFANYA MAOMBI MAKUBWA NCHINI INDIA KUOMBA KUPUNGUA KWA JOTO.

 Askofu Charles Gadi  wa Huduma ya Good News for all Ministry akiwa katika matukio tofauti wakati akifanya maombi makubwa katika mji wa Hydrabad nchini India ili joto lipungue kwani tayari limekwisha uwa watu 2500 kutoka na kupanda hadi kufikia kiwango cha joto centgrade 50. Maombi yakiendelea.

Na Dotto MwaibaleASKOFU Charles Gadi  wa Huduma ya Good News for all Ministry akifanya maombi makubwa katika mji wa Hydrabad nchini India ili joto lipungue kwani tayari limekwisha uwa watu 2500 kutoka...

 

5 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi Marekani 2020: Trump adaiwa kuomba usaidizi wa rais Xi Jinping kushinda uchaguzi ujao

Msaidizi wa zamani wa Trump John Bolton aandika kitabu kinachomtuhumu Trump katika masuala mbalimbali ya kisera na utendaji.

 

10 years ago

Mwananchi

Hiki ni kipindi cha wachezaji kunyanyaswa

Hiki ni kipindi cha usajili, utasikia mchezaji fulani anatakiwa na klabu fulani, mchezaji fulani anaachwa na klabu fulani, wachezaji fulani mikataba yao imekwisha yaani huwa ni kipindi cha wasiwasi mkubwa kwa baadhi ya wachezaji na pia ni kipindi kizuri kwa baadhi ya wachezaji.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani