Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JUA HILI IRS SIKU ZOTE WAKIKUHITAJI HAWAPIGI SIMU, HUANDIKA BARUA

Kuna watu matapeli wamezuka hasa katika kipindi hiki cha kulipa kodi kwa IRS na timu ya Vijimambo imepata habari hii baada ya kuona kwenye kituo kimoja cha luninga kikielezea kuhusu utapeli huu na Vijimambo ikaona si vibaya kukumegea japo kidogo na wewe kama ulikua hufahamu uweze kuelewa kuhusu IRS wanapokua wanakutafuta.
IRS wenyewe wanasema hua hawampigii mtu simu siku zote katika utendaji wao wa kazi humwandikia muhusika barua kama kama wanatatizo nae au kutaka ufafanuzi wa jambo fulani...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Namba zote za simu kusajiliwa upya

Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January MakambaSERIKALI imesema itafanya tena usajili wa namba zote za simu za mkononi nchini ili kuthibitisha zinazotumika.

 

9 years ago

Michuzi

AIRTEL SMARTIFONIKA YALETA SIMU MPYA SOKONI NAFUU KULIKO ZOTE

 Afisa Uhusiano na Matukio wa Airtel Bi Dangio Kaniki akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati Airtel ilipozindua  smartifoni mpya ijulikanayo kama Magnus Bravo Z10zitakazopatikata katika maduka yote ya Airtel zikiwa zimeunganishwa na ofa ya Smartifonika  kutoa  muda wa maongezi wa dakika 150, 150MB na SMS 150 kwa kipindi cha miezi sita. Kulia ni bi Anethy Muga meneja masoko wa Airtel. Hafla ya uzinduzi imefanyika jana katika makao makuu ya Airtel Dar es salaam Meneja...

 

9 years ago

MillardAyo

Cheki na mgahawa wa kichina, huduma zote unaagiza kwa simu.. hakuna mhudumu !! (+Video)

Najua ni mazoea au kawaida kila unapoenda sehemu ya huduma kama mgahawani, hotelini unakutana na wahudumu ambao wanakupokea, wanakukaribisha kwa ukarimu kabisa.. alafu unaanza kuulizwa unahitaji huduma gani ?! China hayo mambo huyakuti kila sehemu… hiyo kazi yote imeachiwa simu yako aisee !! Mgahawa mmoja uliopewa jina la Renrenxiang Restaurant, uliopo Beijing China hakuna mhudumu kabisa… mteja […]

The post Cheki na mgahawa wa kichina, huduma zote unaagiza kwa simu.. hakuna mhudumu !!...

 

9 years ago

GPL

SIKU ZOTE MKE, MAMA MKWE NI MAADUI

NIANZE kwa kuwashukuru wasomaji wangu kwa kuendelea kufuatilia mada zangu mbalimbali za Maisha na Uhusiano na hata kutoa maoni na ushauri. Asanteni sana. Mke na mama mkwe hawa ni wanawake wawili toka koo mbili tofauti, mmoja akiwa ni muolewaji na mwingine ni mama wa muoaji na wanaunganishwa na tendo la binti kuolewa na kijana wa mama husika. Hii ndiyo mada yangu ya leo; siku zote mke, mama mkwe ni maadui! Niende moja kwa moja...

 

10 years ago

Michuzi

Umoja wa Ulaya, UN; Tutapigania Uhuru wa Habari Siku Zote

Na Joachim Mushi, Morogoro  
UMOJA wa Nchi za Ulaya nchini Tanzania (EU) umepinga vikali vitendo vya kikatili na unyanyasaji wameokuwa wakifanyiwa na vyombo vya dola vya Serikali wanapokuwa wakitekeleza majukumu yao ambapo ilitokea mwanahabari mmoja kuuwawa. Alisema hawatachoka kukemea matukio hayo ya unyanyasaji kwani yanafifisha uhuru wa habari.
Akizungumza leo mjini Morogoro katika Maadhimisho ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, Kiongozi Mkuu wa Mabalozi hao, Balozi Filiberto Cerianse...

 

9 years ago

Michuzi

MWANZA WAIBUKA KIDEDEA KATIKA SHINDANO LA UANDISHI WA BARUA SIKU YA POSTA DUNIANI.

Mwanafunzi Revotha Selestine (Mwenye kinasa Sauti) akitoa shukrani kwa niaba ya wanafunzi wenzake katika Maadhimisho ya Siku ya Posta Duniani yaliyoadhimishwa jana Octoba 09,2015 kwa ngazi ya Mkoa wa Mwanza katika Jiji la Mwanza zilipo ofisi za Shirika la Posta Mkoani Mwanza.
Na:George Binagi-GB PazzoKatika Shindano la Uandishi wa Barua lililoshirikisha wanafunzi zaidi ya 2,000 nchi nzima, aliibuka mshindi wa nne Kitaifa huku mshindi wa pili pia kitaifa akitokea Mkoani Mwanza.
Katika shindano...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Tanzania yatangaza kufunga shule zote kwa siku 30

Tanzania yatangaza kufunga shule zote kuanzia shule za awali hadi kidato cha sita kwa siku 30.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani