Juhudi za kumuokoa mtoto
Mtoto aliyejeruhiwa na risasi iliyomuua mamake kanisani mjini Mombasa Kenya amefikishwa jijini Nairobi kwa upasuaji
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog07 May
Mipango na sera zitekelezwe kumuokoa mama na mtoto mchanga
Mratibu wa Mawasiliano na uhamisishaji wa mradi wa Mama Ye unaoendeshwa na asasi ya Evidence for Action linalofadhiliwa na Shirika la Maendeleo la Uingereza (DFID), Chiku Lweno akielezea jitihada zinazofanywa na mradi wa Mama Ye katika kukabiliana na vifo vya Mama na mtoto ambapo aliwataka waandishi wa habari kutumia kalamu zao kuelemisha jamii ili iweze kuepukana na vifo vya mama na mtoto ambalo nalo ni janga la taifa.(Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog).
Na Mwandishi wetu,...
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/05/DSC_0334.jpg?width=640)
MIPANGO NA SERA ZITEKELEZWE KUMUOKOA MAMA NA MTOTO MCHANGA
10 years ago
GPLAVUNJIKA MIGUU MARA NNE ZAHITAJIKA MILLION 15 KUMUOKOA
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/2QnKqCSHrMo/default.jpg)
KIJANA ANUSURIKA KUUAWA KISA WIZI MAMA AINGILIA KATI KUMUOKOA KIFO
Kijana mmoja mkazi wa Kigogo Sukita jijini Dar es Salam ameambulia kipigo kizito kutoka kwa wananchi wenye hasira kali na kufikia hatua ya kutaka kumchoma moto kutokana na kitendo cha kumuibia simu na shilingi elfu therasini mwanadada ambaye naye ni mkazi wa eneo hilo.
Kutokana na kipondo cha aina yake alichokuwa akipewa na wananchi hao wenye hasira kali walionekana kumpania kutokana na vitendo vyake vya wizi wa mara kwa mara na kutokana na kipigi hicho kilichomfanya atapakae damu mwilimzima,...
11 years ago
Tanzania Daima19 Apr
Khamis Suleiman: Niliweka kamera pembeni kumuokoa Makamu wa Rais ajali ya helikopta
APRILI 13 mwaka huu, Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal; Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadik; Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli na Kamanda wa...
10 years ago
Bongo517 Oct
BBA Hotshots: Endelea kumpigia kura Laveda wa Tanzania kumuokoa asitoke Jumapili hii
11 years ago
Tanzania Daima02 Mar
Watendaji afya wakwamisha juhudi za DC
JUHUDI za Mkuu wa Wilaya (DC) ya Igunga, Elibariki Kingu, kuhakikisha wananchi wa wilaya hiyo wanapata huduma bora za afya kupitia Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF), huenda zikakwama baada...
9 years ago
Habarileo15 Nov
Juhudi binafsi kuondoa ukeketaji
JAMII ya wafugaji imetakiwa kutumia juhudi zao binafsi kubadilisha mawazo na imani ya jamii, kwamba mila na desturi hazibadiliki ili kutengeneza mfumo bora mpya unaothamini maisha ya wanawake.