Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jumuiya Watanzania wanaishi Scandinavia yakutana nchini Danmark

Picha ya pamoja ya wana Jumuiya Watanzania wanaoishi nchi za Scandinavia na Ujumbe kutoka Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar na Ofisa wa Ubalozi wa Tanzania Sweden.Katibu Mkuu Ofisi ya Rais wa Zanzibar na Utawala Bora, ndugu Salum Maulid Salum akiwa mgeni wa heshima katika mkutano wa mwaka wa wana Diaspora Scandinavia uliofanyika April 4, 2015 nchini Danmark.Mratabu wa Diaspora,Ofisi ya Rais Ikulu na Ushirikiano wa Kimataifa Zanzibar Ndugu Hassan Hafidh akisikiza kwa makani maoni ya wana Diaspora...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO MKUU WA MWAKA WA JUMUIYA YA WAZANZIBARI SCANDINAVIA

Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazanzibari Scandinavia ndugu Idarus A Sharif akifunguwa mkutano wa mwaka wa Jumuiya hiyo na kuhudhuriwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu Mhe Salum Maulid nchini Sweden. Mjumbe maalum ndugu Mussa Baucha wa Jumuiya ya GoZanzibar (German) akitoa maeleze kuhusu utekelezaji wa miradi na mikakati mbali ya jumuiya hiyo kwa zanzibarPicha ya pamoja ya wana Jumuiya Scandinavia na Ujumbe kutoka Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar na Ofisa wa Ubalozi wa Tanzania Sweden.Bw.Jakob...

 

11 years ago

Michuzi

Jumuiya ya Watanzania nchini Malaysia yapata Uongozi wao

Jumamosi ya tarehe 29 March 2014, watanzania waishio na wasomao Malaysia walikutana katika Ubalozi wa Tanzania na kuunda Jumuiya mpya ya Watanzania wanaoishi South East Asia.
Uongozi wa Wana Jumuiya hiyo ambao kwa kuanzia ni Watanzania waliopo Malaysia wakiwa na Balozi Mpya wa Tanzania,Dr. Aziz Ponary Mlima (katikati) na maafisa wa Ubalozi. Viongozi waliochaguliwa ni Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo, Katibu Mkuu, Waziri wa Fedha, Waziri wa Elimu, Waziri wa Jamiii, Utamaduni na Starehe ikiwa...

 

11 years ago

Michuzi

JUMUIYA YA WATANZANIA NCHINI KOREA KUSINI WATEMBELEA KITUO CHA SAMSUNG INNOVATION MUSEUM

Tarehe 17 Mei: Jumuiya ya WaTanzania nchini Korea Kusini ilipata fursa ya kutembelea kituo cha Samsung Innovation Museum kujionea teknolojia mbalimbali zinazotengenezwa na kampuni ya Samsung. Kituo hipo kipo kwenye campus kubwa ya kampuni ya Samsung Electronics mjini Suwon. Wanajumuiya WaTanzania nchini Korea wakiongozwa na Mwenyekiti wao Bwn. Rayton Kwembe (wa pili kushoto) ambaye pia ni mfanyakazi wa Samsung Electronics Korea wakiingia katika kituo cha Samsung Innovation Museum.

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Idd akutana na Uongozi wa Jumuiya Watanzania wanaosoma Nchini Korea ya Kusini { KOIKA }

Jumuiya ya Wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma Nchini Korea ya Kusini { KOIKA } imejipanga kuwa kiunganishi kizuri cha wanataaluma wa Korea ya Kusini na wale wa Kitanzania kwa lengo la kudumisha uhusiano uliopo kati ya nchi mbili hizo.
Rais wa KOIKA aliyekuwa kinara wa Ujumbe wa Viongozi Wanne wa Jumuiya hiyo Ndugu Steven Katemba alieleza hayo wakati wa mazungumzo yake na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Nyumbani kwake Mazizini Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
Nd. Steven...

 

11 years ago

Michuzi

JUMUIYA YA WATANZANIA HOUSTON: MH. BALOZI LIBERATA MULAMULA KUWA MGENI RASMI KATIKA SHEREHE YA KUSIMIKA VIONGOZI WAPYA WA JUMUIYA.

Tunapenda kuwatangazia kwamba siku ya Jumamosi tarehe 29 machi 2014, jumuiya yetu ya Watanzania Houston itafanya sherehe ya kusimika viongozi wapya wa jumuiya. Muda ni kuanzia saa mbili kamili jioni(8pm) katika anuani ifuatayo: Turquoise Center, 9301 West Bellfort Ave. Houston TX 77031.
Mheshimiwa Balozi wa Tanzania hapa US na Mexico, Mh.Liberata Mulamula ndiye atakaekuwa mgeni rasmi wa tukio hili la kihistoria katika jumuiya yetu ya Houston. Wote mnakaribishwa ili tusherekee na tuweke...

 

10 years ago

Vijimambo

SHUKURANI KWA WATANZANIA KUTOKA KWA FAMILIA YA MAGEGE NA JUMUIYA YA WATANZANIA NEW YORK.




Jumuiya ya Watanzania New York,New Jersey,Connecticut na Pennsylvaniakwa pamoja na Magege's Family,Tunatoa shukurani zetu za dhati kwa wotewaliojitokeza kwa namna Moja au nyengine katika kufanikisha mazishi yaMpendwa Mzee wetu Alfred Magege.Kwa pamoja tumefarijika na upendo mliotuonyesha katika Kipindi chotecha Msiba wa Mzee wetu naHatuna cha kuwalipa isipokuwa kukuombeeni dua kwa Mwenyezi Munguakuzidishieni Baraka na Daima tuendelee kuwa wamoja katika shida naraha.
Vile vile Tunatoa...

 

10 years ago

Vijimambo

JUMUIYA YA WATANZANIA BOSTON.

Taarifa ya  mrejesho wa kikao cha wanachama cha tarehe 12/22/2014       
Wajumbe wamekubaliana kwa pamoja yafuatayo kama maazimio ya  jumuiya.
Kutakua na vikao vinne kwa mwaka na kila mwanachama anatakiwa walau ahudhurie vikao viwili ili kuweza kuthibitisha uanachama wake katika jumuiya,,tofauti na hapo atakua amejiondoa mwenyewe.Kujiunga katika jumuiya kama mwanachama ni hiari kwa wanachama wapya kama ilivyokua kwa wale wa mwanzo,sifa kuuni uwe Mtanzania unaeishi  MASSACHUSETTS USA na uweze...

 

5 years ago

BBCSwahili

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani