Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JUMUIYA YA WATANZANIA NCHINI KOREA KUSINI WATEMBELEA KITUO CHA SAMSUNG INNOVATION MUSEUM

Tarehe 17 Mei: Jumuiya ya WaTanzania nchini Korea Kusini ilipata fursa ya kutembelea kituo cha Samsung Innovation Museum kujionea teknolojia mbalimbali zinazotengenezwa na kampuni ya Samsung. Kituo hipo kipo kwenye campus kubwa ya kampuni ya Samsung Electronics mjini Suwon. Wanajumuiya WaTanzania nchini Korea wakiongozwa na Mwenyekiti wao Bwn. Rayton Kwembe (wa pili kushoto) ambaye pia ni mfanyakazi wa Samsung Electronics Korea wakiingia katika kituo cha Samsung Innovation Museum.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Idd akutana na Uongozi wa Jumuiya Watanzania wanaosoma Nchini Korea ya Kusini { KOIKA }

Jumuiya ya Wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma Nchini Korea ya Kusini { KOIKA } imejipanga kuwa kiunganishi kizuri cha wanataaluma wa Korea ya Kusini na wale wa Kitanzania kwa lengo la kudumisha uhusiano uliopo kati ya nchi mbili hizo.
Rais wa KOIKA aliyekuwa kinara wa Ujumbe wa Viongozi Wanne wa Jumuiya hiyo Ndugu Steven Katemba alieleza hayo wakati wa mazungumzo yake na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Nyumbani kwake Mazizini Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
Nd. Steven...

 

10 years ago

Dewji Blog

Jumuiya ya Watanzania wanaosoma Korea ya Kusini kufanya shughuli za kijamii nyumba za kutunza wazee Zanzibar

549

Uongozi wa Jumuiya Watanzania wanaosoma Nchini Korea ya Kusini { KOIKA } ukiongozwa na Rais wake Nd. Steven Katemba ukijitambulisha rasmi kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Nyumbani kwake Mazizini Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar mara baada ya kucgauliwa rasmi mwezi Mei Mwaka huu. Nyuma ya Ndugu Steven ni Makamu wa Rais wa Jumuiya hiyo kwa upande wa Zanzibar NduguBukheit Juma.

562

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kati kati akiwa katika picha ya...

 

11 years ago

Michuzi

JUMUIYA YA WATANZANIA WALIOSOMA KOREA (KOICA/KAAT) YAPATA UONGOZI MPYA

Na Saidi Mkabakuli Jumuiya ya Watanzania waliosoma Korea imefanikiwa kupata uongozi mpya, utaongoza umoja wa Watanzania hao kwa muda wa miaka miwili. Waliochaguliwa kuongoza KAAT ni pamoja na Bw. Stephen Katemba ambaye amechaguliwa kuwa Rais wa Jumuiya. Bw. Katemba atasaidiwa na Bw. Bukheti Juma (Makamu wa Rais, Zanzibar) na Bw. Emmanuel Burton (Makamu wa Rais, Tanzania Bara). Katika nafasi ya Uweka Muweka Hazina, aliyechaguliwa ni Bw. Stephen Matee, ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa...

 

10 years ago

Michuzi

UONGOZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA WALIOSOMA KOREA (KAAT) YAFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi (Kushoto) akiwakaribisha viongozi wa KAAT walipokwenda kumtembelea na kufanya nae mazungumzo nyumbani kwake. Katikati ni Rais Mpya wa KAAT, Bw. Stephen Katemba na Kulia ni Bw. Bukheti Juma ambaye ni Makamu wa Rais, KAAT (Zanzibar). Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi (Kushoto) akifurahia jambo na viongozi wa KAAT, Bw. Stephen Katemba (Katikati) na Bw. Bukheti Juma (Kulia). Viongozi hao walipokwenda kumtembelea na...

 

10 years ago

Vijimambo

CRDB TAWI LA MERU WATEMBELEA KITUO CHA YATIMA ST JOSEPH CHA MOSHONO ARUSHA

 Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Meru jijini Arusha  Leonce Matley akikabidhi  misaada kwa Mkurugenzi wa kituo cha watoto yatima cha St.Joseph Christina Mnate juzi walipotembelea kituo hicho na kutoa misaada ya chakula na vifaa vya shule katika kituo hicho kilichopo kata ya Moshono jijini Arusha ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya Mtoto Afrika .Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Meru jijini Arusha  Leonce Matley akikabidhi  misaada kwa Mkurugenzi wa kituo cha watoto yatima cha St.Joseph Christina...

 

11 years ago

BBCSwahili

Waziri mkuu nchini Korea Kusini ajiuzulu

Waziri mkuu nchini Korea Kusini amejiuzulu kutokana na vile serikali yake ilivyolichukulia swala lote la ferry iliozama.

 

10 years ago

Vijimambo

MAJAJI WA BONGO STAR SEARCH WATEMBELEA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHA CHAKUWAMA NA KUTOA MSAADA

Majaji wa Bongo Star Search kuelekea msimu wa nane wa BSS2015 wamejumuika na watoto Yatima wa kituo cha Chakuwama kilichopo eneo la Mwenge jijini Dar es Salaam na kula Iftaar na watoto hao kipindi hiki cha mfungo wa Ramadn na kutoa misaada mbali mbali.Kituo hicho ambacho kina jumla ya watoto yatima 100 kuanzia wachanga mpaka miaka 16 na wahudumu 10. Huduma ya kuchukua Iftaar tayari kwa kufuturu ikiendelea.
 Jaji kiongozi wa mashindano ya kusaka vipaji vya muziki, maarufu BSS, Rita Poulsen...

 

5 years ago

Mwananchi

Bawacha watembelea kituo cha yatima

 Baraza la Wanawake Chadema mkoa wa Dar es Salaam (Bawacha), wametoa msaada wa vitu mbalimbali katika kituo cha  kulelea watoto yatima, Yatima Group Trust Fund.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani