Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JUMUIYA YA WATANZANIA BOSTON.

Taarifa ya  mrejesho wa kikao cha wanachama cha tarehe 12/22/2014       
Wajumbe wamekubaliana kwa pamoja yafuatayo kama maazimio ya  jumuiya.
Kutakua na vikao vinne kwa mwaka na kila mwanachama anatakiwa walau ahudhurie vikao viwili ili kuweza kuthibitisha uanachama wake katika jumuiya,,tofauti na hapo atakua amejiondoa mwenyewe.Kujiunga katika jumuiya kama mwanachama ni hiari kwa wanachama wapya kama ilivyokua kwa wale wa mwanzo,sifa kuuni uwe Mtanzania unaeishi  MASSACHUSETTS USA na uweze...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

JUMUIYA YA WATANZANIA HOUSTON: MH. BALOZI LIBERATA MULAMULA KUWA MGENI RASMI KATIKA SHEREHE YA KUSIMIKA VIONGOZI WAPYA WA JUMUIYA.

Tunapenda kuwatangazia kwamba siku ya Jumamosi tarehe 29 machi 2014, jumuiya yetu ya Watanzania Houston itafanya sherehe ya kusimika viongozi wapya wa jumuiya. Muda ni kuanzia saa mbili kamili jioni(8pm) katika anuani ifuatayo: Turquoise Center, 9301 West Bellfort Ave. Houston TX 77031.
Mheshimiwa Balozi wa Tanzania hapa US na Mexico, Mh.Liberata Mulamula ndiye atakaekuwa mgeni rasmi wa tukio hili la kihistoria katika jumuiya yetu ya Houston. Wote mnakaribishwa ili tusherekee na tuweke...

 

10 years ago

Vijimambo

SHUKURANI KWA WATANZANIA KUTOKA KWA FAMILIA YA MAGEGE NA JUMUIYA YA WATANZANIA NEW YORK.




Jumuiya ya Watanzania New York,New Jersey,Connecticut na Pennsylvaniakwa pamoja na Magege's Family,Tunatoa shukurani zetu za dhati kwa wotewaliojitokeza kwa namna Moja au nyengine katika kufanikisha mazishi yaMpendwa Mzee wetu Alfred Magege.Kwa pamoja tumefarijika na upendo mliotuonyesha katika Kipindi chotecha Msiba wa Mzee wetu naHatuna cha kuwalipa isipokuwa kukuombeeni dua kwa Mwenyezi Munguakuzidishieni Baraka na Daima tuendelee kuwa wamoja katika shida naraha.
Vile vile Tunatoa...

 

10 years ago

Mwananchi

Watanzania tujifunze kunufaika na jumuiya A. Mashariki

Tanzania ni moja ya waasisi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki iliyoanzishwa mwaka 1967, ikiwa na Uganda na Kenya.

 

11 years ago

Michuzi

Sera za Libe Mgombeya wa Jumuiya ya waTanzania DMV

Kutakuwa na Mkutano wa Sera za Mkombea wa Jumuiya ya waTanzania DMV Bwna Liberatus Mwang'ombe Atakachoongea katika mkutano wake ni  Kuhusu Elimun Diversity visa Lotterry/ YOUNG African Leaders Initiatives Jumiaya na Afya, Baraza la ushauri, Darasa la Kiswahili. Ushirikiano na umoja, Jumuiya na wajasiriamali, Jumuia na vyanzo vya mapato, Jumuiya na mrejesho wa ubalozi, "Power of attorney" , Mkutano huo utafanyika Siku ya Jumamosi, June 28, 2014 kuanzia saa 10 Alasiri (4pm)...

 

9 years ago

Vijimambo

TAARIFA YA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA NEW YORK.


Tunapenda kuwataarifu kuwa tarehe 10 September Viongozi wa jumuiyatulifanya kikao na walezi wetu(Mabalozi)hapo ubalozini kujadili namnabora ya kuhitimisha muda wetu wa Uongozi.Kikao hicho kiliazimia mamboyafuatayo :A)Kuitisha mkutano Mkuu wa jumuiya hapo tarehe 5 Disemba 2015 ambaopamoja na mambo mengine utachagua Bodi ya Wadhamini wa jumuiya ambayoitasimamia uchaguzi ujao wa Viongozi.B) Kwa mara nyingine tena kikao hiki kilimridhia Mchungaji Mama Butikuaombewe Rasmi kuongozwa Kamati ya...

 

10 years ago

Vijimambo

KAMATI YA MAANDALIZI NA MAPAMBO YA JUMUIYA YA WATANZANIA DMV


 Kamati ya maandalizi na mapambo ikipata picha ya pamoja baada ya kupamba ukumbi wa Oxford uliopo Lanham, Maryland katika kujiandaa kusherehekea kuuaga mwaka 2014 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2015

 

11 years ago

Michuzi

Jumuiya ya Watanzania nchini Malaysia yapata Uongozi wao

Jumamosi ya tarehe 29 March 2014, watanzania waishio na wasomao Malaysia walikutana katika Ubalozi wa Tanzania na kuunda Jumuiya mpya ya Watanzania wanaoishi South East Asia.
Uongozi wa Wana Jumuiya hiyo ambao kwa kuanzia ni Watanzania waliopo Malaysia wakiwa na Balozi Mpya wa Tanzania,Dr. Aziz Ponary Mlima (katikati) na maafisa wa Ubalozi. Viongozi waliochaguliwa ni Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo, Katibu Mkuu, Waziri wa Fedha, Waziri wa Elimu, Waziri wa Jamiii, Utamaduni na Starehe ikiwa...

 

10 years ago

Michuzi

Jumuiya Watanzania wanaishi Scandinavia yakutana nchini Danmark

Picha ya pamoja ya wana Jumuiya Watanzania wanaoishi nchi za Scandinavia na Ujumbe kutoka Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar na Ofisa wa Ubalozi wa Tanzania Sweden.Katibu Mkuu Ofisi ya Rais wa Zanzibar na Utawala Bora, ndugu Salum Maulid Salum akiwa mgeni wa heshima katika mkutano wa mwaka wa wana Diaspora Scandinavia uliofanyika April 4, 2015 nchini Danmark.Mratabu wa Diaspora,Ofisi ya Rais Ikulu na Ushirikiano wa Kimataifa Zanzibar Ndugu Hassan Hafidh akisikiza kwa makani maoni ya wana Diaspora...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani