Sera za Libe Mgombeya wa Jumuiya ya waTanzania DMV
Kutakuwa na Mkutano wa Sera za Mkombea wa Jumuiya ya waTanzania DMV Bwna Liberatus Mwang'ombe Atakachoongea katika mkutano wake ni Kuhusu Elimun Diversity visa Lotterry/ YOUNG African Leaders Initiatives Jumiaya na Afya, Baraza la ushauri, Darasa la Kiswahili. Ushirikiano na umoja, Jumuiya na wajasiriamali, Jumuia na vyanzo vya mapato, Jumuiya na mrejesho wa ubalozi, "Power of attorney" , Mkutano huo utafanyika Siku ya Jumamosi, June 28, 2014 kuanzia saa 10 Alasiri (4pm)...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog01 Jul
Sera za Harriet Shangarai mgombeya wa jumuiya ya watanzania DMV
Na Hariet Shangaei Washington DC
Ndugu WanaDMV, kwa heshima na taadhima nachukua nafasi hii kujitambulisha kwenu rasmi kama Mgombea wa Nafasi ya Makamu wa Raisi wa Jumuiya ya Watanzania DMV.
Hariet Shangarai, Mgombea wa nafasi ya Makamu wa Raisi wa Jumuiya ya Watanzania DMV alipikuwa katika kampeni.(Photo Via Swahilivillablog)
Nikiwa na mapenzi ya dhati kwa jamii,nimekuwa mtetezi wa haki za watoto yatima toka utotoni mwangu. Binafsi, nilijitoa kwa kidogo nilichokuwanacho na pia,...
11 years ago
Dewji Blog25 Jun
Sera za Libetatus Mwang’ombe mgombea wa jumuiya ya watanzania DMV
Jumuiya na mrejesho wa ubalozi, “Power of attorney” ,Mkutano huo utafanyika Siku ya Jumamosi, June 28, 2014
kuanzia saa 10 Alasiri (4pm)Meadowbrook Park
7901...
11 years ago
MichuziSERA ZA HARRIET SHANGARAI MGOMBEA UMAKAMU MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WATANZANIA DMV
Nikiwa na mapenzi ya dhati kwa jamii,nimekuwa mtetezi wa haki za watoto yatima toka utotoni mwangu. Binafsi, nilijitoa kwa kidogo nilichokuwanacho na pia,...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-tOewzHQxuJ0/UsRgTjbQcXI/AAAAAAAADHw/Lf3-tBifTTw/s72-c/logo.jpg)
JUMUIYA YA WATANZANIA DMV KUUNGURUMISHA SHEREHE ZA MUUNGANO DMV- SATURDAY APRIL 25, 2015
![](http://2.bp.blogspot.com/-tOewzHQxuJ0/UsRgTjbQcXI/AAAAAAAADHw/Lf3-tBifTTw/s1600/logo.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-UvwL3Rs9NRk/VAnpx8TJ9mI/AAAAAAAAEVE/b48w150g9ko/s1600/logo%2Btanzania.jpg)
Jiandaeni kwa Hafla na Vivutio mbali mbali. Michezo, Utamaduni, Nyama Choma nk. DMV Patakuwa Hapatoshi.
![](http://4.bp.blogspot.com/-2aN7EqULMVg/VOA-w7tSj5I/AAAAAAAAGA8/TMIs4TSe4zE/s1600/14-1.jpg)
President: Iddi Sandaly 301-613-5165
Vice President: Harriett Shangarai 240-672-1788
Secretary: Saidi Mwamende 301-996-4029Assistant Secretary: Bernadetta Kaiza...
10 years ago
VijimamboKAMATI YA MAANDALIZI NA MAPAMBO YA JUMUIYA YA WATANZANIA DMV
Kamati ya maandalizi na mapambo ikipata picha ya pamoja baada ya kupamba ukumbi wa Oxford uliopo Lanham, Maryland katika kujiandaa kusherehekea kuuaga mwaka 2014 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2015
10 years ago
VijimamboVIVAZI KWENYE SHEREHE YA KUUKARIBISHA mwaka 2015 YA JUMUIYA YA WATANZANIA DMV
9 years ago
Vijimambo17 Oct
Documentary ya Tanzania Medical Mission ya Jumuiya wa Watanzania DMV- NYUMBANI KWANZA.
Watanzania wote wa USA na DMV Tunapenda kuwajulisha maandalizi ya Second Medical Mission kwenda Tanzania yanaanza hivi Karibuni. Tunaomba mjitokeze kwa wingi ili kufanya medical mission ijayo kuwa kubwa na yenye kutoa huduma zaidi nyumbani. NYUMBANI KWANZA.Kama mlivyojionea wenyewe kwenye hii documentary mahitaji ni Mengi na sisi Diaspora tunaweza changia muda na mali kidogo kwenye kulisukuma gurudumu la maendeleo mbele.
AsanteniIddi SandalyRais wa Jumuiya DMV
10 years ago
Vijimambo13 Nov
JUMUIYA TA WATANZANIA DMV INAOMBA USHIRIKIANO WAKO KATIKA JUHUDI ZA KUPAMBANA NA EBOLA
JUMUIYA YA WATANZANIA DMV INAOMBA USHIRIKANO WAKO KATIKA JUHUDI ZA KUPAMBANA NA EBOLA
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-HTawiSqwWbU/VgQpmqPUTxI/AAAAAAAH7BM/URQI0tGguK0/s72-c/ss.png)
Kujiuzulu kwa Makamu Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV, Kufuatia Uteuzi Mpya..
![](http://3.bp.blogspot.com/-HTawiSqwWbU/VgQpmqPUTxI/AAAAAAAH7BM/URQI0tGguK0/s640/ss.png)