Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sera za Harriet Shangarai mgombeya wa jumuiya ya watanzania DMV

Na Hariet Shangaei Washington DC

Ndugu WanaDMV, kwa heshima na taadhima nachukua nafasi hii kujitambulisha kwenu rasmi kama Mgombea wa Nafasi ya Makamu wa Raisi wa Jumuiya ya Watanzania DMV.

DSC00335 (2)

Hariet Shangarai, Mgombea wa nafasi ya Makamu wa Raisi wa Jumuiya ya Watanzania DMV alipikuwa katika kampeni.(Photo Via Swahilivillablog)

Nikiwa na mapenzi ya dhati kwa jamii,nimekuwa mtetezi wa haki za watoto yatima toka utotoni mwangu. Binafsi, nilijitoa kwa kidogo nilichokuwanacho na pia,...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

SERA ZA HARRIET SHANGARAI MGOMBEA UMAKAMU MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WATANZANIA DMV

Na Hariet Shangaei Washington DC  Ndugu WanaDMV, kwa heshima na taadhima nachukua nafasi hii kujitambulisha kwenu rasmi kama Mgombea wa Nafasi ya Makamu wa Raisi wa Jumuiya ya Watanzania DMV. Hariet Shangarai, Mgombea wa nafasi ya Makamu wa Raisi wa Jumuiya ya Watanzania DMV alipikuwa katika kampeni. (Photo Via Swahilivillablog)
Nikiwa na mapenzi ya dhati kwa jamii,nimekuwa mtetezi wa haki za watoto yatima toka utotoni mwangu. Binafsi, nilijitoa kwa kidogo nilichokuwanacho na pia,...

 

11 years ago

Michuzi

HARRIET SHANGARAI: MGOMBEA WA NAFASI YA MAKAMU WA RAIS WA JUMUIYA YA WATANZANIA DMV ANAOMBA KURA YAKO

Ndugu WanaDMV, kwa heshima na taadhima nachukua nafasi hii kujitambulisha kwenu rasmi kama Mgombea wa Nafasi ya Makamu wa Raisi wa Jumuiya ya Watanzania DMV.HARRIET SHANGARAI
Nikiwa na mapenzi ya dhati kwa jamii,nimekuwa mtetezi wa haki za watoto yatima toka utotoni mwangu. Binafsi, nilijitoa kwa kidogo nilichokuwanacho na pia, nimekuwa muhamasishaji wa misaada ya elimu,chakula mavazi na malazi kwa watoto yatima. Kwa ufupi  nimeona mafanikio ya kina, japo bado wahitaji ni wengi.Vile vile,...

 

11 years ago

Michuzi

Sera za Libe Mgombeya wa Jumuiya ya waTanzania DMV

Kutakuwa na Mkutano wa Sera za Mkombea wa Jumuiya ya waTanzania DMV Bwna Liberatus Mwang'ombe Atakachoongea katika mkutano wake ni  Kuhusu Elimun Diversity visa Lotterry/ YOUNG African Leaders Initiatives Jumiaya na Afya, Baraza la ushauri, Darasa la Kiswahili. Ushirikiano na umoja, Jumuiya na wajasiriamali, Jumuia na vyanzo vya mapato, Jumuiya na mrejesho wa ubalozi, "Power of attorney" , Mkutano huo utafanyika Siku ya Jumamosi, June 28, 2014 kuanzia saa 10 Alasiri (4pm)...

 

11 years ago

Michuzi

Salam kwa Wana DMV toka kwa Harriet Shangarai

Ndugu zangu wanaDMV, nilikuja kwenu rasmi nikiomba kura zenu.Nia yangu ikiwa ni kuungana nanyi katika kutafuta njia za kutatua changamoto zinazotukabili hapa ugenini.
Malengo niliyo nayo kwa jumuiya hii na kwa jamii kwa ujumla sio malengo ya mpito.
Sisi wanaDiaspora tumeaacha nchi yetu nzuri, wazazi,watoto, ndugu hata marafiki kwa nia ya kuja kutafuta ahueni ya maisha.Maumivu na changamoto za ugenini ni sababu tosha za kutoruhusu jambo lolote kupotosha malengo yetu.
Nipo pamoja nanyi kama...

 

11 years ago

Dewji Blog

Sera za Libetatus Mwang’ombe mgombea wa jumuiya ya watanzania DMV

libe

Kutakuwa na Mkutano wa Sera za Mkombea wa Jumuia ya waTanzania DMV Bwana Liberatus Mwang’ombeAtakachoongea katika mkutano wake ni Kuhusu Elimun Diversity visa Lotterry/ YOUNG African Leaders Initiatives.Jumuia na Afya, Baraza la ushauri, Darasa la Kiswahili.Ushirikiano na umoja, Jumuiya na wajasiriamali, Jumuia na vyanzo vya mapato,

Jumuiya na mrejesho wa ubalozi, “Power of attorney” ,Mkutano huo utafanyika Siku ya Jumamosi, June 28, 2014

kuanzia saa 10 Alasiri (4pm)Meadowbrook Park

7901...

 

10 years ago

Vijimambo

JUMUIYA YA WATANZANIA DMV KUUNGURUMISHA SHEREHE ZA MUUNGANO DMV- SATURDAY APRIL 25, 2015

Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania wa DMV unapenda kuwajulisha watanzania wote kukaa mkao wa kula , kwa ajili ya sherehe za muungano zitakazofanyika, Jumamosi April 25, 205.
Jiandaeni kwa Hafla na Vivutio mbali mbali. Michezo, Utamaduni, Nyama Choma nk. DMV Patakuwa Hapatoshi.
Wadhamini WanakaribishwaWasiliana na uongozi kupitia
President: Iddi Sandaly 301-613-5165
Vice President: Harriett Shangarai 240-672-1788
Secretary: Saidi Mwamende 301-996-4029Assistant Secretary: Bernadetta Kaiza...

 

10 years ago

Vijimambo

KAMATI YA MAANDALIZI NA MAPAMBO YA JUMUIYA YA WATANZANIA DMV


 Kamati ya maandalizi na mapambo ikipata picha ya pamoja baada ya kupamba ukumbi wa Oxford uliopo Lanham, Maryland katika kujiandaa kusherehekea kuuaga mwaka 2014 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2015

 

9 years ago

Vijimambo

Documentary ya Tanzania Medical Mission ya Jumuiya wa Watanzania DMV- NYUMBANI KWANZA.



Watanzania wote wa USA na DMV Tunapenda kuwajulisha maandalizi ya Second Medical Mission kwenda Tanzania yanaanza hivi Karibuni. Tunaomba mjitokeze kwa wingi ili kufanya medical mission ijayo kuwa kubwa na yenye kutoa huduma zaidi nyumbani. NYUMBANI KWANZA.Kama mlivyojionea wenyewe kwenye hii documentary mahitaji ni Mengi na sisi Diaspora tunaweza changia muda na mali kidogo  kwenye kulisukuma gurudumu la maendeleo mbele.
AsanteniIddi SandalyRais wa Jumuiya DMV 

 

10 years ago

Vijimambo

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani