Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Just in: Gwiji wa masuala ya mtangamano EAC Balozi Jeremy Ndayiziga afariki dunia

Balozi Ndayiziga katika mojawapo ya warsha ya EAC hivi karibuni. Kulia ni mtaalamu wa habari na mratibu wa mafunzo ya wandishi wa habari EAC, Bw. Sukhdev Chhatbar.Mkufunzi Balozi  Jeremy Ndayiziga (kushoto enzi za uhai wake) akimkabidhi cheti Mroki Mroki, kutoka Father Kidevu Blog ambaye pia ni Mpigapicha wa Masuala ya Mtangamano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki,  kwa kushiriki kikamilifu mafunzo hayo ya masuala ya Mtengamano wa EAC. Anaeshuhudia Katikati ni Elizabeth Wanyoike wa GIZ ambao...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Gwiji wa masuala ya mtangamano EAC afariki

Amb. Jeremmy + Chat (2)

Balozi Ndayiziga katika mojawapo ya warsha ya EAC hivi karibuni. Kulia ni mtaalamu wa habari na mratibu wa mafunzo ya wandishi wa habari EAC, Bw. Sukhdev Chhatbar.

FKB_5510

Mkufunzi katika Mafunzo hayo, Balozi  Jeremy Ndayiziga (kushoto enzi za uhai wake) akimkabidhi cheti Mroki Mroki, kutoka Father Kidevu Blog ambaye pia ni Mpigapicha wa Masuala ya Mtangamano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki,  kwa kushiriki kikamilifu mafunzo hayo ya masuala ya Mtengamano wa EAC. Anaeshuhudia Katikati ni Elizabeth...

 

10 years ago

Michuzi

JUST IN: gwiji la ukombozi wa afrika kusini brigedia jenerali hashim mbita afariki dunia leo dar es salam


Habari zilizotujia hivi punde zinasema Brigedia Jeneral Mstaafu Hashim Mbita aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Kamati ya Ukombozi ya uliokuwa Umoja wa Nchi Huru za Afrika (OAU), amefariki dunia asubuhi hii katika hospitali kuu ya jeshi ya Lugalo jijini Dar es salaam. 
Mzee Mbita atakumbukwa Tanzania,  bara zima la Afrika na dunia kwa jumla kama kamanda mahiri aliyeshiriki kikamilifu katika uondoshaji wa utawala wa ukoloni  barani Afrika, hususan utawala kidhalimu wa makaburu  Zimbabwe na  Afrika...

 

10 years ago

Michuzi

tanzia: Issa Ahmed Othman aliyekuwa Mshauri wa Rais Zanzibar katika masuala ya Utalii afariki dunia

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana pamoja na viongozi wengine wa CCM na wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa nyumbani alipozaliwa marehemu Issa Ahmed Othman Mshauri wa Rais Zanzibar katika masuala ya Utalii,aliyefariki nchini India alipoenda kwa matibabu.Katibu Mkuu alitoa salaam za pole kwa familia ya marehemu na ndugu zake kupokelewa na kaka wa marehemu Othman Ahmed Othman nyumbani kwao Shenge Juu, Pemba.

Na Abdulla Ali - Maelezo, Zanzibar                             
Aliyekuwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Balozi Kazaura afariki dunia

MKUU wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Balozi Flugenze Kazaura, amefariki dunia alipokuwa akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Chennai nchini India. Taarifa ya kifo hicho imetolewa jana na...

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA AKUTANA NA NAIBU KATIBU MKUU WA MASUALA YA MASUALA YA SIASA NA MAENDELEO YA JAMII WA SEKRETARIETI YA ACP

Balozi wa Tanzania BELUX, Jumuiya ya Ulaya na Mwenyekiti wa Kamati ya Mabalozi wa ACP Dr. Diodorus Buberwa Kamala akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya ACP anayesimamia masuala ya siasa na maendeleo ya jamii Mhe. Michele Dominique Raymond. Balozi Kamala yuko kwenye ziara ya kukutana na viongozi mbalimbali wa Sekretarieti ya ACP Brussels kwa lengo la kuelewa vyema changamoto zinazokabili ACP na kubaini masuala kipaumbele wakati wa kipindi chake cha uenyekiti...

 

11 years ago

GPL

BALOZI FULGENCE KAZAURA AFARIKI DUNIA

Aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Balozi Fulgence Kazaura enzi za uhai wake akimtunuku PhD Waziri wa ujenzi Dk. John Magufuli. Sima Kazaura anasikitika kutangaza kifo cha baba yake mzazi Balozi Fulgence Kazaura aliyekuwa Mkuu wa Chuo cha Dar es Salaam (UDSM) kilichotokea leo nchini India. Kama ilivyo ada kupeana mkondo wa pole na kufarijiana ndio ustaarabu wetu wakatio wa msiba hapa DMV. Msiba upo 21, Featherwood...

 

11 years ago

BBCSwahili

Balozi wa Malawi afariki dunia Tanzania

Balozi wa Malawi nchini Tanzania Bi Flossie Gomile Chidyaonga amefariki dunia mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam

 

11 years ago

Mwananchi

Balozi Kazaura afariki dunia akitibiwa India

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Balozi Fulgence Kazaura amefariki dunia juzi, Chenai, India alikokwenda kwa ajili ya matibabu.

 

5 years ago

BBCSwahili

Waziri wa Katiba Tanzania Balozi Mahiga afariki dunia

Taarifa kutoka Ikulu ya rais nchini Tanzania zimethibitisha kifo cha Waziri wa Katiba wa nchi hiyo Balozi Mahiga amefariki dunia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani