Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kabla ya ‘Mbweha wa Jangwani’, tuanze na haya

MWISHONI mwa wiki iliyopita timu ya Taifa (Taifa Stars) ilikuwa na mchezo wa kufuzu fainali za Ko

Mwandishi Wetu

Raia Mwema

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

TAIFA STARS KUREJEA NCHINI LEO, YATARI KWA MTANANGE DHIDI YA MBWEHA WA JANGWANI JUMAMOSI HII

Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager inarejea leo nyumbani kwa shirika la ndege la Fastjet, ambapo inatarajiwa kuwasili uwanja wa JK Nyerere majira ya saa 12 kamili jioni.
Stars iliyokuwa imeweka kambi nchini Afrika Kusini kwa takribani siku 10, inarejea nyumbani ikiwa imefanya mazoezi vizuri kujiandaa na kuwakabili Mbweha wa Jangwani Algeria siku ya Jumamosi katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Akiongelea kuhusu kambi kocha wa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Turekebishe haya kabla ya kura ya maoni 2016

MCHAKATO wa kuandikwa upya Katiba Mpya ya Tanzania ulioanza mwaka 2011, bado haujafikia tamati. Bado hatujapata Katiba Mpya inayotakiwa kwasababu kwa mujibu wa  Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura, 83 (The...

 

10 years ago

Mwananchi

NEC, vyama vya siasa vianze na haya kabla ya uchaguzi

Vuguvugu la kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba limeshika kasi hivi sasa.

 

10 years ago

Bongo5

Nay wa Mitego hufanya mambo haya matatu kabla hajapanda stejini

Kutokana na baadhi ya video anazofanya na matendo yake, watu wengi wanaamini kuwa Nay wa Mitego ni mfuasi wa jamii ya freemason ambayo watanzania wa kawaida wanaamini kuwa ina uhusiano wa karibu na shetani. Hata hivyo wale wenye imani hiyo wanaweza kuwa ‘wrong’. Rapper huyo controversial amesema kabla ya kupanda stejini katika kila show anazofanya […]

 

5 years ago

Michuzi

MBWEHA, WATOTO WA NGURUWE WATAKUONGOZA KUELEKEA KWENYE HADITHI TAMU YA KASINO

KASINO mpya kabisa inayopatikana mtandaoni inayokuletea hadithi tamu za wapendanao kwa sasa inapatikana kwenye orodha ya kasino za Meridianbet. 
Gemu hii ya sloti ya kwenye simu inayoitwa Piggy Party, iliyotengenezwa na studio za Expanse ina lengo la kutanua wigo wa burudani na kukuletea wewe sherehe ya aina yake ikiwa na mizunguko mingi na ushindi mkubwa – inapatikana kwenye kasino ya Meridianbet pekee.
Furahia maajabu ya mbweha na watoto wa nguruwe kwa kuingia hapa mtandaoni...

 

10 years ago

Mwananchi

Tuanze sasa maandalizi ya Olimpiki 2016

Michezo ya Olimpiki 2016 itafanyika Rio de Janeiro, Brazil kuanzia Agosti 5 mpaka 21.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tuanze kujadili sifa za kweli za kiongozi ajaye

WACHA Kionambali naye aanze kuchungulia 2015.  Kuna ubaya gani? Wengine walianza kuitazama 2015 tangu miaka kumi iliyopita. Kila mmoja akitunga ngonjera atakazokuja nazo kutuimbia Watanzania, na kwa vile tumezoea kudanganyika...

 

11 years ago

Mwananchi

Tuanze 2014 kwa kutafakari mwelekeo wa Taifa letu

Mwaka 2013 ulimalizika jana tukishuhudia mambo mengi hasa katika ulingo wa siasa. Nimejaribu kueleza baadhi ya mambo yaliyotokea katika makala zangu zilizopita.

 

5 years ago

Michuzi

Kukonda, Kunenepa, Furaha na Hasira zisizokwisha sasa zinarejea tena, tuanze kujiandaa


Charles James, Michuzi TV

NGOMA inarudi! Kipute kinalia, mbugi linarudi mwanangu, vita vinarejea, mtanange unaputwa ili uanze kupigwa. Furaha yenye mateso tuliyokua tumeimiss kitambo sasa inakuja kwenye macho yetu.

Ipo hivi; Baada ya miezi miwili ya Ligi mbalimbali za Soka duniani kusimamishwa kutokana na maambukizi ya ugonjwa wa Covid19 'Corona' sasa filimbi zinapulizwa kuashiria ligi zinarejea.

Ligi zinarudi baada ya Serikali za Nchi mbalimbali kuruhusu michezo kuanza kutokana na kuridhishwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani