Kaburi la kamanda wa LRA lapatikana
Jeshi nchini Uganda linasema kuwa limegundua mabaki ya kamanda wa cheo cha juu wa kundi la waasi wa Lords Resistance Army LRA.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili07 Dec
Kaburi la halaiki lapatikana Kenya
Wakaazi wa mji wa Mandera, Kaskazini Mashariki mwa Kenya wanasema wamegundua zaidi ya miili 20 yaliyozikwa kwenye makaburi ya jumla.
10 years ago
BBCSwahili24 May
Wahamiaji:Kaburi la pamoja lapatikana
Utawala nchini Malaysia unasema kuwa umegundua kaburi la pamoja karibu na kambi za kusafirisha watu kimagendo zilizoachwa karibu na mpaka kati ya nchi hiyo na Thailand.
10 years ago
BBCSwahili13 Jan
Kamanda wa LRA kufikishwa ICC
Kamanda wa kundi la waasi la LRA nchini Uganda ambaye alikamatwa katika Jamuhuri ya Afrika ya Kati, Dominic Ongwen atakabidhiwa kwa mahakama ya kimataifa ya ICC, yasema serikali ya Uganda.
10 years ago
BBCSwahili17 Jan
Kamanda mkuu wa LRA akabidhiwa ICC
Mwendesha mashtaka Jamhuri ya Afrika ya Kati anasema kamanda wa juu wa kundi la LRA nchini Uganda amekabidhiwa ICC
10 years ago
BBCSwahili26 Jan
Kamanda wa LRA kupandishwa kizimbani ICC
Kamanda wa ngazi ya juu wa kundi la waasi la Lord resistance Army,Dominic Ong'wen atafikishwa katika mahakama ya kimataifa ya ICC
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-VDIAwcIROxo/UvRkbKTc_VI/AAAAAAAFLdU/tA93i9aFJXA/s72-c/unnamed+(3).jpg)
HONGERA KAMANDA MZINGA KWA KUTEULIWA KUWA KAMANDA WA POLISI MKOA WA LINDI
![](http://4.bp.blogspot.com/-VDIAwcIROxo/UvRkbKTc_VI/AAAAAAAFLdU/tA93i9aFJXA/s1600/unnamed+(3).jpg)
10 years ago
BBCSwahili28 Feb
Rinda la Lupita lapatikana
Polisi nchini Marekani wanasema kuwa wamepata nguo wanayoamini iliibwa kutoka kwa chumba cha hoteli cha Lupita Nyongo
9 years ago
BBCSwahili20 Dec
Bomu lapatikana kanisani Kenya
Waumini katika kanisa moja nchini Kenya wanakila sababu ya kumshukuru mola wao baada ya bomu iliyokuwa imetegwa ndani ya kanisa kupatikana wakati wa ibada.
9 years ago
BBCSwahili15 Nov
Gari la pili la wavamizi lapatikana Paris
Polisi wa Ufaransa wamelipata gari la pili linalofikiriwa lilitumika katika mashambulio ya Ijumaa usiku mjini Paris.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania