Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kafulila: Dk Slaa awe mgombea Ukawa

Wakati vyama vya upinzani vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), vikitafakari jina la mgombea urais, Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila tayari anaye mtu anayefaa; anamtaka Dk Willbrod Slaa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

MGOMBEA MWENZA WA UKAWA AMNADI MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KISARAWE RASHID MWISHEHE "KINGWENDU"



 Mgombea Mwenza wa Ukawa Juma Duni Haji akipokea kadi ya CCM kutoka kwa mwanachama wa chama hicho, Kasim Msham aliyekihama na kujiunga na CUF katika kijiji cha Nanjilinji Mkoa wa Lindi. (Picha na Francis Dande)Kadi za CCM zilizorudishwa na wanachama wa Chama hicho na kujiunga na CUF katika kijiji cha Nanjilinjimkoa wa Lindi.
 Umati wa watu ukiwa katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Shule ya Msingi Majengo wilayani Bagamoyo. Umati wa watu ukiwa katika mkutano wa kampeni...

 

10 years ago

Vijimambo

Ukawa wataka Maalim Seif awe makamu

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimependekeza kwamba Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Seif Shariff Hamad, anapaswa kuwa mgombea mwenza wa Rais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, Raia Mwema linafahamu.
Hata hivyo, pendekezo hilo limekataliwa na chama anachotoka Maalim Seif, yaani Chama cha Wananchi (CUF), kwa maelezo kwamba muda wa kujadili mambo hayo haujafika bado.
Gazeti hili linafahamu pia kwamba pendekezo hilo la Chadema liliwasilishwa kwanza na Mwenyekiti wa Chadema,...

 

10 years ago

Michuzi

UPDATES YA UKAWA USIKU HUU: MGOMBEA URAIS WA UKAWA KUTANGAZWA NDANI YA SIKU SABA

Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA umesema kuwa mgombea wao wa Urais watamtoa baada ya siku saba.
Akizungumza na Waandishi wa Habari usiku huu,Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi,Mh.James Mbatia amesema kuwa kuchukua muda mrefu kwa kikao hicho imetokana na kuandaa utaratibu jinsi ya kumtoa mwali wao  wa Urais kwa tiketi ya UKAWA aliye bora.Amesema kuwa mkutano huo pia umechukua muda mrefu  kutokana na mambo mengi ikiwemo mgawanyo wa majimbo.
Afisa Habari wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

 

10 years ago

Raia Mwema

Dk. Slaa kuiumiza Ukawa

UAMUZI wa Dk.

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

Mwananchi

Dk Slaa: Ukawa ni safari ya uhakika

>Katibu Mkuu wa Chadema, Dk  Willibrod Slaa amesema Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), mwaka huu, unaingia kwenye uchaguzi ukiwa na safari ya uhakika na siyo ya matumaini kama ilivyotolewa na mmoja wa watangaza nia ya kugombea urais katika Uchaguzi Mkuu ujao.

 

10 years ago

Vijimambo

Dr Slaa athibitisha kuteuliwa na UKAWA


Baada ya jina la katibu Mkuu wa Chadema Dk Wibroad Slaa likiwa limeteuliwa na UKAWA kuwa mgombea wake wa nafasi ya Urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba.
Dakika chache zilizopita kwenye ukurasa wa @twitter wa Dr Slaa kathibitisha kuteuliwa na UKAWA. CREDIT:MILLARDAYO

 

10 years ago

TheCitizen

UKAWA NOMINATION: Slaa: From priesthood to vying for the presidency

>From priesthood to politics. That is the best way of describing Dr Willibrod Peter Slaa, the secretary-general of the opposition Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).

 

10 years ago

GPL

CCM: KUJITOA SLAA, LIPUMBA UKAWA WATANYOOKA TU!

Mwandishi wetu WATANYOOKA tu! Hiyo ndiyo kauli waliyoitoa wafuasi wa CCM jijini Dar baada ya Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Willibrod Slaa na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (Cuf), Ibrahim Lipumba kujiweka pembeni katika shughuli za Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa). Slaa amedaiwa kujichimbia nyumbani kwake Mbweni jijini Dar na kukataa kuzungumzia hatma yake kisiasa na kuacha shughuli za Ukawa...

 

11 years ago

Mwananchi

Slaa anguruma, ataka Ukawa iungwe mkono

Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa, amewataka Watanzania kuungana na kutetea Rasimu ya Katiba Mpya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani