Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAJALA: AFADHALI UCHAGUZI UMEFIKA

Imelda mtema STAA wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja, amefunguka kuwa anamshukuru Mungu uchaguzi umefika kitu ambacho alikuwa akikiomba usiku na mchana. Akizungumza na gazeti hili, Kajala alisema katika kipindi chote cha vuguvugu la uchaguzi kuna vitu vingi vililala kutokana na kila mmoja macho,masikio,akili na hata mawazo vilikuwa ni uchaguzi hivyo kushindwa kufanya chochote. “Namshukuru Mungu huu uchaguzi umefika maana...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Obama:'Bhangi ni afadhali kuliko Pombe'

Rais wa Marekani Barack Obama amesema kuwa kuvuta Marijuana au Bhangi, sio hatari ikilinganishwa na Pombe.

 

10 years ago

BBCSwahili

''Afadhali kufariki baharini badala ya kuishi Libya''

Hivyo ndivyo alivyoniambia Christina mwenye umri wa miaka 24 wakati yeye na mumewe Samuel walipotolewa katika boti ya MSF iliyowaokoa, zaidi ni kuwa ni mja mzito.

 

10 years ago

GPL

DIAMOND, WEMA MWISHO UMEFIKA

Stori: Imelda Mtema na Gladness Mallya Mwisho wa reli? Lile penzi lenye taito na mbwembwe nyingi Bongo kati ya sexy lady wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ na staa wa Ngoma ya Mdogomdogo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ linadaiwa kufika mwisho baada ya jamaa huyo kumwandikia mwenziye waraka wa kumdhalilisha mtandaoni, Ijumaa Wikienda lina sarakasi nzima. Staa wa Ngoma ya Mdogomdogo,...

 

10 years ago

Bongo5

Afadhali: Sasa unaweza kurekebisha/kuedit caption kwenye Instagram

Kwa muda mrefu watumiaji wa Instagram wamekuwa wakishindwa kurekebisha (kuedit) caption wanazoweka kwenye picha wanazopost kwenye Instagram. Matokeo yake ni kuwa baadhi ya picha hizo tumekuwa tukiziona zikiwa na maelezo yaliyokosewa na mtumiaji kushindwa kufanya chochote. Instagram sasa imeongeza kifaa cha kuedit maelezo. Updates mpya ya app hiyo kwenye iOS na Android inawapa watumiaji uwezo […]

 

10 years ago

GPL

KUNA AFADHALI UKIMFUMANIA MUMEO NA DEMU MZURI KULIKO WEWE

WIVU ni neno lililosheheni maana nyingi kwenye maisha ya kila siku. Mtu anaweza kukasirishwa na mafanikio ya mwingine, huo pia ni wivu.Lakini ile tabia ya mwenza kutoka kimapenzi na mwingine, wengine wanaita usaliti ni wivu mkubwa zaidi na unagharimu maisha ya wengi duniani. Zipo kumbukumbu zinazoonesha kwamba, mamilioni ya watu wamepoteza maisha kutokana na kukutwa au lugha rahisi kufumaniwa na wenye wenza wao. Kuna wenza...

 

10 years ago

Mwananchi

Wakati umefika wa kubadilisha mfumo wa elimu

Matokeo ya mitihani ya darasa la saba imetoka, tumejisifu kuwa tumefaulisha zaidi ya nusu ya wanafunzi waliofanya mtihani huo, lakini tunasahau kuwa waliofeli pia ni karibu ya nusu kwani waliofaulu ni 451,392 na waliofeli ni 356,693.

 

11 years ago

Tanzania Daima

SABRINA SUNGURA: Ukombozi wa wanawake kisiasa umefika

“NAPENDA kuwahamasisha wanawake wakubwa kwa wadogo wajijengee tabia ya ujasiri na kujiamini kuwania nafasi za uongozi wa kisiasa katika chaguzi zijazo ili waweze kuwatetea Watanzania wanyonge na kuwaletea ukombozi.” Hii...

 

10 years ago

Vijimambo

Mchezo wa karata : umefika wakati kuwekewa kanuni zake.


MCHEZO wa karata ambao umekuwa ukichezwa kama sehemu ya starehe, wakati umefika kwa Zanzibar kuweka kanuni na kuwekea kombe maalumu ili wachezaji waone faida yake, kama hawa wa maskani ya wazee wa CCM Mkoani wakisafiri kwenye mchezo huo kwenye maskani yao (picha na Haji Nassor, Pemba)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani