Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


''Afadhali kufariki baharini badala ya kuishi Libya''

Hivyo ndivyo alivyoniambia Christina mwenye umri wa miaka 24 wakati yeye na mumewe Samuel walipotolewa katika boti ya MSF iliyowaokoa, zaidi ni kuwa ni mja mzito.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Wahamiaji 650 wazama baharini na kufariki dunia

Zaidi ya wahamiaji haramu 650 wanahofiwa kufariki dunia katika Bahari ya Mediterranean baada ya boti walizokuwa wakisafiria kuzama, katika matukio mawili tofauti.

 

9 years ago

GPL

KAJALA: AFADHALI UCHAGUZI UMEFIKA

Imelda mtema STAA wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja, amefunguka kuwa anamshukuru Mungu uchaguzi umefika kitu ambacho alikuwa akikiomba usiku na mchana. Akizungumza na gazeti hili, Kajala alisema katika kipindi chote cha vuguvugu la uchaguzi kuna vitu vingi vililala kutokana na kila mmoja macho,masikio,akili na hata mawazo vilikuwa ni uchaguzi hivyo kushindwa kufanya chochote. “Namshukuru Mungu huu uchaguzi umefika maana...

 

11 years ago

BBCSwahili

Obama:'Bhangi ni afadhali kuliko Pombe'

Rais wa Marekani Barack Obama amesema kuwa kuvuta Marijuana au Bhangi, sio hatari ikilinganishwa na Pombe.

 

10 years ago

GPL

KUNA AFADHALI UKIMFUMANIA MUMEO NA DEMU MZURI KULIKO WEWE

WIVU ni neno lililosheheni maana nyingi kwenye maisha ya kila siku. Mtu anaweza kukasirishwa na mafanikio ya mwingine, huo pia ni wivu.Lakini ile tabia ya mwenza kutoka kimapenzi na mwingine, wengine wanaita usaliti ni wivu mkubwa zaidi na unagharimu maisha ya wengi duniani. Zipo kumbukumbu zinazoonesha kwamba, mamilioni ya watu wamepoteza maisha kutokana na kukutwa au lugha rahisi kufumaniwa na wenye wenza wao. Kuna wenza...

 

10 years ago

Bongo5

Afadhali: Sasa unaweza kurekebisha/kuedit caption kwenye Instagram

Kwa muda mrefu watumiaji wa Instagram wamekuwa wakishindwa kurekebisha (kuedit) caption wanazoweka kwenye picha wanazopost kwenye Instagram. Matokeo yake ni kuwa baadhi ya picha hizo tumekuwa tukiziona zikiwa na maelezo yaliyokosewa na mtumiaji kushindwa kufanya chochote. Instagram sasa imeongeza kifaa cha kuedit maelezo. Updates mpya ya app hiyo kwenye iOS na Android inawapa watumiaji uwezo […]

 

10 years ago

GPL

KUNA AFADHALI UKIMFUMANIA MUMEO NA DEMU MZURI KULIKO ANAYEPAKA WANJA WA 'SINA BWANA' -2

MPENDWA msomaji, wiki iliyopita katika mada yetu ya Kuna afadhali ya kumfumania mumeo na demu mzuri kuliko anayepaka wanja wa ‘sina bwana?’ tuliishia kwa simulizi ya dada Mwanaidi Mkwazu, mkazi wa jijini Dar ambaye alisema kwa upande wake iliwahi kumtokea alimfumania mume wake akiwa na demu bomba. TUJIKUMBUSHE
“Nilipenda awe amenizidi maana kama nitakuwa nimemzidi nitamshangaa sana mume wangu. Kufika kweli...

 

10 years ago

GPL

VOLCANO JAPAN: 30 WAHOFIWA KUFARIKI

Moshi kutoka katika mlipuko wa volcano uliotokea jana kwenye Mlima Ontake, Japan. Jivu la volcano likiwa limefunika nyumba zilizo jirani na mlima huo.…

 

11 years ago

GPL

AGONGWA NA KUFARIKI DUNIA HAPOHAPO

Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Meshak John Lusito amegongwa na gari na kufariki dunia leo eneo la Gezaulole, Kigamboni Dar, aliyemgonga amekimbia na gari lake na inasemekana ni  kiongozi! (PICHA NA GLOBAL WhatsApp +255 753 715 779)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani