Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAJALA AJITOA UFAHAMU

Musa mateja
CHIZIKA! Katika hali ambayo haikutarajiwa, staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja amewaacha watu midomo wazi kwa kukatika mauno hadharani. Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja akikata mauno. Tukio hilo la aina yake lilitokea hivi karibuni maeneo ya Twende Polepole, Mkoa wa Pwani kwenye sherehe ya kumkaribisha mtoto wa mwigizaji Aunt Ezekiel (Baby Shower) iliyohudhuriwa na watu wengi akiwemo Kajala. Awali,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mbinu za kusoma na kusikiliza kwa ufahamu

Ufahamu ni dhana inayorejelea kujua na kulielewa jambo kwa usahihi ili kuweza kulielezea upya kwa pasipo kupoteza maana ya msingi. Hivyo, ufahamu wa mtu unaweza kupimwa katika kusikiliza jambo au kusoma.

 

10 years ago

Dewji Blog

Ufahamu juu ya ugonjwa sugu wa Figo

Dr Kavita swahili

Apollo Kidney article for Mwananchi Swahil 2 12 Mar 15 Final.doc by moblog

 

11 years ago

Bongo Movies

Baada ya Kajala kudai Wema ni mnafiki,Wema aamua kujibu mapigo. 'Amlipua' vibaya Kajala


Ikiwa ni siku chache zimepita baada ya mwigizaji  Kajala kudai kuwa mrembo Wema Sepeteu ni Mnafiki, hatimaye Mwanadada Wema Sepetu , amemlipua aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ‘K’ ambaye wiki iliyopita alimwita mnafiki, habari  ambayo  ilisambaa  katika  mitandao  mbalimbali  ya  kijamii.

Katika habari hiyo, Kajala alikaririwa akisema kwamba licha ya watu wengi kuamini wamepatana, hakuna ukweli kwani rafiki yake huyo ni mnafiki kufuatia kutomthamini na kutokuwa karibu naye kama zamani...

 

9 years ago

Michuzi

UFAHAMU VYEMA MOYO WAKO "CARDIAC ARRHYTHMIA"

‘Cardiac Arrhythmia’ ni pale mtu anapokuwa na mapigo ya moyo yasiyo ya kawaida au yanayodunda sana. 

Mwili una mfumo asili wa umeme unaosaidia moyo kufanya kazi. Mfumo huu husababisha moyo kutanuka na kusinyaa ambapo husababisha damu kuingia na kutoka kwenye moyo; umeme kwa kawaida hufuata mkondo na mapigo ya moyo kwa kasi ya kawaida. 

Ingawa, kama mkondo wa kawaida wa umeme huu ukivurugwa moyo hushindwa kufanya kazi na kusababisha mapigo ya moyo ama kwenda taratibu sana, haraka sana au...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ah! ufahamu umewatoka wanadamu unawenda kwa wanyama!

RAIS wangu, wakati Taifa likiwa limegubikwa na ufisadi wa matumizi makubwa ya fedha za walipa kodi kwakutengeneza kitu kilichomsukuma mwanamwema Nanyanje kusema, “Katiba mpya imetengenezwa kama kumsukuma mlevi” hospitali kubwa kuliko zote...

 

9 years ago

Vijimambo

NesiWangu: OCTOBER ni Mwezi wa Kuongeza Ufahamu na Mapambano ...





NesiWangu: OCTOBER ni Mwezi wa Kuongeza Ufahamu na Mapambano ...: Kwa wale wasio na bima ya afya na wanahitaji Mammogram au huduma ya juu ya utafiti wa saratani ya matiti tuma text kupitia 240 672-1788...

BOFYA HAPO JUU KWA MAFUNZO ZAIDI  YA UCHUNGUZI BINAFSI WA MATITI.

 

10 years ago

Ykileo

DIT YAFANYA SEMINA ELEKEZI YA UFAHAMU WA MASWALA YA USALAMA MTANDAO

Swala la kukuza uelewa wa matumizi mtandao salama maarufu kama  “Cybersecurity Awareness programs” imekua iki himizwa sana kwani uhalifu mtandao unaweza kupunguzwa kwa kiasi kikubwa sana pale watumiaji watakapo pata ufahamu wa kina wa matumizi salama wa mitandao.


Swala hili limekua liki imizwa sana na mataifa mbali mbali ili kuhakiki matumizi salama ya mitandao yanakuwepo na hatimae kupunguza wimbi kubwa la uhalifu mtandao unao endelea kukua hivi sasa. Katika kuonyesha umuhimu wa swala hili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani