Mbinu za kusoma na kusikiliza kwa ufahamu
Ufahamu ni dhana inayorejelea kujua na kulielewa jambo kwa usahihi ili kuweza kulielezea upya kwa pasipo kupoteza maana ya msingi. Hivyo, ufahamu wa mtu unaweza kupimwa katika kusikiliza jambo au kusoma.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima22 Oct
Ah! ufahamu umewatoka wanadamu unawenda kwa wanyama!
RAIS wangu, wakati Taifa likiwa limegubikwa na ufisadi wa matumizi makubwa ya fedha za walipa kodi kwakutengeneza kitu kilichomsukuma mwanamwema Nanyanje kusema, “Katiba mpya imetengenezwa kama kumsukuma mlevi” hospitali kubwa kuliko zote...
10 years ago
Mwananchi19 Jul
SAIKOLOJIA : je, Unajua kurekebisha mtindo wako wa kusoma kufuatana na malengo yako ya kusoma?
10 years ago
MichuziHOSPITALI YA AGA KHAN YAADHIMISHA MWEZI WA UFAHAMU WA UGONJWA WA SARATANI YA MATITI DUNIANI KWA KUTOA BURE HUDUMA YA UPIMAJI
Mtaalamu wa Saratani katika hospitali hiyo, Dk.Amyn Alidina akizungumza na wanahabari kuhusu ugonjwa huo.
11 years ago
Mwananchi26 Jun
‘Kila jaji anapaswa kusikiliza mashauri 220 kwa mwezi’
9 years ago
Bongo521 Nov
Video: Ifahamu Chizika, App ya kusikiliza muziki kwa simu iliyotengenezwa na watanzania
![11356960_388937114632648_737681832_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/11356960_388937114632648_737681832_n-300x194.jpg)
Ulimwengu wa sasa wa muziki umehamia kwenye smartphones. Kwa Ulaya na Marekani wapenzi wa muziki kwa sasa wanasikiliza zaidi nyimbo wazipendazo kwenye platform maarufu kama vile Spotify, Apple Music, Tidal na zingine.
Mtumiaji wa app hizo hufanya malipo kwa mwezi au mwaka na kuwa na uwezo wa kusikiliza mamilioni ya nyimbo. Tanzania nayo haiku nyuma.
Vijana wawili, Ali Makongo aka Young Siza na mtangazaji wa kipindi cha Daladala Beat cha Magic FM, Jimmy Jamal aka Jimmy Jay wameanzisha app...
11 years ago
Tanzania Daima10 Apr
Wanafunzi watakiwa kusoma kwa malengo
MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (Tantrade), Jacqueline Mneney, amewataka wanafunzi nchini kusoma kwa malengo ya kutimiza ndoto zao za baadaye. Amesema ikiwa kila anayesoma ataondokana na...
9 years ago
Global Publishers25 Dec
11 years ago
Mwananchi24 Dec
Tuwasaidie watoto wetu kusoma kwa malengo