Kajala Ashutumiwa Kuchukua “Credit” za Mangi!
Mrembo na Staa wa Bongo Movies, Kajala Masanja amelalamikiwa na wasanii kwa kujitangaza kuwa alipata shida katika kuwatafuta wasanii walioshiriki katika filamu ya Mbwa mwitu wakati wao walitafutwa na Mangi msanii maarufu kwa Casting Abul Ally ‘Mangi’.
Akiongea na FC mmoja wa washiriki wa filamu hiyo kutoka mitaa ya Mburahati amedai kuwa aliona katika moja ya kituo cha televisheni Kajala akijisifu eti alipata shida sana kuwatafuta wasanii ambao walikuwa watu wa matukio na kuacha na maisha...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Daily News30 Aug
Mangi Sabbas school gets shot in the arm
Daily News
PUPILS at Mangi Sabbas Primary School in Chekereni village, Mabogini ward can now concentrate on studies under a conducive environment, as the school committee was handed over three renovated classrooms, a teachers' office and a modern kitchen.
10 years ago
BBCSwahili06 May
Pacquiao ashutumiwa kwa udanganyifu
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/Cmufrv6JsXU/default.jpg)
10 years ago
BBCSwahili20 Nov
Bill Cosby ashutumiwa kuwa mdhalilishaji
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vMQ5RJcyKDAhVfKyas2KwbWHRfrBaopZgI0kLrmzwcqSYeAeeyohcFXypJyWjMxNZIQq*5h3og8DUS5L2fHYDDd5Jj4YHGIo/image.aspx.jpg?width=650)
YEMI ALADE ASHUTUMIWA KUJICHUBUA KWA MKOGORO
9 years ago
BBCSwahili11 Nov
Trump ashutumiwa kwa kupanga kufurusha wahamiaji
10 years ago
Bongo Movies05 Apr
Mwigizaji Jack Wolper Ashutumiwa Kumsahau Aliyemtoa Kisanii Katika Tasnia ya Filamu Bongo
Ubuyu Mpya Kutoka Instagram kwenye page ya mrekebishatabia kuhusu Mrembo Mwigizaji Wolper Kumsahau aliyemwingiza katika Tasnia ya Filamu:
'HISTORIA: Je unajua aliyemtoa kisanii Jackline Wolper mpaka kupata umaarufu nchini ni nani? Ni mdada mkali wa wa siku nyingi kwenye masuala ya sana Lucy Komba ambaye hivi sasa anaishi na familia yake nchini Denmark.
Alikutana nae kwenye ofisi moja bongo akamuomba namba ya simu walipoachana baada ya kama dk 10 akamuandikia msg anaomba amsaidie kwenye sanaa...
11 years ago
Bongo Movies19 Jul
Baada ya Kajala kudai Wema ni mnafiki,Wema aamua kujibu mapigo. 'Amlipua' vibaya Kajala
Ikiwa ni siku chache zimepita baada ya mwigizaji Kajala kudai kuwa mrembo Wema Sepeteu ni Mnafiki, hatimaye Mwanadada Wema Sepetu , amemlipua aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ‘K’ ambaye wiki iliyopita alimwita mnafiki, habari ambayo ilisambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
Katika habari hiyo, Kajala alikaririwa akisema kwamba licha ya watu wengi kuamini wamepatana, hakuna ukweli kwani rafiki yake huyo ni mnafiki kufuatia kutomthamini na kutokuwa karibu naye kama zamani...
10 years ago
TheCitizen24 Sep
Banks get Sh34bn credit