Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAKAKUONA ALIYEONEKANA LEO KIGAMBONI,JIJINI DAR

Huyu ndiye Kakakuona aliyeonekana leo maeneo ya Kigamboni,jijini Dar, alikunywa maji mengi sana kufuatia mvua iliyonyesha leo,akafuata unga na pesa,aliepuka panga na kisu. Watabiri wa mambo wanasema tutarajie mema mwakani.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

Huyu ndiye kakakuona aliyeonekana leo Kigamboni,jijini Dar

Huyu ndiye Kakakuona aliyeonekana leo maeneo ya Kigamboni,jijini Dar, alikunywa maji mengi sana,akafuata unga na pesa,aliepuka panga na kisu. Watabiri wa mambo wanasema tutarajie mema mwakani.

 

10 years ago

Michuzi

kakakuona aonekana kigamboni leo, wananchi watabiri ni ishara ya mvua nyingi msimu huu

 Wananchi wakiwa wamemzunguka Kakakuona aliyeonekana asubuhi majira ya saa moja maeneo ya Kigamboni Kisiwani Mtaa wa Chaboko ambapo kwa mujibu wa ripota na mpiga picha wetu Salma Bob Kassim, mnyama huyo aliwekewa Unga, ndizi, maji pamoja na pesa. 
Lakini akaishia kunywa maji tu kabla ya kukimbilia vichakani. Wananchi kwa mamia waliofurika kumuona Kakakuona huyo walisikika wakisema kuwa huenda huo ni utabiri kwamba huenda mvua zikawa nyingi msimu huu. 
Polisi walifika eneo la tukio na baada ya...

 

10 years ago

Michuzi

KIVUKO CHA MV KIGAMBONI CHAANZA KUFANYA KAZI LEO JIJINI DAR ES SALAAM

Kivuko cha MV Kigamboni kimeanza safari zake jioni ya leo baada ya ukarabati mkubwa uliofanywa na Kikosi cha Maji cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli. Kivuko cha MV KIgamboni kikiwa majini kuelekea eneo la Ferry kwa ajili ya kuanza kutoa Huduma ya Usafiri.Abiria wakiingia  kwenye  Kivuko cha MV Kigamboni mara baada ya kuanza kufanya kazi.

 

10 years ago

GPL

AJALI ENEO LA KIBADA, KIGAMBONI JIJINI DAR

Magari mawili madogo yakiwa yamegongana eneo la Kibada, Kigamboni jijini Dar es Salaam jana. Wananchi wakiwa eneo la tukio baada ya ajali hiyo.…

 

10 years ago

GPL

KAKAKUONA AONEKANA DAR

Kakakuona akitembea.
Mama Mwita akimshika Kakakuona baada ya kuingia nyumbani kwake.…

 

10 years ago

GPL

TASWIRA KUTOKA MSIBANI KWA AISHA MADINDA, KIGAMBONI JIJINI DAR

Baadhi ya waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehemu Aisha Madinda, Kigamboni jijini Dar leo.…

 

10 years ago

GPL

MWILI WA AISHA MADINDA WAZIKWA MAKABURI YA KIBADA, KIGAMBONI JIJINI DAR

Maziko ya mwili wa marehemu Aisha Madinda yakifanyika katika makaburi ya Kibada, Kigamboni jioni hii. Mwili wa Aisha Madinda ukishushwa kaburini.…

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR ATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA DARAJA LA KIGAMBONI JIJINI DAR

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa na Menaja Mradi wa NSSF Mhandisi Karim Mattaka kulia yake na afisa wa Mfuko huo Bibi Maryam Muhaji wakikagua ujenzi wa Daraja la Kigamboni jijini Dar es Salaam unaoendelea hivi sasa. Balozi Seif akipata maelezo ya ujenzi wa daraja la Kigambnoni kutoka kwa wahandisi wa ujenzi huo wakati alipotembelea mradi huo. Muonekano wa daraja la kigamboni unavyoonekana ukiendelea ya ujenzi wake chini ya wahandisi kutoka Kampuni ya Kimataifa ya...

 

10 years ago

Michuzi

Benki ya NBC yakabidhi msaada wa madawati kwa shule ya Msingi Maweni-Kigamboni,Jijini Dar

Mkuu wa Kitengo cha Kudhibiti Hali Hatarishi wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Nicholaus Paul (wa nne kushoto) akikata utepe kuashiria makabidhiano ya msaada wa madawati yenye thamani ya zaidi ya sh milioni 3 yaliyotolewa na wafanyakazi wa kitengo cha mikopo ya makampuni cha benki hiyo kwa Shule ya Msingi Maweni. Hafla ya makabidhiano ilifanyika shuleni hapo, Kigamboni nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam jana. Wengine kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Mtaa wa Maweni, Sylvester Roche, Mwalimu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani