Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAKAKUONA: JK umeondoka bila kuumaliza mpasuko Zanzibar?

Rais Jakaya Kikwete alipoingia madarakani 2005, aliahidi kushughulikia mpasuko wa kisiasa Zanzibar, lakini bahati mbaya anaondoka madarakani akiacha mpasuko mkubwa zaidi wa kisiasa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Ni aibu kusherehekea miaka 52 ya mapinduzi ya zanzibar na mpasuko wa kisiasa

Zanzibar imo katika Sherehe za Mapinduzi na Januari 12 itatimiza miaka 52 tangu kufanyika kwa mapinduzi hayo yaliyoiondoa madarakani Serikali ya Zanzibar iliyokaa madarakani kwa siku chache. Mapinduzi yalifanyika Januari 12,1964.

 

9 years ago

Global Publishers

9 years ago

Mwananchi

Samia ajitapa CCM kuumaliza mgogoro

Mgodi wa Kiwira uliokuwa na mgogoro kwa zaidi ya miaka 10 kati ya mwekezaji na Serikali, umepata mwekezaji mwingine.

 

9 years ago

Bongo Movies

Ujumbe wa Lulu Tunapoelekea Kuumaliza Mwaka Huu

Elizabeth Michael ‘Lulu’

Elizabeth Michael ‘Lulu’

Mwaka huu ulikuwa mzuri au mbaya Kwa kila mmoja wetu….Katika MAZURI SHUKURU Na hata katika MABAYA Na ya KUUMIZA pia MSHUKURU MUNGU.
Tunapoelekea Kumaliza mwaka hiyo tu ni sababu tosha ya kuonyesha ni jinsi gani Una thamani mbele ya Mungu wako wala hutakiwi Kuwaza nani anakuona nini.
Nimejifunza na Ninaamini Kuna Nguvu,Msamaha,Kuongezwa,Kuzidishwa,Kuponywa na Mengine mengi ndani ya SHUKRANI.

Elizabeth Michael ‘Lulu’ @elizabethmichaelofficial on...

 

10 years ago

GPL

KAKAKUONA AONEKANA DAR

Kakakuona akitembea.
Mama Mwita akimshika Kakakuona baada ya kuingia nyumbani kwake.…

 

10 years ago

Mwananchi

AG Zanzibar: Nitafanya kazi bila woga wala upendeleo

Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Said Hassan Said amesema atahakikisha anatekeleza majukumu yake bila ya woga wala upendeleo, ikiwamo kazi ya kumshauri Rais wa Zanzibar na Serikali yake.

 

9 years ago

Mwananchi

KAKAKUONA : Ukawa ni urafiki thabiti au ulafi wa madaraka?

Katika siku za karibuni, kumejitokeza sintofahamu katika baadhi ya majimbo kwa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kushindwa kuachiana viti vya Ubunge na Udiwani.

 

10 years ago

Vijimambo

KAKAKUONA ALIYEONEKANA LEO KIGAMBONI,JIJINI DAR

Huyu ndiye Kakakuona aliyeonekana leo maeneo ya Kigamboni,jijini Dar, alikunywa maji mengi sana kufuatia mvua iliyonyesha leo,akafuata unga na pesa,aliepuka panga na kisu. Watabiri wa mambo wanasema tutarajie mema mwakani.

 

10 years ago

CloudsFM

Huyu ndiye kakakuona aliyeonekana leo Kigamboni,jijini Dar

Huyu ndiye Kakakuona aliyeonekana leo maeneo ya Kigamboni,jijini Dar, alikunywa maji mengi sana,akafuata unga na pesa,aliepuka panga na kisu. Watabiri wa mambo wanasema tutarajie mema mwakani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani