Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kala Jeremiah: Wimbo nitakaofungia mwaka ndio wimbo wangu wa kwanza mtu akisikiliza analia

Kala Jeremiah amesema anatarajia kuachia wimbo mpya wa kufungia mwaka kabla mwezi huu haujaisha. “Mwezi wa 11 hautaisha Kala Jeremiah atadrop kitu ambacho naamini kabisa kila Mtanzania kitamgusa..kwa namna moja au nyingine kila mmoja unamhusu huu wimbo kwahiyo sitaki sana akuongelea sasa hivi “ Amesema Kala kupitia Power Jams ya EA Radio. Akiuzungumzia wimbo huo, […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Kala Jeremiah asema ‘Nchi ya Ahadi’ ni wimbo unaotakiwa kusikilizwa na kila Mtanzania

Rapper Kala Jeremiah anatarajia kuachia wimbo mpya uitwao ‘Nchi ya Ahadi’ unaopeleka ujumbe kwa Rais, Mawaziri, Wabunge na kwa wananchi wote wa Tanzania. Kala ameiambia Bongo5 kuwa wimbo huo aliomshirikisha Roma Mkatoliki ni wimbo ambao kila mtanzania anahitaji kuusikiliza ili kujua hatma yake. “Idea ilikuja kwa kuona mambo mbalimbali na kuangalia hali ya maisha ya […]

 

9 years ago

Bongo5

Kala Jeremiah kuachia wimbo mpya mwezi ujao, pia aeleza sababu za kumtumia director Pablo kwenye video nyingi

Kala

Baada ya kipindi cha kampeni kupita Kala Jeremiah pia yuko kwenye foleni ya wasanii wanaotaka kutoa kazi mpya za kufungua mwaka.

Kala

Kala ameiambia Bongo5 kuwa tayari video ya kazi mpya imekamilika na anatarajia kuitoa hivi karibuni.

“Video ya wimbo mpya na nimeshoot na PABLO ila nisingependa kwanza kutaja jina la wimbo, lakini mwezi wa 12 lazima itoke”.

Video nne zilizopita za Kala (Nchi ya Ahadi, Usikate Tamaa, Simu Ya Mwisho, Wale Wale) zote zimeongozwa na Pablo, kuhusu kwanini ameamua...

 

9 years ago

Bongo5

Barnaba: Video ya wimbo wangu na Jose Chameleone itachelewa kwasababu ninauogopa wimbo

Barnaba c

Wimbo mpya wa Barnaba Classic aliomshirikisha staa wa Uganda, Jose Chameleone ndio collabo ya kwanza ya kimataifa kwa Barnaba.

Barnaba c

Barnaba ambaye anauachia wimbo huo ‘Nakutunza’ leo November 9, amesema kuwa video ya wimbo huo itachelewa kutokana na kwamba yeye binafsi anauogopa wimbo huo, akimaanisha ni wimbo mkubwa hivyo anaogopa kukosea.

“Video yangu imechelewa kwasababu wimbo huu ndio collabo yangu ya kwanza inayonipeleka International na ndio collabo yangu kubwa” alisema Barnaba kupitia...

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Bongo5

Vanessa Mdee: Wimbo wangu ujao ni wa rap

Vanessa Mdee amesema hachagui muziki wa kufanya na kwamba kama mambo yakienda alivyopanga, wimbo wake ujao utakuwa wa hip hop (hatuna uhakika kama alizungumza kwa utani ama ni kweli atafanya hivyo). Akiongea kwenye kipindi cha Power Jams cha East Africa Radio, Jumanne hii wakati akitambulisha wimbo wake mpya ‘Siri’ alioshirikiana na Barnaba, Vanessa alidai kuwa […]

 

9 years ago

Bongo5

Nahreel azungumzia madai ya wimbo wa Game kufanana na wimbo wa Patoranking ‘Girlie O’

Mtayarishaji wa muziki na msanii, Nahreel amezungumzia madai ya kufanana kwa wimbo wa kundi lake Navy Kenzo, ‘Game’ pamoja wimbo wa ‘Girlie O’ wa msanii wa Nigeria, Patoranking. Nahreel ameiambia 255 kwenye kipindi cha XXL kupitia Clouds FM kuwa kabla wimbo huo haujatoka Patoranking aliusikia na kuusifia. “Kiukweli cha kwanza kabla Game haijatoka Patoranking yeye […]

 

11 years ago

Bongo5

Roma atimiza ahadi ya kufanya wimbo Sharobaro Rec, wimbo unaitwa ‘Maumivu’

Hitmaker wa Mathematics Roma Mkatoliki ametmiza ahadi yake ya kwenda kufanya wimbo katika studio za Sharobaro Records chini ya producer Bob Junior aliyoweka wakati wa kombe la dunia kama Brazil ingefungwa na Ujerumani. Katika studio hiyo, Roma amerekodi wimbo uitwao ‘Maumivu’. Roma na producer Bob Junior wakiwa studio Akizungumza na Bongo5 leo, Bob Junior amesema […]

 

10 years ago

Bongo5

Rich Mavoko: Sijaachia wimbo wala kwa sasa sina mpango wa kuachia wimbo

Kama wewe ni shabiki wa mtoto wa mama Richard, Rich Mavoko inabidi uwe na subira kwasababu muimbaji huyo wa ‘Pacha Wangu’ amesema hana mpango wa kutoa wimbo mpya hivi karibuni. Wiki hii kuna wimbo wa Rich Mavoko unaoitwa Ongea Nae’ umesambaa kwenye baadhi ya blogs na hata kuzifikia radio mbalimbali mikoani ikiaminika ni single yake […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani