Kalapina azungumzia utofauti wa kampuni yake ya ulinzi na mengine
Kiongozi wa kundi Kikosi cha Mizinga, Kalapina hivi karibuni alianzisha kampuni ya ulinzi iitwayo Kikosi Security na tayari walipata tenda ya kulinda stendi ya Makumbusho jijini Dar es Salaam. Akizungumza na kipindi cha Siz Kitaa cha Clouds TV, Kalapina alisema tofauti na makampuni mengine, Kikosi Security ina askari wazoefu katika fani ya mapigano na wengine […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies26 May
Mzee Majuto Afungua Kampuni Yake, Azungumzia Miradi ya Ujasiriamali Aliyoianzisha Tanga
Muigizaji mkongwe wa Mzee Majuto amejidhatiti zaidi kwa kufungua kampuni yake mwenyewe ya filamu.
Mzee Majuto ameiambia Bongo5 kuwa huo ni mwanzo wa mipango yake mikubwa.
“Sasa hivi na mimi nina camera zangu, nina watu wangu karibu 75 nimewafundisha vijana ili kuwapa ajira na kweli wamejiajiri, tunatengeneza mikanda, tunauza wenyewe, tunakaa mezani tunagawana. Kwahiyo tuna nguvu,” amesema Majuto.
“Halafu mimi mwenye pia nimejiweka vizuri, nimenunua shamba, nikalitengeneza vizuri, nikaweza...
11 years ago
CloudsFM05 Jun
KALAPINA NUSURA APORWE ‘DILI’ LA KUSIMAMIA ULINZI KITUO KIPYA CHA MAKUMBUSHO
STAA wa Hip Hop Bongo,ambaye pia ni kiongozi wa kundi la Kikosi Cha Mizinga,Kalapina ambaye hivi karibuni kupitia kampuni yake ya Kikosi Security alipata dili la kusimamia ulinzi na kusafisha kituo kipya cha mabasi cha Makumbusho.
Ukifika katika kituo hicho ukikutana na jamaa ambao ni vipande aliojazia (Mabaunsa)huku vikiwa na uniform ujue hao vijana wa Kalapina, sasa muda mfupi baada ya kupata dili hilo Kalapina amedai kuwa kuna mtu alimfanyia fitna ili atoswe kwenye mchongo huo.
11 years ago
CloudsFM03 Jun
KALAPINA APATA TENDA YA KUSIMAMIA ULINZI NA USAFI KATIKA KITUO KIPYA CHA MABASI MAKUMBUSHO
STAA wa Hip Hop Bongo,ambaye pia ni kiongozi wa kundi la Kikosi Cha Mizinga, Mtu Mzima Kalapina anatumia vizuri uaminifu alioupata kutoka kwa wananchi kutokana na muziki.
Siku ya jana Kalapina ameanza kutumikia tenda ya ulinzi na usafi katika kituo kipya cha Makumbusho, Jijini Dar es salaam, kituo ambacho kimechukua nafasi ya kituo cha mabasi cha Mwenge.
10 years ago
Mwananchi01 Dec
Sheria kubana utitiri kampuni za ulinzi yaja
9 years ago
StarTV19 Nov
 Wafanyakazi Kampuni ya Ulinzi G4S Geita wagoma Â
Zaidi ya Wafanyakazi 600 wa Kampuni ya G4S inayofanya Kazi ya Ulinzi katika Mgodi wa Dhahabu wa Geita wamegoma kufanya kazi kwa madai ya kulipwa maslahi duni pamoja na kuukataa uongozi uliopo ambao umekuwa ukiwasainisha mikataba isiyotekelezeka.
Wamedai kuwa mikataba hiyo inayoeleza kupata huduma ya malazi, afya na chakula ukiwa kazini haitekelezwi na hivyo kufanya kazi katika mazingira magumu kwa kuwa baadhi ya wafanyakazi wanatoka mikoani.
Wafanyakazi hao waliofunga Geti Kubwa la kuingia...
9 years ago
MillardAyo25 Dec
Exclusive Interview na Alikiba kabla ya show yake Escape One kesho Dec 26, mafanikio ya 2015, Ben Pol na mengine
Wakati inasubiriwa show ya Alikiba Escape One Mikocheni Dar es salaam kwenye boxing day December 26, kuna hii Interview ya Alikiba akihojiwa na Millard Ayo na kuzungumzia sehemu ya mafanikio yake 2015, alichoandikiwa na Ben Pol na mengine. Kabla hujaitazama hii Interview hapa chini, inabidi ujue pia kwenye hii show ya boxing day Escape One, Alikiba atafanya […]
The post Exclusive Interview na Alikiba kabla ya show yake Escape One kesho Dec 26, mafanikio ya 2015, Ben Pol na mengine appeared...
10 years ago
GPL01 Jun
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1asLTm0wi-tsQ-*fQnI9jyyZDeF1NlGnkhFw8mDU8VVDnxezFQAt1LYLVz58DIpxF54w5mWaqpi*jurEynWhackPB0MkrfNy/YemiAlade7823.jpg)
YEMI ALADE AZUNGUMZIA KIFO CHA BABA YAKE