Wafanyakazi Kampuni ya Ulinzi G4S Geita wagoma Â
Zaidi ya Wafanyakazi 600 wa Kampuni ya G4S inayofanya Kazi ya Ulinzi katika Mgodi wa Dhahabu wa Geita wamegoma kufanya kazi kwa madai ya kulipwa maslahi duni pamoja na kuukataa uongozi uliopo ambao umekuwa ukiwasainisha mikataba isiyotekelezeka.
Wamedai kuwa mikataba hiyo inayoeleza kupata huduma ya malazi, afya na chakula ukiwa kazini haitekelezwi na hivyo kufanya kazi katika mazingira magumu kwa kuwa baadhi ya wafanyakazi wanatoka mikoani.
Wafanyakazi hao waliofunga Geti Kubwa la kuingia...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi23 Nov
DC Geita aamuru mabweni ya wafanyakazi G4S yafungwe
9 years ago
StarTV04 Nov
Wafanyakazi wa Kampuni ya Organia wagoma
Wafanyakazi wa Kampuni ya Organia iliyopo Kibaha Mkoani Pwani wamegoma kuingia kazini kwa zaidi ya saa 7 kwa madai ya kutopatiwa mikataba ya kazi, kunyanyaswa na muwekezaji, mishahara midogo tofauti na kazi wanazofanya na kukosekana kwa huduma ya choo hali inayohatarisha afya zao kutokana na kujisaidia porini. Hali hiyo imesababisha uongozi wa mkoa wa Pwani kufika katika kampuni hiyo na kukutana na viongozi wa wafanyakazi na muwekezaji wa mradi huo na baada ya mazungumzo viongozi wa kampuni...
11 years ago
GPLWAFANYAKAZI WA KAMPUNI YA UJENZI WA BARABARA YA MAGARI YAENDAYO KASI WAGOMA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XewtWaR3V6bDoFS8A-qAvljAXmE9202WXKpQpeJW9dakFZpkrv-Fw*ehAvaiPICbMIG1F5qSZh3f5952QYl0SxG7hQuKLLbg/BREAKINGNEWS.gif)
WAFANYAKAZI STRABAG WAGOMA:
11 years ago
Tanzania Daima25 Mar
Wafanyakazi Shoprite wagoma
ZAIDI ya wafanyakazi 100 wa maduka ya Shoprite jijini Dar es Salaam wamegoma baada ya mmiliki wa maduka hayo kushindwa kuwalipa malimbikizo ya fedha zao tangu mwaka 2008 hadi sasa....
11 years ago
Habarileo14 May
Wafanyakazi TAZARA wagoma
WAFANYAKAZI wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) wamegoma kufanya kazi kwa kushinikiza kulipwa mishahara yao ya miezi mitatu.
10 years ago
Habarileo08 Oct
Wafanyakazi Hospitali ya Regency wagoma
BAADHI ya wafanyakazi wa vitengo mbalimbali katika Hospitali ya Regency jijini Dar es Salaam jana waligoma kufanya kazi wakilalamikia kutopandishwa mishahara kwa muda mrefu.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
WAFANYAKAZI WA HOTELI YA SHARON WAGOMA
11 years ago
BBCSwahili01 Jul
Wafanyakazi wagoma Afrika Kusini