Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kalenga watachagua ukoo au ukombozi?

PAMOJA na kuwa na ustaarabu wa miaka mingi, Bara Hindi linasifika kwa mifumo ya kibaguzi chini ya mfumo wa ‘caste’, unyanyasaji wa kina mama na ubaguzi wa watu wengine hasa wasio...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Viongozi wa ukoo wakerwa Graca kunyanyaswa

Baada ya mjane wa aliyekuwa Rais wa Kwanza mzalendo wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, Graca Machel kutakiwa kuondoka katika familia hiyo na kurudi kwao Msumbiji, viongozi wa ukoo wamewajia juu watoto wa Mandela.

 

11 years ago

Michuzi

KINANA ATUA KALENGA LEO,AMNADI MGOMBEA UBUNGE WA CCM JIMBO LA KALENGA KWA KISHINDO

 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana pichani kushoto na Naibu Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Mwigulu Nchemba wakimnadi mgombea Ubunge wa Jimbo la Kalenga kupitia chama hicho cha CCM,Ndugu Godfreya Mgimwa,kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za lala salama,uliofanyika leo jioni katika kijiji cha Magulilwa kata ya Magulilwa,Iringa vijijini.
Kinana amewataka wakazi wa Kalenga kumpigia kura za kutosha na hatimae kuibuka mshindi kwa maendeleo ya jimbo hilo,hapo siku ya jumapili ambapo...

 

10 years ago

GPL

MWANAMKE AKIOLEWA KUNA ULAZIMA AITWE JINA LA UKOO WA MUMEWE?-2

KARIBUNI tena na tena mashabiki wa safu hii ya ukweli inayozungumzia maisha kwa ujumla.
Wiki iliyopita tulianza na mada yenye kichwa cha habari hapo juu ‘Mwanamke akioelewa kuna ulazima wa kutumia jina la ukoo wa mumewe? Mada hii ni pana, nilifafanua mengi likiwemo suala la asili ya wanawake kuitwa kwa majina ya waume zao. Nikatoa mfano wa wanawake maarufu ambao wanatumia majina ya ukoo wa waume zao, wakiwemo wake wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Ajali ya gari Mbeya yaua watu watano wa ukoo mmoja

Watu watano wa ukoo mmoja wamefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea Songwe, jirani na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe (Sia), Wilaya ya Mbeya Vijijini baada ya gari walilokuwa wakisafiria kugongana na lori usiku.

 

10 years ago

GPL

MWANAMKE AKIOLEWA KUNA ULAZIMA AITWE JINA LA UKOO WA MUMEWE?

KARIBUNI tena na tena, wasomaji wa safu hii motomoto inayozungumzia maisha kwa ujumla. Lengo sa safu hii ni kuwekana sawa katika mazingira ya maisha ya uhusiano tunayoishi.
Mada yetu ya leo imetokana na kuzidi kushamiri kwa hoja kwamba je, mwanamke akishaoelewa kuna umuhimu wa kuitwa kwa jina la ukoo wa mumewe?Mfano, awali mwanamke aliitwa Julieth Thomas Rupia, akaolewa na Samuel Aloyce Masumbuko. Je, Julieth akishaolewa aitwe...

 

11 years ago

Michuzi

Meya wa Ilala Jerry Silaa,Mwakalebela waishambulia vilivyo Kalenga,wampigia debe la nguvu mgombea ubunge jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa

Pichani shoto ni Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM,Ndugu,Jerry Silaa wakishangilia jambo kwa pamoja na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kalenga kwa tiketi ya chama cha CCM,Ndugu Godfrey William Mgimwa,katika mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika jana kwenye uwanja wa shule ya msingi Katenge katika kijiji cha Mgama,kata ya Mgama,Iringa Vijijini. Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM,Ndugu,Jerry Silaa pichani kulia...

 

11 years ago

Michuzi

NYOTA YA JACKSON KISWAGA YANG'ARA KALENGA ,WANA KALENGA WAWAOMBA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU KUTOWACHAGULIA WINGINE ZAIDI YA KISWAGA

Wazee wa kabila la Kihehe, kata ya Kalenga mkoani Iringa wakimpa heshima ya kichifu  alipokuwa Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania Kanda ya Kusini Jackson Kiswaga ambae  leo anapigiwa  kura  za maoni  za  kusimamakugombea  ubunge  kupitia  CCM jimbo la Kalenga
Bw Kiswaga  akiwashukuru  wana kalenga kwa maombi  na imani  yao kwake.
Na Francis Godwin, Iringa Wakati  leo  wajumbe wa Halmashauri  kuu ya CCM jimbo la Kalenga  wanakutaka  katika ukumbi wa Siasa ni Kilimo mjini Iringa  kumteua ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Roma: ‘Ukombozi’ moto

MKALI wa kibao cha ‘KKK’, Ibrahimu Mussa ‘Roma Mkatoliki’, kesho anatarajia kuanza kusambaza kazi yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Ukombozi’. Akizungumza Dar es Salaam jana, Roma alisema kukamilika kwa kazi hiyo, ni matokeo ya ushirikiano...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani