Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kama hali hii inaanzia vyuoni ufisadi hautakwisha

Utatamani kujua chanzo cha shida na matatizo kwenye kila nchi lakini kila jambo halitokei kwa bahati mabaya ila tu lilianza sehemu na kukua na kuendelea na mwishowe ikawa tabia ya mtu. Vitu vingi vinavyoendelea hapa nchini havijaanzia hapo, hayo ni matokeo tu ya namna tulivyokuzwa na kulelewa. Siku chache zilizopita niliweza kupata tetesi ya ubadhilifu […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Kama watatengeneza ndege kama hii, basi ajali ikitokea inawezekana abiria wakaokolewa wote

Wanasema usafiri wa ndege ni usafiri salama zaidi duniani…. kwenye hii jamaa wamewaza ni jinsi gani abiria wanaweza kutolewa kwenye ndege bila shida… kwenye hii video hapa chini utaweza kujionea mwenyewe… ili kuitazama video subiria sekunde kadhaa itatokea. A inovação na tecnologia e indústria aeronáutica continua a surpreender. Este modelo apresenta uma estrutura completa maciça […]

The post Kama watatengeneza ndege kama hii, basi ajali ikitokea inawezekana abiria wakaokolewa wote appeared...

 

11 years ago

Tanzania Daima

UFISADI WA BIL. 200/-BoT: CCM kung’oka kama KANU

KASHFA nzito ya ufisadi wa dola za Marekani milioni 122 (sawa na sh bil. 200) inayowakabili vigogo sita wa serikali, huenda ikaking’oa madarakani Chama Cha Mapinduzi (CCM) kama ilivyotokea kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Pasipo utashi wa kisiasa ujangili hautakwisha

Rais Jakaya Kikwete juzi alikabidhiwa magari 11 ya kisasa kutoka kwa Chama cha Uhifadhi wa Wanyama cha Frankfurt (FZS), kilichopo nchini Ujerumani kwa ajili ya kusaidia operesheni ya kupambana na ujangili dhidi ya wanyamapori.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Mikakati ya elimu inaanzia kwenye vifaa

LICHA ya Serikali kupitia wizara ya elimu kutangaza elimu ya msingi bure, bado kuna baadhi ya shule za serikali zimekuwa zikitoza wazazi michango mbalimbali inayoleta kero.

Baadhi ya michango hiyo ni pamoja na michango ya masomo muda wa ziada (Tuition), mchango wa mlinzi wa shule na madawati.

Wazazi kwa kutaka watoto wao wapate elimu bora, wamekuwa wakikubali kulipa michango hiyo kwa viwango tofauti vya fedha kulingana na aina ya mchango na shule husika.

Mfano, kwa mwanafunzi wa...

 

10 years ago

Vijimambo

HIKI NDICHO ALIKIELEZA MANJI NA KUTISHIA KUJIUZULU UENYEKITI YANGA SABABU YA UFISADI KAMA MENGI ATATHIBITISHA


KATIKA PITAPITA, TUMEPATA BARUA YA MWENYEKITI WA YANGA KUPITIA MTANDAO WA www.manjivsmengi.com IKIELEZA MAMBO MENGI NA MWALIKO WA MDAHALO AMBAO MANJI AMEUTOA KWA MENGI.MDAHALO HUO UNAFANYIKA IJUMAA HII NA UTARUSHWA MOJA KWA MOJA NA TBC KUANZIA SAA 12 JIONI HADI SAA 1 USIKU. SOMA BARUA HIYO.
Hisia za Bwana Mengi kwenye vyombo vya habari kuwa kampuni yangu inamiliki fedha za serikali chini ya Commodity Import Support (CIS)

Mengi ametupa lawama akizishutumu kampuni kama Farm Equip, Apollo Tires,...

 

10 years ago

Mwananchi

Kwa hali hii nauona mwisho wa Serikali ya CCM

Viongozi wa Serikali huongoza watu katika mambo ya kimwili lakini wa kiroho huongoza katika mambo ya kimwili na kiroho.

 

11 years ago

Michuzi

barabara zitakuwa salama kweli kwa hali hii??

 Kamera ya Globu ya Jamii,mchana wa leo imeshuhudia vijana hawa ambao hawakuweza kutambulika majina yao mara moja,wakisombelea mchana kutoka katika mtaro wa kupitisha maji kando kando ya barabara ya inayoelekea kwenye hoteli ya White Sands kutokea Afrikana,Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam na kupakia kwenye gari kama waonekanavyo pichani.Hali hiyo inapelekea kuchimbika kwa kingo za barabara hiyo hasa pale maji yanapopita kwa wingi pindi inyeshapo mvua kubwa.  Wengine walikuwa bize kupakia...

 

10 years ago

Bongo Movies

JB: Chungu cha Tatu Ina Majibu ya Hali Hii..

Staa wa Bongo Movies, Jacob Stephen ‘JB’ amedokeza kuwa filamu ya Chungu cha Tatu inayomjumuisha staa mrembo, Wema Sepetu itaingia sokoni hivi karibuni.

Kupitia ukurasa wake mtandaoni, JB aliandika haya mara baada ya kuweka picha hiyo hapo juu.

Umeshawahi kuwa katika mahusiano ambayo yalikatika lakini bado moyo wako unapenda??? Unajua kinachofata kila penzi jipya halikai maana moyo uko huko kwa mwanzo.

Chungu cha Tatu ina majibu ya hali hii, tunajaribu kuitoa filam hii haraka...

 

10 years ago

GPL

GARDNER KWA HALI HII SASA IDE BASI TENA

Stori: Erick Evarist na Imelda Mtema
JAHAZI linazidi kwenda mrama! Wakati shauri lao la kugawana mali likidaiwa kufikishwa mahakamani, picha mpya imenaswa ikionesha dhahiri kwamba Mtangazaji Gardner Gabriel Fikirini Habash ‘Kapteni’ ameamua kusonga mbele na maisha yake na kusahau kabisa kama alikuwa na mke aitwaye Judith Daines Wambura Mbibo ‘Jide’, Amani linakupa mchapo kamili. Mtangazaji Gardner...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani