Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


barabara zitakuwa salama kweli kwa hali hii??

 Kamera ya Globu ya Jamii,mchana wa leo imeshuhudia vijana hawa ambao hawakuweza kutambulika majina yao mara moja,wakisombelea mchana kutoka katika mtaro wa kupitisha maji kando kando ya barabara ya inayoelekea kwenye hoteli ya White Sands kutokea Afrikana,Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam na kupakia kwenye gari kama waonekanavyo pichani.Hali hiyo inapelekea kuchimbika kwa kingo za barabara hiyo hasa pale maji yanapopita kwa wingi pindi inyeshapo mvua kubwa.  Wengine walikuwa bize kupakia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Bila haki, siyo watu wala mali zitakuwa salama

“Pale haki inaponyimwa, pale umaskini unapoimarishwa, siyo watu, wala mali watakuwa salama”

 

10 years ago

Vijimambo

Hali siyo salama kwa CCM majimbo ya Mbinga, Peramiho

Jimbo la PeramihoJimbo la Peramiho ni eneo lote la Halmashauri ya Wilaya ya Songea, maarufu kwa jina la Songea Vijijini. Halmashauri hii inaundwa na kata 19, vijiji 74 na vitongoji 617 na kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012 hapa Peramiho kuna wakazi 173,821 wanaume wakiwa 86,548, wanawake 87,273 na kuna wastani wa watu wanne katika kila kaya.Peramiho ni kati ya majimbo ambayo yalikuwa na vuguvugu la mabadiliko mwaka 1995 kwenye uchaguzi mkuu wa kwanza wa vyama vingi, japokuwa...

 

10 years ago

Mwananchi

KUELEKEA MAJIMBONI: Hali siyo salama kwa CCM majimbo ya Mbinga, Peramiho

Jimbo la Peramiho ni eneo lote la Halmashauri ya Wilaya ya Songea, maarufu kwa jina la Songea Vijijini.

 

10 years ago

Mwananchi

Kwa hali hii nauona mwisho wa Serikali ya CCM

Viongozi wa Serikali huongoza watu katika mambo ya kimwili lakini wa kiroho huongoza katika mambo ya kimwili na kiroho.

 

10 years ago

GPL

GARDNER KWA HALI HII SASA IDE BASI TENA

Stori: Erick Evarist na Imelda Mtema
JAHAZI linazidi kwenda mrama! Wakati shauri lao la kugawana mali likidaiwa kufikishwa mahakamani, picha mpya imenaswa ikionesha dhahiri kwamba Mtangazaji Gardner Gabriel Fikirini Habash ‘Kapteni’ ameamua kusonga mbele na maisha yake na kusahau kabisa kama alikuwa na mke aitwaye Judith Daines Wambura Mbibo ‘Jide’, Amani linakupa mchapo kamili. Mtangazaji Gardner...

 

10 years ago

Vijimambo

HII NDIO BARABARA ILIYOKARABATIWA KWA MILIONI 90 UKONGA MAZIZINI- MOSHI BAR

 Hii ndio ile barabara ya Ukonga Mazizini- Moshi Bar ambayo inadaiwa kugharimu kiasi cha shilingi Milioni 90 kuikarabati kwa kiwango cha changarawe kwa umbali wa kilometa tatu. Picha hizi ni madimbwi ya mwanzo tu ya hizo kilometa tatu.(Picha na Father Kidevu Blog). Meya Jerry Silaa wa Ilala ambaye ni Diwani wa Gongo la Mboto alipotembelea aliwaambia wananchi kuwa fedha za ujenzi huo ni kutoka mfuko wao ni . PICHA ZA CHINI NI SIKU MEYA SILAA ALIPOTEMBELEA UJENZI WAKE. 
Mstahiki Meya wa...

 

10 years ago

Michuzi

Mtumie ujumbe wa kumjulia hali na kumpa pole Rais Kikwete kwa kupitia namba yake hii

Rais Profesa Jakaya Mrisho Kikwete ametoa namba yake maalumu kwa ajili ya Wananchi kumjulia hali na kumpa pole,ambapo atapokea ujumbe wako na kuujibu.

 

11 years ago

Michuzi

Hali si shwari barabara kati ya Barakuda na Vingunguti

Hii ndiyo halisi ilivyo kwenye kipande cha barabara kati ya Tabata Barakuda na Daraja la Vingunguti, kabla ya kufika kwenye machinjio.
Ni hali mbaya sana. Tunawaomba waliokuwa wanajenga kipande hicho cha barabara watusaidie angalau kusambaza kifusi kilichowekwa kabla hata ya zile mvua kubwa kunyesha.
Mdau - Tabata Segerea

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani