Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mikakati ya elimu inaanzia kwenye vifaa

LICHA ya Serikali kupitia wizara ya elimu kutangaza elimu ya msingi bure, bado kuna baadhi ya shule za serikali zimekuwa zikitoza wazazi michango mbalimbali inayoleta kero.

Baadhi ya michango hiyo ni pamoja na michango ya masomo muda wa ziada (Tuition), mchango wa mlinzi wa shule na madawati.

Wazazi kwa kutaka watoto wao wapate elimu bora, wamekuwa wakikubali kulipa michango hiyo kwa viwango tofauti vya fedha kulingana na aina ya mchango na shule husika.

Mfano, kwa mwanafunzi wa...

Raia Tanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Waziri wa Elimu atembelea Banda la Mamlaka ya Elimu Tanzania kwenye maonyesho ya Elimu mjini Dodoma

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa akimsikiliza Kaimu Mkurugenzi wa Uhamasishaji rasilimali wa Mamlaka ya Elimu Tanzania, Sylvia Lupembe, alipotembelea Banda la Mamlaka ya Elimu Tanzania Jumatano Tarehe 13 Mei 2015.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mikakati ya Remnant Academy kuinua elimu

ELIMU ni msingi wa maendeleo kote ulimwenguni na taifa lisilowekeza katika elimu ya watu wake, linajiandalia kaburi kwa sababu litashindwa kuendana na kasi ya maendeleo  ya nyanja mbalimbali yanayotokea kote...

 

11 years ago

Mwananchi

Kata ya Ilala yataja mikakati kuboresha elimu

Uongozi wa Kata ya Ilala upo katika mchakato wa kuhakikisha watoto 446 waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka huu wanasoma ndani ya kata hiyo, badala ya kuwa kama ilivyo sasa ambapo wanalazimika kusafiri umbali mrefu kufuata shule zilipo.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali na mikakati ya kuimarisha elimu nje ya mfumo rasmi

Pamoja na kusimamia na kusimamia elimu ya mfumo rasmi, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi haijaipa kisogo elimu ya watu wazima na ile ya nje ya mfumo rasmi.

 

9 years ago

CCM Blog

SHIRIKISHO LA WANAFUNZI WA VYUO VYA ELIMU YA JUU WAJA NA MIKAKATI MIPYA KIUTENDAJI


 Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyuo Vikuu Zainab Abdallah, akizungumza na waandishi wa habari, jana jijini Dar es Salaam, Wengine kutoka kushoto ni Katibu wa Idara ya Mambo ya Nje na Uhusiano wa Kimataifa, Daniel Zenda, Katibu wa Idara ya Uchumi na Fedha, Luhende Luhende na Katibu wa Idara ya Elimu, Tafiti na Uongozi, Ally Hapi. (Picha na Bashir Nkoromo).


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Ndugu waandishi wa habari,
Kamati ya Uratibu ya Shirikisho la Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu Taifa, ilifanya...

 

10 years ago

Bongo5

Kama hali hii inaanzia vyuoni ufisadi hautakwisha

Utatamani kujua chanzo cha shida na matatizo kwenye kila nchi lakini kila jambo halitokei kwa bahati mabaya ila tu lilianza sehemu na kukua na kuendelea na mwishowe ikawa tabia ya mtu. Vitu vingi vinavyoendelea hapa nchini havijaanzia hapo, hayo ni matokeo tu ya namna tulivyokuzwa na kulelewa. Siku chache zilizopita niliweza kupata tetesi ya ubadhilifu […]

 

10 years ago

Mwananchi

Tanzania ipo kwenye mikakati kukabili wizi wa fedha kwa kutumia mitandao

Jitihada za Serikali katika kupambana na uhalifu wa mitandao imeungwa mkono kutokana na baadhi ya vyuo kuanzisha mitalaa yenye somo la ulinzi wa  mitandao.

 

9 years ago

Habarileo

Shule yapigwa jeki vifaa vya elimu

TAASISI ya masuala ya jamii ya Vodacom Foundation imetoa msaada wa vifaa vya elimu kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Chazinge A, Kisarawe mkoani Pwani. Vifaa hivyo ambavyo vimetolewa jana ni madaftari ya kuandikia na mikebe yenye vifaa vya kusomea somo la hisabati pamoja na kalamu.

 

9 years ago

Michuzi

Vodacom Foundation yatoa msaada wa vifaa vya elimu Kisarawe

Wanafunzi wa shule ya msingi Chazinge A iliyopo wilayani Kisarawe mkoani Pwani wamenufaika kwa kupatiwa msaada wa vifaa vya elimu kutoka taasisi ya kusaidia masuala ya jamii ya Vodacom Foundation.Vifaa hivyo ambavyo vimetolewa jana ni madaftari ya kuandikia na mikebe yenye vifaa vya kusomea somo la hisabati (Mathematics set)pamoja na kalamu.
Akiongea wakati wa kukabidhi msaada wa vifaa hivyo kwa wanafunzi jana,Kaimu Ofisa Mkuu wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Rosalynn Mworia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani