Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAMA IKIBIDI, TUAHIRISHE KATIBA MPYA

NIMSHUKURU sana Mungu, muumba wa mbingu na ardhi kwa kuweza kutufikisha tena leo, kama alivyofanya jana, juzi na kila siku bila ya sisi kutumia gharama yoyote. Vitendo vyake kwetu ni vya utukufu mkuu, ingawa mara nyingi binadamu tumekuwa tukifanya vitu vingi vya kumkwaza. Jaji Joseph Sinde Warioba. Baada ya kusema maneno hayo, naomba sasa niende kwenye hoja yangu ya leo, ambayo kwa hakika ni ya msingi sana kama bado tunataka...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Katiba mpya kama kawa-Mwakyembe

Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Harrison Mwakyembe amesema Rais amempa kazi ya kuhakikisha anakamilisha mchakato wa Katiba Mpya pamoja na uanzishwaji wa Mahakama ya Rushwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Tuwe makini Katiba Mpya isitupe shida kama Kenya

Tangu mjadala wa Katiba Mpya uanze, mengi yameandikwa na kusemwa lakini kwa kuwa bado hatujakamilisha ni vizuri tukawa waangalifu ili tusije kujiingiza kwenye matatizo.

 

10 years ago

Vijimambo

Mhe. Jussa asema Suala la Katiba mpya halijafikiwa kama Wananchi walivyotarajia

Na Abou Shatry Washington DC

Mwakilishi wa jimbo la mji mkongwe ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa chama cha wananchi CUF Mhe: Ismail Jussa Ladhu amesema Tanzania inaelekea kusipotarajiwa na maoni ya wananchi waliyotoa maoni.Muwakilishi wa jimbo la mji mkongwe Mhe: Ismail Jussa Ladhu akiongea na waTanzania wa DMV Siku ya Jumamosi Feb 28, 2015 kwenye ukumbi wa Tabeer Hall uliopo University Blvd East, Hyattsville, Maryland, Nchini Marekani. (Picha na swahilivilla)
Aidha amesema matarajio ya...

 

11 years ago

GPL

WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA WATAKIWA KUWA NA MTAZAMO MPYA UTAKAOWEZESHA UPATIKANAJI WA KATIBA MPYA

Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba, Bw. Deus Kibamba akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jana Julai 17, 2014 kuelezea msimamo wa jukwaa la katiba juu ya mwenendo uliopita wa bunge hilo.
Kiongozi wa Shule Kuu ya Sheria nchini Kenya, Profesa Patrick Lumumba alisisitiza suala la wanasiasa kurudi bungeni na kuhakikisha katiba mpya inapatikana.…
...

 

11 years ago

Michuzi

WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA WATAKIWA KUWA NA MTIZAMO MPYA UTAKAOWEZESHA UPATIKANAJI WA KATIBA MPYA


Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba, Bw. Deus Kibamba akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo Julai 17, 2014 kuelezea msimamo wa JUKWAA LA KATIBA juu ya mwenendo uliopita wa bunge hilo. Picha na Cathert Kajuna wa Kajunason Blog
Kiongozi wa Shule Kuu ya Sheria nchini Kenya, Profesa Patrick Lumumba alisisitiza suala la wanasiasa kurudi bungeni na kuhakikisha katiba mpya inapatikana.
Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia mkutano huo.
Wajumbe wa JUKWAA LA KATIBA...

 

10 years ago

Mwananchi

KATIBA MPYA: Wingu linavyogubika hatima Mchakato wa Katiba Mpya

>Bado hakuna mwafaka kuhusu hatima ya Katiba Mpya, baada ya kuahirishwa kwa upigaji Kura ya Maoni iliyopaswa ifanyike Aprili 30 mwaka huu.

 

10 years ago

Mwananchi

MCHAKATO WA KATIBA MPYA: Katiba Mpya ilivyoligawa Taifa

>Wahenga walisema dalili ya mvua ni mawingi. Usemi huo umejidhihirisha kwenye mchakato wa mabadiliko ya Katiba ambao tayari umeonyesha kuligawa taifa katika makundi matatu; Serikali, taasisi za dini na vyama vya siasa.

 

11 years ago

Habarileo

Sitta- Ikibidi tutaita wataalamu

MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta amesema Sheria ya Mabadiliko ya Katiba inaruhusu kuitwa mtu yeyote katika Bunge hilo kutoa ufafanuzi kuhusu jambo lolote lenye utata, ikionekana ipo haja kufanya hivyo. Kauli hiyo ya Sitta ameitoa huku siku chache zilizopita, baadhi ya wajumbe wa kamati kuonesha uhitaji wa kutaka ufafanuzi wa kitaalamu wa maneno kadhaa ikiwemo nchi, muungano, serikali, dola, shirikisho katika siku ya kwanza ya kujadili sura ya kwanza na ya sita ya Rasimu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani