Kamanda Shilogile atoa ushahidi kesi ya Ponda
Na Ramadhan Libenanga, Morogoro
ALIYEKUWA Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Faustin Shilogile, amepanda kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Mkoa wa Morogoro kutoa ushahidi dhidi ya Katibu wa Taasisi na Jumuiya za Kiislamu, Sheikh Issa Ponda Issa.
Shilogile alipanda kizimbani jana ambako katika kutoa ushahidi wake aliongozwa na wakili wa serikali, Juma Nosor.
Akimuongoza Shilogile katika kutoa ushahidi wake, Nasoro alianza kwa kumuhoji: Umekuja mahakamani kufanya nini leo...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi02 Feb
Shahidi wa tatu kesi ya Ponda atoa ushahidi
10 years ago
MichuziKAMANDA SIRO ATOA USHAHIDI WAKE KATIKA KESI YA MH. MDEE NA WENZAKE
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imeambiwa na Naibu Kamishna wa Polisi, Kamanda Simon Siro (54), ambaye amedai mahakamani kwamba alitoa zuio la kuandamana kwenda Ikulu kwa Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha) kwa sababu maandamano hayo yangesababisha uvunjifu wa amani.
Alitoa madai hayo, wakati akitoa ushahidi dhidi ya Mbunge Halima Mdee na wenzake, kwamba baada ya kupitia vigezo vya kiusalama, njia...
10 years ago
Habarileo10 Feb
Video yatumika ushahidi kesi ya Ponda
UPANDE wa Mashikata kesi inayomkabili Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Shehe Ponda Issa Ponda umewasilisha ushahidi muhimu wa mkanda wa video unaodaiwa kuonesha uhalisia wa tukio zima la kesi yake inayomkabili ya kutoa maneno ya uchochezi.
10 years ago
Mwananchi27 Feb
Ushahidi upande wa mashtaka kesi ya Ponda wafungwa
10 years ago
Mwananchi27 Jan
Shahidi atumia saa mbili kutoa ushahidi kesi ya Ponda
10 years ago
Mwananchi03 Feb
Mawakili kesi ya Sheikh Ponda wavutana kuhusu sheria ya ushahidi
10 years ago
Vijimambo28 Feb
Mbowe atoa ushahidi kesi ya shambulio.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe (53), anayekabiliwa na kesi ya shambulio dhidi ya mwangalizi wa ndani wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010, ameileza mahakama kwamba alilazimika kumtoa nje kwa nguvu nje ya kituo cha kura, Nasir Uronu, kwa madai kuwa alikuwa na utambulisho bandia ambao hautambuliki na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) isipokuwa Baraza la Waislamu Tanzania (Bakwata).
Akitoa...
10 years ago
Mtanzania11 Jun
Siro atoa ushahidi kesi ya Profesa Lipumba
Na Grace Shitundu, Dar es Salaam
MKUU wa Operesheni Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam, Simon Siro (54) ametoa ushahidi katika kesi inayowakabili Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba na wafuasi wake 30 na kudai mkutano huo ulipigwa marufuku kutokana na taarifa za intelijensia za kuwapo kwa tishio la ugaidi.
Siro aliyaeleza hayo jana mbele ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Cyprian Mkeha, akiwa shahidi wa upande wa mashtaka.
Alidai Januari 23...
10 years ago
VijimamboSiro Atoa Ushahidi Kesi ya Profesa Lipumba
MKUU wa Operesheni Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam, Simon Siro (54) ametoa ushahidi katika kesi inayowakabili Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba na wafuasi wake 30 na kudai mkutano huo ulipigwa marufuku kutokana na taarifa za intelijensia za kuwapo kwa tishio la ugaidi.Siro aliyaeleza hayo juzi mbele ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Cyprian Mkeha, akiwa shahidi wa upande wa mashtaka.
Alidai Januari 23 mwaka huu walipokea barua ya...