Ushahidi upande wa mashtaka kesi ya Ponda wafungwa
Upande wa mashtaka katika kesi ya jinai inayomkabili Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda, umefunga ushahidi wao baada ya kupeleka mashahidi tisa.Shahidi wa mwisho wa upande wa mashtaka askari E.9295 D/CPL, Juma Koroto kutoka Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai(RCO), Morogoro ambaye alikuwa mpelelezi wa kesi hiyo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-kiYewCQY-Sg/Xk_iYp72qHI/AAAAAAALer8/9LUPiSFGOvg6usMIV00cPuWacfcyPdECwCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-02-21%2Bat%2B4.54.22%2BPM.jpeg)
UPANDE WA MASHTAKA KATIKA KESI YA LISSU WAOMBA SIKU 14
![](https://1.bp.blogspot.com/-kiYewCQY-Sg/Xk_iYp72qHI/AAAAAAALer8/9LUPiSFGOvg6usMIV00cPuWacfcyPdECwCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-02-21%2Bat%2B4.54.22%2BPM.jpeg)
UPANDE wa mashtaka katika kesi ya uchochezi inayomkabili Mbunge wa Singida Mjini, Tundu Lisu umeiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kuwapatia muda wa wiki mbili (Siku 14 ) kwa ajili ya kupitia na kuchambua maombi ya wadhamini wa mshtakiwa...
10 years ago
Habarileo10 Feb
Video yatumika ushahidi kesi ya Ponda
UPANDE wa Mashikata kesi inayomkabili Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Shehe Ponda Issa Ponda umewasilisha ushahidi muhimu wa mkanda wa video unaodaiwa kuonesha uhalisia wa tukio zima la kesi yake inayomkabili ya kutoa maneno ya uchochezi.
10 years ago
Mtanzania10 Feb
Kamanda Shilogile atoa ushahidi kesi ya Ponda
Na Ramadhan Libenanga, Morogoro
ALIYEKUWA Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Faustin Shilogile, amepanda kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Mkoa wa Morogoro kutoa ushahidi dhidi ya Katibu wa Taasisi na Jumuiya za Kiislamu, Sheikh Issa Ponda Issa.
Shilogile alipanda kizimbani jana ambako katika kutoa ushahidi wake aliongozwa na wakili wa serikali, Juma Nosor.
Akimuongoza Shilogile katika kutoa ushahidi wake, Nasoro alianza kwa kumuhoji: Umekuja mahakamani kufanya nini leo...
10 years ago
Mwananchi02 Feb
Shahidi wa tatu kesi ya Ponda atoa ushahidi
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-KTywAcDfpgo/XpbwFcYf9wI/AAAAAAALnB0/kPnmwm2T4Lww5oOt_FvedE3znlz0iR5fQCLcBGAsYHQ/s72-c/TITO%2BMAGOTI.jpg)
MAHAKAMA YAAMURU UPANDE WA MASHTAKA KUKAMILISHA UPESI UPELELEZI KESI YA UHUJUMU UCHUMI YA TITO MAGOTI NA MWENZAKE
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeuamuru upande wa mashtaka kukamilisha upelelezi haraka wa kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili, Ofisa Elimu kwa Umma wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Tito Magoti (26) na mwenzake, ili shauri hilo liweze kuendelea katika hatua nyingine.
Katika kesi hiyo, Magoti, anashtakiwa pamoja na mtaalamu wa masuala ya Tehama, Theodory Gyan (36), ambapo wote kwa pamoja wanakabiliwa na mashtaka ya kutakatisha fedha ambazo ni...
10 years ago
Mwananchi03 Feb
Mawakili kesi ya Sheikh Ponda wavutana kuhusu sheria ya ushahidi
10 years ago
Mwananchi27 Jan
Shahidi atumia saa mbili kutoa ushahidi kesi ya Ponda
10 years ago
Mwananchi23 Jul
Mahakama yampunguzia Ponda mashtaka
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-150d0TApj7w/VVoQsu5ILmI/AAAAAAAHYGs/bs6b7D-rM-w/s72-c/Gray-Mgonja-Daniel-Yona-Basil-Mramba.jpg)
Ushahidi wa upande wa Utetezi wa mshtakiwa wa pili, Waziri wa zamani wa Nishati na Madini, Daniel Yona kuendelea kusikilizwa na kesho
![](http://1.bp.blogspot.com/-150d0TApj7w/VVoQsu5ILmI/AAAAAAAHYGs/bs6b7D-rM-w/s640/Gray-Mgonja-Daniel-Yona-Basil-Mramba.jpg)
Jaji Utamwa na Jaji Samu Rumanyika walianza kusikiliza kesi hiyo wakiwa Mahakimu Wakazi Wakuu kabla ya kupanda na kuwa Majaji wa Mahakama Kuu Tanzania, ambao kwa sasa wako, Kanda ya Tabora.
Kesi hiyo iliahirishwa leo...