Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kamani: Kama huwezi kasi yangu tupishe

WAZIRI wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk. Titus Kamani, amesema ili kwenda na kasi ya maboresho ya wizara hiyo, inahitajika dhana ya uwajibikaji na uwazi sambamba na kujitolea kwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Video:Huwezi kuamini kama huu ni msiba, mke wa marehemu akavalishwa na shela kabisa



Sio tukio la kawaida kukutana na mtu kavaa gauni la harusi kwenye mazishi.. kwenye headlines za 254 jirani zetu wa nguvu Kenya kuna hii stori kutoka Kaunti ya Vihiga, unaambiwa mwanamke aliyefiwa na mume wake akalazimishwa kuvaa gauni ambalo anavaa bibi harusi wakati wa kufunga ndoa, alafu safari ya kwenda kwenye mazishi ikaanza.Mary Akatsa ni kiongozi wa Kanisa la Jerusalem Church of Christ alikuwa akiongoza kila kitu mpaka mazishi yalipoisha, ukicheki kwenye hii video huyo mama anaonekana...

 

9 years ago

Mtanzania

Lulu: Nampenda Wema kama dada yangu

lulu_instagramNA THERESIA GASPER

KAMA unafikiri kuna ugonvi kati ya waigizaji maarufu nchini, Elizabeth Michael, ‘Lulu’ na Wema Sepetu, utakuwa umekosea, kwani hakuna ugomvi kati yao.

Lulu alieleza kwamba wamekuwa wakishirikiana na Wema Sepetu katika mambo mbalimbali, ikiwemo sherehe, misiba na mijumuiko mbalimbali.

“Nampenda Wema kama dada yangu na yeye ananipenda vile vile, nimekuwa nikihudhuria kwenye shughuli mbali mbali ambazo zinamhusu, nilishiriki vema katika msiba wa baba yake na sherehe zake...

 

10 years ago

GPL

FAIZA: HAKUNA STAA MWENYE FIGA KAMA YANGU

Stori: Imelda Mtema/Amani
MZAZI mwenziye na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, Faiza Ally amesema kuwa hakuna staa yeyote hapa Bongo mwenye figa kama yake ya kuweza kuvaa ‘bikini’ na kujiachia kama yeye. Mzazi mwenziye na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, Faiza Ally. Akifunguka na Centre Spread, Faiza alisema kuwa wapo mastaa wengi wembamba lakini maumbo yao...

 

10 years ago

Bongo5

Amber Rose amlilia Wiz Khalifa, ‘Maumivu niliyonayo ni kama rafiki yangu mpendwa amefariki

Amber Rose ameendelea kuelezea hisia zake kwenye Twitter tangu aachane Wiz Khalifa. Mrembo huyo ambaye jina lake halisi ni Amber Levonchuk, aliomba talaka kwa mumewe huyo mwezi uliopita. Jumatatu hii alitumia Twitter kwa mara nyingine kuelezea jinsi anavyoumia. “The mornings are especially hard,” Rose alitweet. “The pain…I wake up every morning feeling like my best […]

 

10 years ago

Bongo5

Linex: Mimi sijawahi kua mvuta bangi maisha yangu yote na kama ninavuta Mungu ananiona

Kuna baadhi ya watu ambao huamini kuwa mtu akishakuwa msanii wa muziki ni lazima atakua mtumiaji wa vilevi kama bangi, na wapo wanaoamini kuwa binti akishaingia kwenye sanaa ya urembo pia ni lazima atajihusisha na umalaya, kitu ambacho si kweli kwasababu hiyo ni tabia ya mtu binafsi. Linex Sunday Mjeda leo ameamua kujibu swali ambalo […]

 

10 years ago

Bongo5

AY asema mama yake na Sean Kingston humchukulia kama mwanae,’ hata kwenye Instagram yangu ana comment’

AY amesema kuwa ukaribu alionao na msanii Mjamaica-Mmarekani, Sean Kingston ni zaidi ya urafiki wa kikazi kiasi ambacho wanachkuliana kama kama familia. AY ameiambia Bongo5 kuwa mama yake Sean humchukulia kama mtoto wake na wanawasiliana mara kwa mara. “Yaani huyu jamaa ananipa support asilimia 100 huwezi kuamini ni mtu ambaye si yeye tu hadi mama […]

 

10 years ago

Bongo5

Madee amchana Lundenga kwenye ngoma mpya , ‘hao Ma-miss wazee kama vipi mwaka kesho namleta bibi yangu agombee’

Wimbo mpya wa Madee ‘Vuvula’ haukuishia kumchana Chidi Benz peke yake(Ingia hapa) , upo mstari mwingine ambao unamlenga Mkurugenzi wa LINO International Agency ambao ni Waandaaji wa mashindano ya urembo ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga Mstari huo unasema: “Hey Anko Lunde, hao Mamiss wazee kama vipi mwaka kesho namleta bibi yangu agombee.” “Kuna tatizo lilitokea […]

 

9 years ago

Bongo5

Mwana FA: Sijawahi kukaa na baba yangu maisha yangu yote (Video)

12292738_1516860355279681_1179389451_n

Pengine hukuwa unalijua hili. Mwana FA hajawahi kuishi na baba yake katika maisha yake yote.

FA ametuambia hilo baada ya kumuuliza tofauti ya malezi aliyoyapata kutoka kwa baba yake na yale anayompa mwanae wa kike, Malikah.

“Mimi sijawahi kukaa na baba yangu maisha yangu yote,” anasema.

“Nimekuwa naruka ruka sana, mara nakaa kwa shangazi yangu, mara nakaa kwa babu yangu, kwa bibi yangu ndiyo kwetu ilikuwa, kwa shangazi yangu mwingine hivyo,” ameongeza.

“Experience niliyokuwa naiona ni kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani