Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAMATI YA LEMBELI YAMPA MIEZI MITATU WAZIRI MWENYE DHAMANA YA MAZINGIRA KUIBANA MIGODI

 Baadhi ya waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari wakiwa katika ziara ya kutembelea migodi ya dhahabu na kamati ya mazingira ,ardhi nyumba na maendeleo katika mgodi wa buzwagi . Mmoja wa watalamu  wa kigeni akiwakaribisha baadhi ya wana habari katika ziara ya kamati ya mazingira .
 kamati ya Bunge Ardhi maliasili na mazingira wakiwasili katika mgodi wa buzwagi wilayani kahama . Mwenyekiti wa kamati ya Ardhi maliasili na mazingira mh  James Lembeli.
Baadhi ya wajumbe wa kamati ya bunge ya...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Ziara ya Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira katika Migodi

 Sehemu ya Mabwawa yanayotumika katika shughuli za uzalishaji katika Mgodi wa Geita.

 Kutoka kulia, Mh. James Lembeli Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira akitoa maagizo kwa wataalamu wa mgodi wa Geita (hawapo pichani) juu ya Hifadhi endelevu ya Mazingira kwa mujibu wa Sheria. Wapili kulia ni Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Mh. Ummy Mwalimu na wengine ni wajumbe wa Kamati hiyo. Mtaalamu kutoka Mgodi wa Geita akitoa ufafanuzi kwa Kamati ya Bunge ya Ardhi,...

 

10 years ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YA ARDHI,MALIASILI NA MAZINGIRA YAENDELEA NA UKAGUZI KATIKA MIGODI

Kamati ya Bunge ya Ardhi Maliasili na Mazingira imeendelea na ukaguzi katika Migodi ya dhahabu kufahamu utekelezaji wa Sheri a ya Mazingira. Katika Mgodi wa Bulyanhulu Kamati iliangalia jinsi maji yenye kemikali yanavyohifadhiwa na udhibiti wa taka za plastiki mgodini hapo. Migodi iliyotembelewa mpaka sasa ni Mgodi wa North Mara, Geita na Bulyanhulu. Hii leo Kamati hii itaendelea na ziara yake katika mgodi wa Buzwagi.Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Mh. Ummy Mwalimu (wa pili kutoka...

 

10 years ago

GPL

KAMATI YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA MAZINGIRA YAENDELEA NA UKAGUZI KATIKA MIGODI

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Mh. Ummy Mwalimu (wa pili kutoka kulia) akitoa ufafanuzi wa kisheria mbele ya Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira. Kamati hiyo iko katika ziara ya kikazi kukagua utekelezaji wa Sheria ya Mazingira katika Migodi. Wengine katika picha ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge Mh. James Lembeli (wa tatu kulia), Mh. John Mnyika na Mh. Henry Shekifu wajumbe wa Kamati hiyo. Wa kwanza (kushoto)...

 

10 years ago

Mwananchi

Kamati yampa Waziri Nyalandu muda zaidi

Dar es Salaam. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maliasili na Mazingira imemwongezea muda Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu kuifanyia marekebisho bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka 2015/2016 iliyokataliwa baada ya kubainika kuwa na kasoro kadhaa.

 

9 years ago

Mtanzania

Cazorla miezi mitatu nje ya uwanja

maxresdefaultLONDON, ENGLAND

KIUNGO wa Arsenal, Santi Cazorla, atakuwa nje ya uwanja kwa miezi mitatu kutokana na kusumbuliwa na goti.

Mchezaji huyo alipata maumivu ya goti katika mchezo dhidi ya Norwich, ambao ulimalizika kwa sare ya 1-1.

Hata hivyo, Cazorla alionekana kuwa imara katika dakika zote 90 za mchezo huo, japokuwa alikuwa tayari ameumia goti, ila baada ya kumalizika kwa mchezo hali ilionekana kubadilika.

Klabu ya Arsenal imethibitisha kuwa mchezaji huyo atakuwa nje ya uwanja hadi Machi,...

 

10 years ago

BBCSwahili

UN:Ebola kudhibitiwa kwa miezi mitatu

Mjumbe wa Umoja wa Mataifa anayehusika na ugonjwa wa Ebola amesema ugonjwa huo unaweza kudhibitiwa kwa miezi mitatu.

 

9 years ago

Mwananchi

Kocha Majimaji ataka apewe miezi mitatu

Licha ya kusema timu yake iko tayari kwa Ligi Kuu, kocha mkuu wa Majimaji, Mika Lonnstrom amekiri kuwa bado kikosi chake hakijawa na ubora anaoutaka, ila amejipa miezi mitatu ili timu hiyo iwe fiti kwa asilimia 100.

 

11 years ago

KwanzaJamii

Mtoto afichwa uvunguni kwa miezi mitatu

Picha na maktaba SAKATA la mtoto Devota Malole mwenye umri wa miaka mitano, ambaye ni mlemavu aliyeibuliwa baada ya kufichwa chini ya uvungu wa kitanda kwa muda wa miezi mitatu huko Matongolo, Dumila,Tarafa ya Magole wilayani Kilosa limeibua mambo mapya, baada ya kubaini kuwa aliyesababisha kuokolewa ni mume wa mama wa binti huyo. Mashuhuda waliokuwepo wakati wa kufichuliwa kwa mtoto huyo, wakiwemo majirani na wapangaji wa nyumba aliyokuwa akiishi, walisema mpangaji wa chumba hicho,...

 

11 years ago

Mwananchi

Katiba ya Tanganyika inawezekana kwa miezi mitatu

Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema Katiba ya Tanganyika inaweza kuandikwa ndani ya miezi mitatu tu kwa kuwa maoni mengi yaliyomo katika Rasimu ya Katiba iliyozinduliwa Jumatatu, kwa kiwango kikubwa yametoka kwa wananchi wa upande huo wa Muungano.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani