Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kamati ya Sitta yaiundia Ukawa zengwe la Katiba

>Kikao cha mashauriano kilichoitishwa na Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta kimeamua kuwa Bunge hilo liendelee kama kawaida Agosti 5, mwaka huu licha ya wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kususia vikao vyake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

TheCitizen

Will Sitta bring Ukawa back to the Katiba Assembly?

The 30-member consultative  committee  formed last week by chairman of the Constituent Assembly (CA), Mr Samuel Sitta, begins its two-day sitting in Dar es Salaam today in the hope of ending a stalemate in the ongoing constitution writing process.

 

10 years ago

Vijimambo

Sitta, Lukuvi, Chiza wapigwa zengwe

Wamo pia Simbachawene, Kilango, Dk. Mwakyembe aliliwa Uchukuzi.
Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yaliyofanywa na Rais Jakaya Kikwete juzi, yamekosolewa na wadau mbalimbali, wengi wakilalamikia kuondolewa kwa Dk. Harrison Mwakyembe, kutoka Wizara ya Uchukuzi kwenda Ushirikiano wa Afrika Mashariki.

Pia wametilia mashaka utendaji wa Samuel Sitta aliyehamishiwa Uchukuzi kutoka Ushirikiano wa Afrika Mashariki na William Lukuvi aliyehamishwa kutoka Ofisi ya waziri Mkuu (Sera na Uratibu wa Bunge...

 

11 years ago

TheCitizen

Katiba Assembly 'to go on without Ukawa,' says Sitta team after Mbowe, Lipumba skip 'peace talks'

>The Constituent Assembly (CA) will reopen as scheduled and resume business even if the Coalition of Defenders of People’s Constitution (Ukawa) members will insist on not returning to the august House, it was decided during a reconciliation meeting yesterday.

 

11 years ago

Mwananchi

Bunge la Katiba 'litaendelea bila Ukawa,' asema Sitta huku kanuni zikirekebishwa [VIDEO]

Wakati vikao vya Bunge Maalum la Katiba vikianza tena mjini Dodoma bila ya kuwepo kwa Ukawa, Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samweli Sitta amesema Bunge hilo halitaahirisha shughuli zake hadi hapo muda wa siku 60 waliopewa utakapokamilika.

 

9 years ago

Raia Mwema

Zengwe la Ukawa

JOB Yustino Ndugai (55), amechaguliwa kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano kwa vigezo maalu

Mwandishi Wetu

 

11 years ago

Michuzi

SITTA ATANGAZA MAJINA YA WENYEVITI NA MAKAMU WENYEVITI KAMATI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA

N a Magreth Kinabo ,Dodoma Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba,Mhe. Samwel Sitta leo (jana), ametangaza majina ya wenyeviti na makamu wenyeviti wa Kamati za bunge hilo.  Majina hayo yametangazwa na Mwenyekiti huyo  baada ya uchaguzi wa viiongozi hao uliofanyika  (jana) Machi 24 , mwaka  2014 mjini  Dodoma . Mwenyekiti ametangaza majina haya baada ya kuunda kamati hizo  jana kwa mujibu wa kanuni ya 54 (1) ya kanuni za Bunge Maalum za Mwaka 2014 ambazo zimetungwa chini ya kifungu cha 26...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Zengwe’ la posho lazidi kulizonga #Bunge la #Katiba

Wabunge mbalimbali walisikika leo asubuhi wakisema kuwa kiwango hicho cha Sh 220,000 ni kidogo sana, hali inayofanya washindwe kumudu gharama za maisha mjini Dodoma.

 

10 years ago

GPL

ZENGWE MTOTO WA AUNT APIGWA ZENGWE!

Mwandishi wetu
Mtoto wa kike wa staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson aliyejifungua mwishoni mwa wiki iliyopita na kumpa jina la Cookie (keki ndogo lakini tamu) anaanza kung’aa kwenye vyombo vya habari baada ya baadhi ya watu kumpiga zengwe la madai kwamba eti hafanani na baba yake, Moses Iyobo ‘Moze’. Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson. Huku ishu hiyo ikipingwa vikali na Aunt,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani