Kamati ya Zitto kuanza kazi wiki ijayo
Taasisi za Serikali na mashirika ya umma zitakuwa na wakati mgumu pale zitakapoanza kujitokeza mbele Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), kama zitakuwa zimefanya matumizi ya fedha za umma kinyume na utaratibu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo31 Oct
Bunge kuanza wiki ijayo
MKUTANO wa 16 na 17 wa Bunge unatarajiwa kuanza wiki ijayo, ambapo pamoja na mambo mbalimbali, utajadili miswada miwili binafsi, ukiwamo muswada binafsi wa mbunge, maazimio matatu na Muswada wa Kamati ya Bajeti.
9 years ago
Habarileo10 Oct
Walimu kuanza kulipwa bil.1.7/- wiki ijayo
SERIKALI imejipanga kumaliza madeni inayodaiwa na walimu kwa awamu, ambapo zaidi ya Sh bilioni 1.7 zitaanza kulipwa kuanzia wiki ijayo na kutekeleza muundo mpya wa utumishi, ambao ni pamoja na kupandisha vyeo.
11 years ago
Habarileo12 Feb
Kampeni za uchaguzi mdogo Kalenga kuanza wiki ijayo
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imepanga ratiba ya Uchaguzi mdogo katika jimbo la Kalenga katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa, ambapo siku ya kupiga kura itakuwa Jumapili ya Machi 16, mwaka huu na kampeni zitaanza wiki ijayo.
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/VVIbM4tSbow/default.jpg)
10 years ago
Habarileo29 Dec
Watakaofukuzwa kazi TRL kutangazwa wiki ijayo
WAZIRI wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe amesema wiki ijayo atatangaza majina ya wafanyakazi wa Kampuni ya Reli (TRL) watakaofukuzwa kazi, kutokana na kutokuwa na tija kwenye shirika.
10 years ago
Habarileo29 Dec
Singapore. Watakaofukuzwa kazi TRL kutangazwa wiki ijayo
WAZIRI wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe amesema wiki ijayo atatangaza majina ya wafanyakazi wa Kampuni ya Reli (TRL) watakaofukuzwa kazi, kutokana na kutokuwa na tija kwenye shirika.
10 years ago
Michuzi02 Feb
10 years ago
Bongo510 Mar
Ni collabo na Diamond au na Mnigeria: Nay wa Mitego kuachia kazi mpya wiki ijayo