Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bunge kuanza wiki ijayo

MKUTANO wa 16 na 17 wa Bunge unatarajiwa kuanza wiki ijayo, ambapo pamoja na mambo mbalimbali, utajadili miswada miwili binafsi, ukiwamo muswada binafsi wa mbunge, maazimio matatu na Muswada wa Kamati ya Bajeti.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kamati ya Zitto kuanza kazi wiki ijayo

Taasisi za Serikali na mashirika ya umma zitakuwa na wakati mgumu pale zitakapoanza kujitokeza mbele Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), kama zitakuwa zimefanya matumizi ya fedha za umma kinyume na utaratibu.

 

9 years ago

Habarileo

Walimu kuanza kulipwa bil.1.7/- wiki ijayo

SERIKALI imejipanga kumaliza madeni inayodaiwa na walimu kwa awamu, ambapo zaidi ya Sh bilioni 1.7 zitaanza kulipwa kuanzia wiki ijayo na kutekeleza muundo mpya wa utumishi, ambao ni pamoja na kupandisha vyeo.

 

11 years ago

Habarileo

Kampeni za uchaguzi mdogo Kalenga kuanza wiki ijayo

Mkurugenzi wa Uchaguzi, Julius MallabaTUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imepanga ratiba ya Uchaguzi mdogo katika jimbo la Kalenga katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa, ambapo siku ya kupiga kura itakuwa Jumapili ya Machi 16, mwaka huu na kampeni zitaanza wiki ijayo.

 

11 years ago

Habarileo

Wajumbe Bunge Katiba wiki ijayo

Rais Jakaya Kikwete.MAANDALIZI ya Bunge Maalumu la Katiba, yamefikia hatua nzuri zaidi na wiki ijayo majina 201 ya wajumbe wa nyongeza wa Bunge hilo, yatatangazwa katika Gazeti la Serikali ili kukamilisha wajumbe 604.

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KUHUSU KUANZA KWA MKUTANO WA 19 WA BUNGE JUMANNE IJAYO

Mkutano wa Kumi na Tisa wa Bunge la Kumi ambao ni mahusisi kwa ajili ya Kushughulikia Miswada ya Sheria, unatarajiwa kuanza siku ya Jumanne tarehe 17 Machi 2015 na kumalizika tarehe 1 April 2015 Mjini Dodoma. Shughuli zitakazokuwepo katika Mkutano huo ni kama ifuatavyo:


1.0        MISWADA YA SHERIA:

1.1        MISWADA YA SHERIA YA SERIKALI:

a)   Kusomwa kwa mara ya Kwanza na hatua zake zote:

Katika Mkutano huo, Kwa mujibu wa Kanuni ya 93(3) ya Kanuni za Bunge Toleo la Aprili 2013  Jumla ya...

 

11 years ago

Habarileo

Bunge kula wiki 3 bila kuanza mjadala

BUNGE Maalum la Katiba linatarajiwa kumaliza zaidi ya wiki tatu za wajumbe wake kuwapo Dodoma, bila hata kuanza mjadala wa Rasimu ya Pili ya Katiba mpya.

 

9 years ago

Mtanzania

Makaidi kuzikwa wiki ijayo

MakaidiNA FARAJA MASINDE, DAR ES SALAAM

MWILI wa Mwenyekiti mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Dk. Emmanuel Makaidi aliyefariki dunia juzi kwa shinikizo la damu unatarajiwa kuzikwa wiki ijayo.

Taarifa ambazo gazeti hili limezipata kutoka ndani ya familia ya marehemu Makaidi, zinaeleza kuwa atazikwa kati ya Jumatatu au Jumanne.

Mke wa marehemu, Modesta Makaidi ambaye jana jioni alikuwa njiani kuelekea jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuupeleka mwili wa marehemu, aliliambia gazeti hili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani